Nyuklia ndio nn? Zimetengenezwa na mzungu mmarekani na Solution watakuwa nayo piaOgopa nchi inayomiliki nuclear
Hizi taarifa huwa mnazitoa wapi, niseme tu kombe la dunia lililopita la wanaume na hata hili la wanaume Kwa sisi wapenda kitonga tulikuwa tunaangalia kupitia kctv at 87.5e chinasat yaani niseme hivi tafuteni ukweli msisome viblog mnaleta humu nunu dish la c band funga chinasat nyuzi 87.5e upate channel za korea kaskazini utagundua wewe ndio upo Korea kuliko hao wakorea vitu vingi ambavyo huku unalipia wao wanapeana free,Ushirika wa maana kwa Putin, angalau ni China tuu, kwa Kim ni rahisi mno kujitokeza vikundi vya kumgeuka na kusambaratisha Serikali yake kwa haraka.
Kim, ni mtesaji wa watu wake! Ni muuaji wa wawananchi wake, maisha mazuri yapo kwa watu wachache sana Korea Kaskazini, Raia hawamtaki Kim, yupo hapo kidikiteta basi, Kukitokea vita na nchi za Magharibi, atanyolewa kwa wepesi sana kama alivyonyolewa Id Amin na watu wa kwake!
Mashabiki wa Putini na Kim! Bado hamna pa kuzikimbia missiles za Magharibi na NATO!
Kachukulia mfano kwa magufuri kaleta uhalisia kwa KimMbona unaandika kama unajua chochote, eeeeh hebu tuambie umejuaje kuwa Korea hawamtaki Kim?
Umejuaje kama maisha ni mazuri kwa watu wachache tu.
Hebu tueleze mtaalam wa Geopolitics.
Umeelewa alichoandika!?Ila pia isifikiri watu wote duniani wanaipenda Marekani.
Kwa hiyo hata huko Noko ni hivyohivyo.
Kama unavyoona humu Kuna watu wanaipenda Marekani na Kuna watu hawaipendi.
Hivyo huna data halisi za wa NOko wanaimchikia Kim,au utawala wa Kim.
Wewe umeelewa nilichoandika?Umeelewa alichoandika!?
Your perceptionUshirika wa maana kwa Putin, angalau ni China tuu, kwa Kim ni rahisi mno kujitokeza vikundi vya kumgeuka na kusambaratisha Serikali yake kwa haraka.
Kim, ni mtesaji wa watu wake! Ni muuaji wa wawananchi wake, maisha mazuri yapo kwa watu wachache sana Korea Kaskazini, Raia hawamtaki Kim, yupo hapo kidikiteta basi, Kukitokea vita na nchi za Magharibi, atanyolewa kwa wepesi sana kama alivyonyolewa Id Amin na watu wa kwake!
Mashabiki wa Putini na Kim! Bado hamna pa kuzikimbia missiles za Magharibi na NATO!
Umemjibu vyema sanaCNN na new york times zimelezama sana akili za vijana wengi wa kiafrika ...hao Magharibi miaka mingapi leo wanahangaika kuiangusha dola Pyongyang!?
Uliwahi kusikia Mtanzania hata Pro-Russia yeyote anaenda au anatamani kwenda Korea Kaskazini kwa Kiduku ??Ila pia isifikiri watu wote duniani wanaipenda Marekani.
Kwa hiyo hata huko Noko ni hivyohivyo.
Kama unavyoona humu Kuna watu wanaipenda Marekani na Kuna watu hawaipendi.
Hivyo huna data halisi za wa NOko wanaimchikia Kim,au utawala wa Kim.
Dunia ya sasa ni kijijiMbona unaandika kama unajua chochote, eeeeh hebu tuambie umejuaje kuwa Korea hawamtaki Kim?
Umejuaje kama maisha ni mazuri kwa watu wachache tu.
Hebu tueleze mtaalam wa Geopolitics.
Vijana wengi wa Tanzania wanafuatilia mambo ya Simba, Yanga, Diamond na Zuchu.CNN na new york times zimelezama sana akili za vijana wengi wa kiafrika ...hao Magharibi miaka mingapi leo wanahangaika kuiangusha dola Pyongyang!?
Hujajibu swali,umejuaje?Dunia ya sasa ni kijiji