Jeshi la Urusi limerudi kambini kuwasubiri rasmi NATO
sasa hivi Vitani wapo Wagner wakisaidiwa Silaha na mbinu tu za kupambana
sasa hivi kinachoendelea huko Ukraine ni mapambano ya utangulizi tu
Russia iligundua mbinu kongwe ya Marekani ya kupiganisha vita kwa miaka mingi na wakishachoka adui ndio anaingia mwisho mwisho kuchukua point 3 kama alivyofanya kwny 1 and 2 WW
hii vita huenda ikaisha 2024 baada ya uchaguzi Mkuu wa Marekani
Vita imekuea ngumu kwa puttin sababu anapiga kwa kuvizia coz wanajeshi wa kyv wamejichanganya kwa raia na wanapambana wakiwa na ngao ya civillians, wameweka makombora shuleni, hospitali na sehem za watu. Vinginevyo vita ingeshaisha
Acha kuandika Kwa muhemko, Et kanyaga pabaya.
Bush alimuua Sadam, licha ya kushindwa kuthibitisha madai ya Silaha sumu, alipeleka ICC??.
Ukishakua na Silaha za Nyukilia, Wamagharibi wanabaki kua kama Mbwa Koko tu wanabweka huku wameufyataaa mkia.
Hayo mambo wanayaweza kwa makapuku, urusi alichofanyiwa kipindi cha vita baridi na bado kafufuka anawasumbua mahasimu wake,,,,, hao wamagharibi ndo walijisahau wakajua kazi wameimaliza kumbe ndo kwanza inaanzaNasubiri kumwona Putin kizimbani siku moja, najua sio siku za karibuni sana. Unajua Wamarekani na Wazungu kwa ujumla wanafanya mambo kwa process sana. Wakianzisha kitu wanaacha processes and procedures zifanye kazi. Putin atajikuta pabaya taratibu tu kwani watamwondoa systematically. Pia upinzani unazidi kukua ndani ya Urusi na hilo ndio baya zaidi, atajikuta anakataliwa ugenini na nyumbani na mwishowe kukamatwa chini ya makalvati kama Saadamu Hussein na Muamar Gaddafi. Ni yale yale tu.
Kabla ya Kuandika Chochote Fanya Utafiti , Hivi Ndani Ya Mwezi Huu Bank Ngap Ulaya Na Marekani Zinakaribia Kufilisika ...! Ulaya Uchumi Umeyumbaa
Tunachokiona wamagharibi ndo kila kitu kinakufa kuanzia uchumi mambo yapo ovyo, mrusi anakula kuku kwa mrijaAisee marekani yeye muda wote yuko sahihi nan alimuwekea vikwazo marekani usijifariji kabisa putin kawekewa bunchs of problem ambazo ztamuua baada ya miaka 10
Bashir wa sudan mliweka pesa ngapiKwani aliitwa na mahakama mugabe usicheze kizazi hiki kinacho penda hela watu watalipwa pesa zote
Vita na Ukraine alishamaliza muda! Sasa hivi anapambana na NATO ndani ya Ukraine.Na US n NATO wameshaona ni mziki mzito kwa hiyo lazima watafute gia nyingine.Yaan putin alitakiwa kumaliza vita ndan ya muda mfupi sana hii long term anajitengenezea shimo
Kuna nchi walimkamata???? Zaidi ya tifu za kwao ndani..... Tokea lile tangazo la kuitwa icc alishazunguka nchi ngapi??Hajakamatwa had leo?
Warumi walikua na utawala mkubwa wakaenda muingereza hivyo hivyo sembuse marekani wa juzi tu hapoSawa muda tu utaongea marekani n dude kubwa sana dunian yaan lenye mikono mingi
Hao ICC walishindwa kumkamata Omar al-Bashir akiwa raisi wa Sudan ndio wataweza kumkamata Putin. Hizo ni ngonjera tu za kujifurahisha mahakama yenyewe ambayo ilishindwa hata kuwakamata wanajeshi wa marekani iliyowatuhumu kufanya makosa ya kivita trump akataka iwekea vikwazo akafyata mkia nani anaweza kuisikiliza.Nlikua naona urusi atashinda ila kwa hii stage aisee marekan n dubwan kubwa kabisa ambalo huwezi kushindana nalo kabisa wao wamemuwekea vikwazo yeye hajaweka kuonesha bado anawahitaji jana ICC wametoa amri akamatwe yaan anaishi kama digidigi biden alienda had uwanja wa vita ila putin hajaenda hii inaonesha jamaa hata watu wake hawamkubal aisee jamaa amegusa pabaya
Yaani unadhani PUTIN ni bosco ntaganda ao?ππππNlikua naona urusi atashinda ila kwa hii stage aisee marekan n dubwan kubwa kabisa ambalo huwezi kushindana nalo kabisa wao wamemuwekea vikwazo yeye hajaweka kuonesha bado anawahitaji jana ICC wametoa amri akamatwe yaan anaishi kama digidigi biden alienda had uwanja wa vita ila putin hajaenda hii inaonesha jamaa hata watu wake hawamkubal aisee jamaa amegusa pabaya
Kuna ile picha kakas kwenye kiti kavua shati unayo