Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,909
- 146,057
Una hakika Putin kasema hayo?ni kwel na Hakika wala hajatutus Mr Putin
Una hakika Putin kasema hayo?ni kwel na Hakika wala hajatutus Mr Putin
SanaUkweli mchungu
Ingawa content ya habari imebeba ujumbe muhimu fulani , lakini sishawishiki kuamini kuwa maneno hayo yametamkwa na Putin.. Angatamka yeye Vyombo vyote muhimu duniani vinemquote na habari hiyo ingeonyesha aliyatamka lini, wapi na wakati anafanya nini! Mambo ya msingi ambayo yanaipa habari uhai na kuaminika.Jibu swali media ipi ingekuwa sio fake?
Mkuu, usisumbuke, hao ni 'Pro-West' na ramli chonganishi. Putin kawabana pua na mdomo...wanajaribu kutumia 'njia mbadala' kuonyesha maumivu yao.Nimeenda google kutafuta na kusearch wee maneno yako hayo uliyopost na putin nimekosa hio habari ipo kwenye blog moja ya Naija ndio imepost hio kitu basi na hakuna website yeyote iliyopost .
Lakini kama kuna ukweli hiviView attachment 941488
Na CNN 😂😂
Mbona yeye putin anatengeneza bunduki anakuja kuziuza afrika?kwanini asiuze huko huko nchini kwake?tusi liko wapi hapo jaman,si kaeleza ukweli mtupu?matajiri na vigogo wana acc nchi za ulaya na wangapi watoto wao wanasoma ulaya?vigogo waaaaaaaaaa tz wanaongoza kutibiwa ulaya.yupo sahihi kama ni kweli kasema ivyo.
Mkuu, nafikiri hajaongea, ame tweet; unataka kunambia mkuu wetu aki tweet TBC hua wanatangaza!? Ile salamu ya kuwatakia ushindi taifa stars through tweeter mbona sijaiona kwenye chombo chochote cha habari!?Putin akiongea lazima media kama Russia tv na zingine za Russia na media za nje zilizopo urusi wange publish sasa hawaja publish sasa utaipa vipi authenticity ya habar hio..????