Morgan Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 1,931
- 2,328
urusi haijafikia levo ya kupigana na marekani huwez kuwa sirias bossUrusi bado haijfikia levo ya kupambana na marekani kijeshi; isipokuwa marekani nayo imekuwa inapwaya sana katika kipindi cha miaka ishirini na tano iliyopita kwa sababu za siasa za ndani tu. Tangu mapinduzi ya 1994 ya Contract with America, taifa hilo limekuwa halina siasa za ndani zenye mwelekeo wa kitaifa, badala yake limegawanyika sana kiitikadi na hivyo kutokuwa na sera ya pamopja ya nje kama ilivyokuwa kabla ya hiyo Contract with America..
Aisee nakubaliana nawewe kabisa. Hawa jamaa ni wabaguzi sana ukiwa kwao hii kitu nishawahi kusikia kwa mtu wangu wa karibu kabisa alikuwa urusi kipindi fulani!Russia kinachowapa ugumu katika mahusiano haswa na nchi za Africa au Amerika ni ubaguzi wa raia wao haswa ukiwa kwao, Russia wakati wa miaka ya 60 na 70 ingezikamata sana nchi za Afrika kupitia sera ya ujamaa lakini walishindwa kutengeneza mahusiano ya kiuchumi na hii yote inatokana na wao kujiona kuwa rasilimali wanazo hivyo hawawezi kunyeyekea.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]ftat screen Kama China, halafu mahaba niue wanakuja hapa wanakwambia China Ina uchumi mkubwa na kutisha kuliko urusi ukiuliza kigezo watakwambia anauza hadi mabegi Tanzania, kila nchi Ina vipaumbele vyake, Kama jiwe vipaumbele vyake ni kuua demokrasia Tanzania basi[emoji56]KILA TAIFA LINA KILE LINACHOKIAMINI ILI LIENDELEE KUWEPO KATIKA USO WA DUNIA MFANO ISRAIEL IMEWEKEZA HEAVILY KWENYE ESPIONAGE KTK NCHI ZA KIARABU IKIAMINI NCHI HIZO NI HATARI KWA USTAWI WAKE VIVYO HIVYO URUSI INA HISTORIA NGUMU YA KUVAMIWA KIVITA TANGU ENZI ZA AKINA NAPOLEON BONAPARTE HADI KUIBUKA KIDEDEA KTK VITA KUU YA PILI YA DUNIA NA NDIYO ILIYOPELEKEA URUSI KUINVEST KTK UUNDAJI WA SILAHA KWA RASILIMALI NYINGI KULIKO NCHI YOYOTE DUNIANI NA NDIO NCHI INAYOONGOZA KUWA NA SILAHA NYINGI NA ZA KUTISHA KULIKO TAIFA LOLOTE PIA NDIO NCHI ILIYOJIHAMI KWA UMADHUBUTI MKUBWA KULIKO NCHI YOYOTE MFANO HADI KUFIKIA 1970 URUSI ILIKUWA IMEJENGA NYUMBA 1578 ZENYE UKUBWA SAWA NA WHITE HOUSE KILA MOJA, ZIKIWA MITA ZAKUTOSHA DEEP DOWN SOIL PROFILE ZIKIWA ZIMEFUNIKWA NA REINFORCED COCRETE LENYE UNENE WA FUTI 75 NA MPAKA LEO WAMEJENGA NA WANAENDELA KUJENGA MAELFU YA NYUMBA NYINGI ZA NAMNA HIYO DOWN EURAL MOUNTAIN HIVYO KWA MATAYARISHO HAYA NDIPO UTAONA UTOFAUTI KTK MAENDELEO YA UCHUMI KATI YA TAIFA LINALOTENEGENEZA FLAT SCREEN NA LILE LINALOINVEST KWENYE INTERCONTINENTAL BALISTIC MISSILES
Russia akiamua kuingiza jeshi lake Ulaya tabu ataweza ipata Ujerumani na Ukraine ingawa hawa Germans nao wamekuwa laini kizazi chao ila Ukraine ana jeshi kubwa Europe nyuma ya Russia. France na UK watabisha lakini watapigwa tu hawana jeshi kubwa kumzuia.Hakuna Kafara Hapo! Europe Kuna UK Na Ufaransa Ambao Wako Kwenye G5 (Nuclear Powers). Urusi Anaanzaje Kuigeuza Europe Majivu Wakae Wanamuangalia Tuu??????
G5 ni nchi zinazoendelea, unachoongelea ni G7 ambacho kipo kiuchumi zaidi!.. Hata Japana, Italy na Germany wapo ndani yake. Vipi nao wana Nuclear Arsenal zao!?..Hakuna Missile Inayoweza Kuifuta Nchi Kama Ufaransa. Ninachotaka Kukuambia Ni Kuwa Hata Kama Urusi Awe Na Makombora Mengi Bado Hata Ufaransa Naye Ni Nuclear Power Na Ana Makombora Yanayoweza Kupiga Sehemu Yeyote Duniani (Ni G5 Member Yule). Kwa Maana Hiyo Lazima Atajibu Mapigo.
ushabiki wako mbaya sana, marekani hajawahi kupigana na mwanaume , uwa anapigana na wanawake na watoto ndio sahizi yake. unadhani marekani ingekuwa ulaya ingeweza kupambana na jeshi la hittler? russia amepigana na wanaume haswa na hawakujiandaa kwa vita walishtukizwa tu kwa sababu ujerumani aliweka makubaliano na russia ya kusaidiana wakati wa vita na mjerumani akayavunja. ikumbukwe russia aliiona ujerumani kama rafiki hivyo hakujiandaa kupambana naye. sasa hivi kajiandaa vya kutosha kwa vita kuu yeyote , usa ijipange haswaUrusi bado haijfikia levo ya kupambana na marekani kijeshi; isipokuwa marekani nayo imekuwa inapwaya sana katika kipindi cha miaka ishirini na tano iliyopita kwa sababu za siasa za ndani tu. Tangu mapinduzi ya 1994 ya Contract with America, taifa hilo limekuwa halina siasa za ndani zenye mwelekeo wa kitaifa, badala yake limegawanyika sana kiitikadi na hivyo kutokuwa na sera ya pamopja ya nje kama ilivyokuwa kabla ya hiyo Contract with America..
Sasa tukianza kuulizana maswali kama hayo sidhani kila anayetoa post humu au maoni alishawahi kuyashuhudiaWewe umewahi kuliona hilo satani au na wewe unalisoma kwenye mtandao kama sisi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi Naongelea G5. Nchi Tano Zenye Nguvu Zaidi Kinyuklia. UN Permanent Members!G5 ni nchi zinazoendelea, unachoongelea ni G7 ambacho kipo kiuchumi zaidi!.. Hata Japana, Italy na Germany wapo ndani yake. Vipi nao wana Nuclear Arsenal zao!?..
Na mie nakusahihisha G5 ni Brazil, China, India, Mexico na South Africa.Mimi Naongelea G5. Nchi Tano Zenye Nguvu Zaidi Kinyuklia. UN Permanent Members!
Nenda Kwanza Kafanye Findings Alafu Ndio Uje Uchangie Ndugu. China Kwa Sasa Anaweza Kuwa Ndio Tishio Kwa Marekani Kuliko Nchi Nyingine Yeyote. Ni Nchi Ya Pili Kwa Uchumi Duniani, No Matter Utakuwa Na Vipaumbele Gani, Lakini Uchumi Ndio Kipaumbele Kikubwa Kwa Dunia Ya Sasa. Nchi Zenye Ushawishi Mkubwa Ni Zenye Uchumi Mkubwa (Economy Giants)! Mwenye Ushawishi Mkubwa Zaidi Upande Wa Eastern World Kwa Sasa Ni China Huyo Urusi Ushawishi Wake Ulipitaga Huko Kipindi Cha Vita (World Wars & Cold War) Enzi Akiwa Ndani Ya USSR.[emoji23][emoji23]ftat screen Kama China, halafu mahaba niue wanakuja hapa wanakwambia China Ina uchumi mkubwa na kutisha kuliko urusi ukiuliza kigezo watakwambia anauza hadi mabegi Tanzania, kila nchi Ina vipaumbele vyake, Kama jiwe vipaumbele vyake ni kuua demokrasia Tanzania basi[emoji56]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutakuwa Na Misinterpretation Hapo! Wewe Unasemea Emerging Economies, Mimi Naongelea Nuclear Powers Under The NPT (Non-Proliferation Treaty). Ni Nchi Ambazo Zipo Officially Recognized Kama Nuclear Weapon States Ambao Pia Ni Permanent Members Of The UN Security Council. Informally Tunaweza Waita The Great Powers In The UNSC, Mimi Nimewaita G5. Hao Nuclear States Wengine Wame-Declare Wenyewe!Na mie nakusahihisha G5 ni Brazil, China, India, Mexico na South Africa.
Ukiongelea nchi zenye Mabomu ya nyuklia sio 5 ni 9, mind you hakuna nyuklia ndogo wala kubwa zote ni Nyuklia. Leo hata NK akimpiga nazo USA na USA akazipangua bado Nuclear Fallout ataipata.
Nchi 9 zenye Mabomu ya nyuklia ni US, Russia, UK, China, France, India, Pakistan, North Korea na Israel. Sasa labda nikuulize hiyo G5 yako ulimaanisha ipi?
Kuhusu permanent member hiyo sio sababu ya kuwa na Nyuklia sababu China alipewa wakati hata hajalipua bado nyuklia zake wala mfaransa alikuwa hata hajatest na yeye. Hiyo Veto power iliwekwa baada ya kushinda WW2 wakati wanaunda UN na bado kuna baadhi ya nchi huwa zinapewa Veto power kwa muda.
Kwanza, Kuna Vitu Huwa Mnachanganya Hapo! Hilo SATAN 2 Sio Nuclear Weapon Na Wala Si Bomu. SATAN 2 Is Just A Delivery System.Russia akiamua kuingiza jeshi lake Ulaya tabu ataweza ipata Ujerumani na Ukraine ingawa hawa Germans nao wamekuwa laini kizazi chao ila Ukraine ana jeshi kubwa Europe nyuma ya Russia. France na UK watabisha lakini watapigwa tu hawana jeshi kubwa kumzuia.
Ukija kwenye Nuclear arsenal lile SATAN II likitupwa linaweza ifuta France nzima sasa jiulize France na UK ipi kubwa kieneo!..
UK kutokana na historia yake yupo vizuri sana vita ya majini kutokana na Meli anazotengeneza, kule Russia atapigwa mapema tu!.
Mkuu mara ya kwanza ulitaka aminisha jamii kwamba mataifa makubwa ya nyuklia ni 5 tu nimeipinga hiyo mada. Pia NPT ni mkataba ulioingiwa kuzuia mataifa mengine kuzalisha na kutengeneza silaha za kinyuklia. Officialy huu mkataba ni dunia nzima sio wa hayo mataifa 5 unayoyataja, na kwa kuongezea hata South Africa na yeye alikuwa na bomu la nyuklia lakini baada ya kuamua kuusaini akaliharibu.Kutakuwa Na Misinterpretation Hapo! Wewe Unasemea Emerging Economies, Mimi Naongelea Nuclear Powers Under The NPT (Non-Proliferation Treaty). Ni Nchi Ambazo Zipo Officially Recognized Kama Nuclear Weapon States Ambao Pia Ni Permanent Members Of The UN Security Council. Informally Tunaweza Waita The Great Powers In The UNSC, Mimi Nimewaita G5. Hao Nuclear States Wengine Wame-Declare Wenyewe!
Hamna Kitu unacho kizungumza ungekuwa una penda kufuatilia taarifa bc ucinge zungumza Hyo Nina nukuu kutoka kwa viongoz WA urussi walicho kizungumza kujitoa kwenye mkataba WA INF haimaanishi wataingia kwenye mashindano ya silaha jinamiz ambalo Soviet walikua nalo kutumia rasilimali Nying za nchi kwenye kutengeneza silaha Na kuacha wananchi wake wapo kwenye dimbwi LA umaskin kwakua putin hl swala analifahamu vizur na yko smart sana akamuagiza wazir WA ulinz kuwa bajet ya ulinz haito badilika ndio maana ht juz alipo zungumza aligusia sana swala LA kupunguza umaskinNenda Kwanza Kafanye Findings Alafu Ndio Uje Uchangie Ndugu. China Kwa Sasa Anaweza Kuwa Ndio Tishio Kwa Marekani Kuliko Nchi Nyingine Yeyote. Ni Nchi Ya Pili Kwa Uchumi Duniani, No Matter Utakuwa Na Vipaumbele Gani, Lakini Uchumi Ndio Kipaumbele Kikubwa Kwa Dunia Ya Sasa. Nchi Zenye Ushawishi Mkubwa Ni Zenye Uchumi Mkubwa (Economy Giants)! Mwenye Ushawishi Mkubwa Zaidi Upande Wa Eastern World Kwa Sasa Ni China Huyo Urusi Ushawishi Wake Ulipitaga Huko Kipindi Cha Vita (World Wars & Cold War) Enzi Akiwa Ndani Ya USSR.
Wakati Urusi Yeye Yupo Busy Kuzalisha Silaha, Marekani Has Many Things To Do. Na China Ni Mjanja, Sio Kwamba Anashindwa Kuingia Katika Arm Races Na US Au Russia Ila Anajua Kwa Dunia Ya Sasa It's Nothing Special Ndio Maana Ana-Focus Zaidi Kwenye Uchumi. In Fact Pro-Russians Mnamchukulia China Kizembe Sana. Kama Hamjui Ni Kwamba China Pia Ni Nuclear State., Pia Ana Delivery Systems Zenye Range Ya Mpaka KM 13,000+, Ana Submarines, War Planes, Meli Za Kijeshi Na Yote Tisa, Ni Nchi Ya Pili Kwa Uchumi Duniani.
China Sio Mzembe Kama Unavyofikiri Ndugu!
We jamaa bana eti SATAN 2 ni delivery system, na RD-263 itakuwa nini!?... Ina maana kusoma kwako kote source hata moja imeshindwa kukwambia dunia ilitikisikaje kwa kilichotokea mwaka 1961?.Kwanza, Kuna Vitu Huwa Mnachanganya Hapo! Hilo SATAN 2 Sio Nuclear Weapon Na Wala Si Bomu. SATAN 2 Is Just A Delivery System.
Pili, Ukubwa Wa France Ni Zaidi Ya Square KMs 500,000. Ili Iweze Kufutika Kwenye Uso Wa Dunia Ni Lazima Hiyo Nuke Itengeneze Detonation Yenye Ukubwa Huo Wa Ufaransa Nzima Kitu Ambacho Mathematically Hakiwezekani. Labda Idondokewe Na Kitu Kutoka Nje Ya Dunia Kama Vile Asteroid Au Sayari Ndogo Yenye Ukubwa Huo.
Tatu, Hata Kama Urusi Itafanikiwa Kurusha Multiple Nuclear Missiles Au Missile Moja Yenye Multiple Targets (MIRV) Bado Ufaransa Atakuwa Na Uwezo Wa Kufanya Retaliation (Counter-Attack) Dhidi Ya Urusi Kwa Maana Hiyo Ile Doctrine Ya Kijeshi Ya Mutual Assued Destruction Itafanya Kazi. Isitoshe France Na Yeye Ana Delivery Systems Zenye Range Zaidi Ya 10,000 KMs (ICBMs).
Kwa kweli hatari..Ni nani mwenye kukaribia hizo level za us?:urusi haijafikia levo ya kupigana na marekani huwez kuwa sirias boss
Sent using Jamii Forums mobile app
HP kwa mathematics umefeli. Ngoja nikupe somo kidogo Kumbuka ya kuwa bomu kubwa LA hydrogen Kuliko yote dunian Lina milikiwa Na russia ambalo lilifanyiwa majaribio mwaka 1961 ambalo liliandaliwa rasmi lilipuke Kwa intensity ya ya megatons ya milion miamoja Ila lika lipuka kwa intensity ya milion 50 ambalo Lina itwa Tsar bomba lili toa mlipuko WA mara 1500 ya mabom ya nuclear ambalo lililipuliwa Na marekani ktk mij ya Hiroshima Na Nagasaki na linajumuisha milipuko yote iliyo Tokea kipind cha vita kuu ya PILI na Kumbuka kuwa bomu LA hydrogen au nuclear utoa joto kufikia mpk nyuz joto 4000. Twende kiehasabu megaton 1 huathir kimlipuko wake eneo lisilozid 1.5 km jee tuna hitaji megatons ngp kulipua eneo lenye ukubwa WA kilometa 500000 ndipo utakapo jua kwa nn putin alisema atahakikisha vibaraka wote wanakua majivu na kimehesabu marekani anahitaj atleast dk 8 kulusha bomu kufika urusi Ila urusi anahitaj dk 2 tu. Na kwa kuongeza endapo tsar bomba linge lipuka Kwa intensity ya 100m ingetosha kuigawa Dunia vipande viwili Kwa mujibu WA wataalamu. Kwaiyo kachimbe kwanza Ndio uje kuongeaKwanza, Kuna Vitu Huwa Mnachanganya Hapo! Hilo SATAN 2 Sio Nuclear Weapon Na Wala Si Bomu. SATAN 2 Is Just A Delivery System.
Pili, Ukubwa Wa France Ni Zaidi Ya Square KMs 500,000. Ili Iweze Kufutika Kwenye Uso Wa Dunia Ni Lazima Hiyo Nuke Itengeneze Detonation Yenye Ukubwa Huo Wa Ufaransa Nzima Kitu Ambacho Mathematically Hakiwezekani. Labda Idondokewe Na Kitu Kutoka Nje Ya Dunia Kama Vile Asteroid Au Sayari Ndogo Yenye Ukubwa Huo.
Tatu, Hata Kama Urusi Itafanikiwa Kurusha Multiple Nuclear Missiles Au Missile Moja Yenye Multiple Targets (MIRV) Bado Ufaransa Atakuwa Na Uwezo Wa Kufanya Retaliation (Counter-Attack) Dhidi Ya Urusi Kwa Maana Hiyo Ile Doctrine Ya Kijeshi Ya Mutual Assued Destruction Itafanya Kazi. Isitoshe France Na Yeye Ana Delivery Systems Zenye Range Zaidi Ya 10,000 KMs (ICBMs).