JustDoItNow
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,967
- 1,513
putin hana mipasho ya kike kama trump. Hiyo ni mipasho ya ki trump trump mkuu.Lakini kama kuna ukweli hiviView attachment 941488
putin hana mipasho ya kike kama trump. Hiyo ni mipasho ya ki trump trump mkuu.Lakini kama kuna ukweli hiviView attachment 941488
Hata mleta mada nae ana akili feki kama ilivyo post yake. Kabla hajapost angefanya uchunguzi kwanza.Nimeenda google kutafuta na kusearch wee maneno yako hayo uliyopost na putin nimekosa
hio habari ipo kwenye blog moja ya Naija ndio imepost hio kitu basi na hakuna website yeyote iliyopost .
So ni fake 100%
Ukiwa na akili finyu na ya kipumbavu kama wewe ni hasara!.Hata mleta mada nae ana akili feki kama ilivyo post yake. Kabla hajapost angefanya uchunguzi kwanza.
Kuna source za habari za kuaminika mkuu, yani unaleta habari sensitive kama hii kutoka instagram? Tena kwenye ka account ka mtu?Ukiwa na akili finyu na ya kipumbavu kama wewe ni hasara!.
Kwahiyo huo uchunguzi ulitaka niufanyia wapi?,kweny matako yako?. Kuileta hapa na kujadiliwa ni moja ya uchunguzi au ulitakaje?
Ajatukana sema lugha imekua ngum kwaupande wako mkuuLakini kama kuna ukweli hiviView attachment 941488
alafu hayo maneno ni ya muda mrefu sana, sikumbuki ni kiongozi gani tena amewahi kulishwa hayo maneno.Nimeenda google kutafuta na kusearch wee maneno yako hayo uliyopost na putin nimekosa
hio habari ipo kwenye blog moja ya Naija ndio imepost hio kitu basi na hakuna website yeyote iliyopost .
So ni fake 100%
kabisaSiku hizi waafrika tumeamua kufikisha ujumbe kwa viongozi wa kiafrika kupitia migongo ya watawala wa nje tunawapakazia
RTJibu swali media ipi ingekuwa sio fake?
Ni muhimu kujua u fake au uhalali wa source au ni kudadavua mantiki ya maneno hayo?!? kuwa na interest zake Afrika hakumzuii kusema anachokiamini, Tajiri Dangote pamoja na kuwa na uwekezaji TZ alisema anachokiamini kuhusu TZ!Hii ni fake news naona.
Putin ana interests kibao Africa
Utajadili vipi mantiki ya maneno kama ni feki..ingekuwa ni hoja binafsi ya mtoa mada hapo tungejadili lakini ni maneno aliyotungiwa na kulishwa kiongozi mkuuNi muhimu kujua u fake au uhalali wa source au ni kudadavua mantiki ya maneno hayo?!? kuwa na interest zake Afrika hakumzuii kusema anachokiamini, Tajiri Dangote pamoja na kuwa na uwekezaji TZ alisema anachokiamini kuhusu TZ!
Ok tuachane na hiyo fake au no. wewe mtazamo wako ni upi?. kwa hayo aliyosema whether is Putin or a ghostUtajadili vipi mantiki ya maneno kama ni feki..ingekuwa ni hoja binafsi ya mtoa mada hapo tungejadili lakini ni maneno aliyotungiwa na kulishwa kiongozi mkuu
Mfano ukiambiwa magufuli kasema wachina wote waseng.e ukagundua ni feki utaanza kujadili mantiki ya maneno au ufeki au uhalali wa maneno?
Hakuna aliyepingana na mantiki ya kilichosemwa ila haifuit ukweli kuwa si Putin aliyesema na hatumtendei haki kumlisha maneno.Ni muhimu kujua u fake au uhalali wa source au ni kudadavua mantiki ya maneno hayo?!? kuwa na interest zake Afrika hakumzuii kusema anachokiamini, Tajiri Dangote pamoja na kuwa na uwekezaji TZ alisema anachokiamini kuhusu TZ!
The idea is true, jee kuna uongo wowote kwenye hayo manenoNimeenda google kutafuta na kusearch wee maneno yako hayo uliyopost na putin nimekosa
hio habari ipo kwenye blog moja ya Naija ndio imepost hio kitu basi na hakuna website yeyote iliyopost .
So ni fake 100%
Hadi watu waliokatwa vichwa kumbe wanaweza kusurvive bila shida humu Jfni kama kilimanjro ilivyo cemetry kwa wachaga,They invest everywhere burial kilimanjaro kijijini