FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,067
Satan 2 Or Any Missile Aina Tofauti Na Rockets Zingine. Ni Delivery Systems Ambazo Zinaweza Kutumika Kubeba Warheads Au Silaha. Sijui Tunachobishana Hapo Ni Kipi? Au Nikuulize Wewe, Unaelewa Nini Maana Ya Missile?We jamaa bana eti SATAN 2 ni delivery system, na RD-263 itakuwa nini!?... Ina maana kusoma kwako kote source hata moja imeshindwa kukwambia dunia ilitikisikaje kwa kilichotokea mwaka 1961?.
Basi kuna mzigo unaitwa 'FATHER OF ALL BOMBS' au "TSAR BOMBA" kalifatirie na lenyewe limeundiwa kabisa ndege yake maalum Tupolev Tu-160 kulideliver. Kuhusj ukubwa wa mlipuko wake hili FOAB ni kwamba lilipunguzwa ukali siku ya majaribio ila specification zake zote zingetumika hali ingekuwa tofauti siku hiyo!.
Namba 2 naona pumba hakuna point, hivi ukiambiwa USA inaweza ipoteza Tz unahisi hilo bomu likipigwa litakung'uta Tz yote!?. Ni kwamba linapiga Governmental area ina maana kama likipigwa basi Dodoma na Moro au Singida zote zinapotea kwenye ramani. France ni Paris kwingine jina tu na ndio maana Hitler alipoingia Paris basi nchi nzima ikawa imepigwa na uongozi ukakimbilia UK, sawa na ambacho Londoners wangefanya jamaa kama angefanikiwa ingia.
Point namba 3 nilishawahi itolea ufafanuzi, Vita ya Nyuklia ni hatua ya mwisho kabisa special wanapopigana wakubwa!. MAD ni ile "tukose wote" hakuna ambaye yupo tayari kuianzisha, na usipotumia nyuklia basi narudia France na Europas ukimtoa UK ni warembo kwa Russia.
No Comment! Hahaha!Labda Bulgaria ndio kidogo anaweza kuisumbua US kijeshi aise
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Kwa hiyo hate N. Korea ni waogaUkiona mtu kila siku anatoa vitisho ujue mwoga uyo! Maana kila siku ni Puttin ndiye analalamika na kupiga mikwara kibao wakati wenzake wako kimya wakifanya research na kuandaa mbinu za kukuza Uchumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
How about NKR na wao ni waogaNani amekwambia shida zinazoeleka mkuu?.Fact ni kwamba Russia hawapendi kuwa kwenye depression kila kukicha hata kidogo,tatizo hakuna akili ya kuwatoa hapo walipo,Maana akili iliyoyopo inawaza military might 24/7.Hakuna nguvu muhimu kama nguvu ya uchumi asikudanganye mtu,you can do what ever you want.
Kwa Faida yko tena megatons moja ya nuclear Sawa na kilotons 1000 kwaiyo nakupa ruhusa ukafanye hesabu km Tu bomu LA nuclear lililolipuliwa Nagasaki lilikua Na megatons 27 na liliweza kulipua mji WA Nagasaki hlo ni nuclear je bomu LA hydrogen itakuaje? Soma alaf uje kuzungumza hzo ni silaha tu ambazo tuna zifahamu ambazo wao wameziweka waz je walizo zifichaKwanza, Kuna Vitu Huwa Mnachanganya Hapo! Hilo SATAN 2 Sio Nuclear Weapon Na Wala Si Bomu. SATAN 2 Is Just A Delivery System.
Pili, Ukubwa Wa France Ni Zaidi Ya Square KMs 500,000. Ili Iweze Kufutika Kwenye Uso Wa Dunia Ni Lazima Hiyo Nuke Itengeneze Detonation Yenye Ukubwa Huo Wa Ufaransa Nzima Kitu Ambacho Mathematically Hakiwezekani. Labda Idondokewe Na Kitu Kutoka Nje Ya Dunia Kama Vile Asteroid Au Sayari Ndogo Yenye Ukubwa Huo.
Tatu, Hata Kama Urusi Itafanikiwa Kurusha Multiple Nuclear Missiles Au Missile Moja Yenye Multiple Targets (MIRV) Bado Ufaransa Atakuwa Na Uwezo Wa Kufanya Retaliation (Counter-Attack) Dhidi Ya Urusi Kwa Maana Hiyo Ile Doctrine Ya Kijeshi Ya Mutual Assued Destruction Itafanya Kazi. Isitoshe France Na Yeye Ana Delivery Systems Zenye Range Zaidi Ya 10,000 KMs (ICBMs).
Nimekuambia Official Nuclear States Ni 5 Tu Hao Wengine Wame-Declare Wenyewe. Hata UN Wanatambua Kwamba Official Nuclear States Ni 5 Tu Wewe Unabisha. Dah! Sijui Nikusaidieje?Mkuu mara ya kwanza ulitaka aminisha jamii kwamba mataifa makubwa ya nyuklia ni 5 tu nimeipinga hiyo mada. Pia NPT ni mkataba ulioingiwa kuzuia mataifa mengine kuzalisha na kutengeneza silaha za kinyuklia. Officialy huu mkataba ni dunia nzima sio wa hayo mataifa 5 unayoyataja, na kwa kuongezea hata South Africa na yeye alikuwa na bomu la nyuklia lakini baada ya kuamua kuusaini akaliharibu.
UNSC na NPT ni maji na moto, yani ni vitu viwili tofauti kabisa. NPT ni mkataba wa kuzuia, kupunguza na kukataza uzalishaji wa silaha za maangamizi, pamoja na kuimalisha matumizi salama ya nguvu za nyuklia. NPT ilitokana na makadirio yaliyoonekana baada ya miaka 20 kuendelea dunia ingekuwa na zaidi ya nchi 20 zenye silaha za kinyuklia jambo lingeleta machafuko dunia. Na kwa taarifa yako tu Ukraine alikuwa na nyuklia nyingi zaidi hata ya UK lakini baada ya kujitenga na USSR akasaini NPT na kuamua kumrudishia Russia aziharibu silaha. South Sudan hajasaini NPT so akiamua kuzalisha atapigwa kwa ubabe sio kwa kukiuka NPT.
UNSC ni Bodi iliyoundwa baada ya vita vya pili kulinda usalama wa dunia katika masuala nyeti. UNSC ilianzishwa ili kuzipa nguvu (VETO) nchi zilizoshinda WW2 (US, UK, USSR). Nchi kama France yenyewe ilipewa Veto power tu kutokana na historia yake na wala sio ubabe wake kumbuka ilipigwa na Germany. China baada ya kuonekana anakuwa mkubwa zaidi ikabidi na yeye awe drafted ndani. Na kuna harakati German na yeye apewe siti ya kudumu UNSC.
So kusema nchi fulani zimedeclare huko ni kupoteza maana nzima ya NPT halafu na kusema Big 5 au UNSC ni kutokana na Nuclear Power alone huko ni kuharibu history yake!.
Mwaka wa ngap huu hujasikia jw wamenunua silaha ?kwa maelezo ya haraka haraka hapa naona tanzania tuna wanasayansi wa bobezi wa maswala ya silaha za kivita lakini sijui ni kwa nini majeshi yetu yanatumia AK47 na SMG. Na huku nchi inawataalamu wa kutengeneza silah
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu mbn km ujaenda shule huja zungumza kuwa kuna bomu kubwa km ufaransa 'no'sasa km unalifamu hlo bomu ina kuaje marekani iliweza kuharibu mji WA Nagasaki na hiloshima au na wao walitengeneza bomu Linalo kavu mji ninge kupeleka kwenye post yangu kafuatilie kwa nn wanaita silaha za maangamiz Ndiio utajua na Kwa nn tsar bomba wangeweza kuilipua kwa intensity ya megatons milion miamoja bc ingeweza kuigawa Dunia vipande viwili acha ushabiki rudi kwenye factSatan 2 Or Any Missile Aina Tofauti Na Rockets Zingine. Ni Delivery Systems Ambazo Zinaweza Kutumika Kubeba Warheads Au Silaha. Sijui Tunachobishana Hapo Ni Kipi? Au Nikuulize Wewe, Unaelewa Nini Maana Ya Missile?
Hilo Tsar Bomber Nilishalitolea Ufafanuzi Humu Humu JF Kuhusiana Na Ubishi Huu Huu Kuhusu France. Na Nilieleza Kuwa Hata Bomu Kubwa Kuwahi Kifanyiwa Majaribio Haliwezi Ku-Cover France Nzima. Na Aliyewaambia Kuwa France Nzima Ni Paris Tu Ni Nani?
Pengine Hujaelewa! Ninapozungumzia Coverage Namaanisha Blast Radius.Ndugu mbn km ujaenda shule huja zungumza kuwa kuna bomu kubwa km ufaransa 'no'sasa km unalifamu hlo bomu ina kuaje marekani iliweza kuharibu mji WA Nagasaki na hiloshima au na wao walitengeneza bomu Linalo kavu mji ninge kupeleka kwenye post yangu kafuatilie kwa nn wanaita silaha za maangamiz Ndiio utajua na Kwa nn tsar bomba wangeweza kuilipua kwa intensity ya megatons milion miamoja bc ingeweza kuigawa Dunia vipande viwili acha ushabiki rudi kwenye fact
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani North Korea Kafanyaje?
Chonde Chonde Tu Msije Mkanunua Ugomvi.
Mkuu wengi humu wamekariri tu mavitabu ila vitendo ni empty usione wanatirirka na maformula ya physics ukajua ni wataalamkwa maelezo ya haraka haraka hapa naona tanzania tuna wanasayansi wa bobezi wa maswala ya silaha za kivita lakini sijui ni kwa nini majeshi yetu yanatumia AK47 na SMG. Na huku nchi inawataalamu wa kutengeneza silah
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna ICBM za kutosha Mkuu hakuna wa kututisha. Geshi letu liko imara...Chonde Chonde Tu Msije Mkanunua Ugomvi.