Raisi wa Urusi Putin alivamiwa na kundi la wanawake wakiwa nusu utupu akiwa ziarani nchini Ujerumani pamoja na mwenyeji wake Angela Merkel
View attachment 89569
Inatosha sasa, jaribu kuchangia hoja bhana.Authenticating…
CONNECTED!
Jaribu tena kuangalia vizuri utaona macho ya Mheshimiwa hayapo kwenye matiti, anamwangalia movement zake tu ili ampe yakibadach.hapo macho ya putin yapo kwenye matiti tu hakna lolote
Authenticating…
CONNECTED!
Macho hayo,jamaa anajaribu vitu vyote kwa wakati mmoja,anataka kucheka,kulia,kukimbia,kumrukia,kupiga kelele yaaani Uraisi wa nchi nyingine kazi kwelikweli!Raisi wa Urusi Putin alivamiwa na kundi la wanawake wakiwa nusu utupu akiwa ziarani nchini Ujerumani pamoja na mwenyeji wake Angela Merkel
View attachment 89569