Putin kakanyaga pabaya

Vikwazo vilivyowekwa na EU, US. & washirika wake bado wanaoumia ni wao na dunia kwa ujumla. RF malengo yake yakufifisha ushawishi wa USA na washirika wake yanaendelea kama yalivyokusudiwa.
 
Wamarekani wa buza mna akili ndogo sana, so unazani Putin ni mwenyekiti wako wa kijiji unachoishi.? [emoji848]
 
ICC ni mahakama iliyoundwa kwa ajili ya nchi masikini za kiafrica na huko uswekeni mwingine...Marekani na western wenyenye hawaitambui hiyo mahakama kama Ina jurisdiction oven then..sasa. Vipi iwahusu Urusi..huo ni ulaghai tu kwa ajili ya watu wasiojielewa
 
Tuliwa wambia kuwa usicheze na state ya washngton ni hatari.Urusi inaenda kufilisika mdogo mdogo wenzake ndio wanasonga mbele maana vita sio vyao.Siku ikifilisika ndio kugawanyika kwa urusi

Huu ndo ukweli urusi amalize vita haraka afanye mambo mengine
 
Tuliwa wambia kuwa usicheze na state ya washngton ni hatari.Urusi inaenda kufilisika mdogo mdogo wenzake ndio wanasonga mbele maana vita sio vyao.Siku ikifilisika ndio kugawanyika kwa urusi
unajua mpaka sasa Russia ameshapigana vita ngapi? na marekani vita ngapi ndani na nje?
 
We jipange na mashosti wenzio wa NATO mkae mkao mkisubiri PUTIN akamatwe ili mipango yenu ya kishoga iendelee. Nakuhakikishia hio siku hamtakaa muione [emoji3][emoji3][emoji3]

Ahahah kwnn ushoga lakin
 
We jipange na mashosti wenzio wa NATO mkae mkao mkisubiri PUTIN akamatwe ili mipango yenu ya kishoga iendelee. Nakuhakikishia hio siku hamtakaa muione [emoji3][emoji3][emoji3]

Ahahah kwnn ushoga lakin
 
Mzigo na mbinu ni maswala mawili tofauti mno.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sawa acha tuone itakuaje tatizo marekani vitu ving vipo chini yake yaan kukuumiza sekunde tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…