Mkuu intelligence yote ya Tanzania ni zero brain,ndo maana hata kichaa kaweza kupenya na kuongoza.
Mimi nilii dharau mno TISS nawataja kabisa bila hofu pale binti mdogo tu kama Mange kimambi alipoitetemesha serikali ya jiwe,yaani hiyo siku nilishangaa kuona magari ya kivita na wanajeshi mitaani wakiwa full weapon equipped.
Eti TISS wanashinda humu JF,Facebook na Instagram kisha wanaripot kuwa kunaweza kuwa na maandamano ya mapinduzi.
Hovyo kabisa,intelligence makini ingeweza tu kujua kuwa Hakuna maandamano ya kutishia serikali.
Wao wafanye upuuzi wao wa kuwapoteza wakosoaji wa serikali, lakini kulisaidia taifa kusonga mbele hawawezi.
Nasikia hata JF wanataka kuiteka ili waweze kuwajua wakosoaji wa serikali, yaani intelligence badala ya kufanya mambo mazito kwa faida ya taifa eti wanatuwinda siye tunaoichukia serikali? Hakuna serikali inayopendwa na watu wake wote pote Duniani,wakosoaji wapo tu.
Hawa ni hovyo kabisa.