Putin asitisha Mashambulizi Syria

HIMARS

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
70,471
97,672
Baada ya muda mrefu wa kutupa makombora ndani ya Syria siku ya leo bila ktegemea dunia imeshangazwa na uamuzi wa Putin kutaka majeshi yake yaondoke Syria kuanzia kesho.

Je fedha ndio imekuwa tatizo?
======================

Russian President Vladimir Putin has ordered Russian forces to begin withdrawing from Syria, state-run media reported Monday.

The withdrawal will begin Tuesday, the Sputnik news agency reported, quoting Putin as saying the country has achieved its objective in Syria.

"I think that the task that was assigned to the Ministry of Defense and the armed forces as a whole has achieved its goal, and so I order the defense minister to start tomorrow withdrawing the main part of our military factions from the Syrian Arab Republic," Sputnik quoted Putin as saying.

Putin said the move should help serve as a stimulus for Syria's political talks. The president said he coordinated the move with Syrian President Bashar Assad.

Russian airstrikes began in late-September in support of the Syrian government, which has been fighting both Syrian rebels and Islamic State militants for nearly five years.


Putin orders Russian forces to start withdrawing from Syria
 
Makubaliano ya kusitisha mapigano Syria ndiyo yamemfanya Putin kutoa uamuzi huo. baada ya kuona kuwa makubaliano yameheshimiwa kwa sehemu kubwa . Ila Syria ni mshirika mkubwa wa Russia hivyo muda wowote upepo ukigeuka operations za kijeshi kutoka kwa Putin zinaweza endelea.

Huenda wameona haina haja ya kubakia Syria maana Putin anasema wametimiza malengo yao huko Syria, isitoshe hali ya uchumi wao sio nzuri kutokana na vikwazo ilivyowekewa na kushuka kwa bei ya mafuta kwenye soko la dunia. kuna mdororo wa uchumi ambao unapelekea kupunguza bajeti ya kijeshi karibu 5%, Pia wamesitisha baadhi ya tafiti za anga za mbali (space exploration ) nk.....
 
This chart is self explanatory na ndio sababu Russia kaona isiwe tabu,ukiongeza na oil inabidi atafute pa kutokea,washabiki na wanazi endeleeni kujifurahisha humu lakini Putin anajua akiendelea kuwa Mr Misifa amekwisha
8917226_orig.png

USD/RUB: U.S. Dollar vs. Russian Ruble (courtesy of Barchart)
 
This chart is self explanatory na ndio sababu Russia kaona isiwe tabu,ukiongeza na oil inabidi atafute pa kutokea,washabiki na wanazi endeleeni kujifurahisha humu lakini Putin anajua akiendelea kuwa Mr Misifa amekwisha
8917226_orig.png

USD/RUB: U.S. Dollar vs. Russian Ruble (courtesy of Barchart)
Acha uongo bana dunia ya Leo huwezi danganya watu kirahisi hivi. We can't buy this cheap story.
 
urusi haiwezi kufuata nyendo za US make itafirisika, US ni shavu nene hakuna wa kufanana nayo
 
"But it does mean Russia is seeking a compromise. ... Russia is absolutely not ready to take on the West over Syria."
Tuacheni Hisia Hii vita japo ina Maslahi mapana kwa Putin na Urusi, lakini Gharama ya kuendesha Hii vita ni Kubwa mno kwa Urusi, pamoja Na Iran, Sryia ni Dameski tu ndio tunaweza kusema kuna uzalishaji mali considerable... Hapa ndio west wanashindia.. Ili military base za Urusi ziendelee kuwepo kwa gharam ndogo ni Kuundwa kwa Federation au kugawanywa kabisa kwa Syria but hii pia inaanda mgogoro mwingine mkubwa miaka ijayo, hili tatizo liandaliwa na Wakati wa Ukoloni nadhani faida ya Kuishi kwa ajili vizazi vijavyo, waafrika tujifunze.
 
Kinachofuata Sryia ni mgogoro Hatari Zaidi kuliko huu wa kumuondoa Assad, Syria is running out of money Russia anamatatizo yake nyumbani... Kwa hiyo Option ni Urusi kutumia Wanajeshi wa Ardhini na Vifaa ghali Zaidi kuimaliza vita mapema sana , au Iran wapiganie Ushia na Hapo ndio itakuwa hatari sana.
 
Unajua Vita ni hela kama huna hela utaishia kulia tuuuu
Only USA can stay long in war
 
Teh teh teh....Putin kacheua baada ya kujifanya kimbelembele.

Sasa kachomoa na ISIS ipo palepale.
1.ISIS iko kwenye Defensive mode wala siyo kwenye Offensive mode tena.
2. Anashinikiza maamuzi ya wa Syria yasikilizwe bila influence za nje kwa kujitolea mfano.
3. Anaua mbinu za wachota fedha huko Hazina ya US kwa kisingizio cha kujilinda na Russia. Sasa wataulizwa ela za nini tena wakati tayari Russia mwenyewe anajiondoa taratibu?
4. Ameweka mfumo imara wa kukagua kinachoendelea ndani ya Syria na kuliwezesha jeshi la Syria kusimamia masuala ya ulinzi ya nchi hiyo.
Sababu zipo kibao
 
Nadhani mission ya Russia nchini Syria imeshakuwa accomplished. Tangia mwanzo Putin alisema uwepo wa majeshi ya Russia nchini Syria itategemea effectiveness ya Asad ardhini. Kwa sasa Asad yupo vizuri kuliko wakati wowote ule na amebakiza kushambulia Capital ya ISIS huko Raqqa. Kwa mtazamo wangu hii cease fire inamsaidia Assad kuelekeza Nguvu zake kwa ISIS ndio maana sasa ISIS amebakia ku retreat kama mdau mmoja alivosema ISIS wapo kwenye defensive mode. Mrusi ameshaweka interests zake Syria, ameshajiingiza kwa nguvu kwenye majadiliano ya Syria hadi kuwa Key Player kama US. Assad alikuwa anashunikizwa aondoke maana alishazidiwa na waasi, lakini sasa Assad naye anacheza karata dume huko Geneva kwenye majadiliano ya amani maana waasi wako hoi. Pia Putin amewithdraw ili kuyapa push majadiliano ya amani. Lakini kwa kuwa ameacha military bases mbili basi anaweza kurudi ghafla anytime. Kinachonifurahisha kwa Mrusi ni vile anavoondoka Syria akiwa na very minimum loses while objectives zake zikiwa zimefikiwa.
 
Kinachofuata Sryia ni mgogoro Hatari Zaidi kuliko huu wa kumuondoa Assad, Syria is running out of money Russia anamatatizo yake nyumbani... Kwa hiyo Option ni Urusi kutumia Wanajeshi wa Ardhini na Vifaa ghali Zaidi kuimaliza vita mapema sana , au Iran wapiganie Ushia na Hapo ndio itakuwa hatari sana.
Vita ya ardhini ni gharama kubwa sana hivyo sidhani kama watafanya hivyo maana hata walipokuja kumsaidia Assad walisema hawataleta jeshi la ardhini.

USA ndo anaongoza kwa kuanzisha vita ila asilimia kubwa ya vita na operations zake sio za ardhini kwakuwa ni gharama kubwa si kiuchumi tuu bali kiusalama wa wanajeshi wake pia, maana nilazima wapoteze uhai

USA kwa ubabe wake wote hawezi kwenda vitani mwenyewe, tazama historia tangu vita ya dunia hadi leo, utasikia ameenda na washirika wake wa NATO au washirika wake wengine kama South Korea kusini, Saudia, UAE,Qatar,Bahrain etc.... Hapa ndipo utakapoona USA ni mjanja na anajua hakuna taifa linalojitosheleza kwa kitu na anajua gharama ya vita.
 
Labda amkumuelewa vizuri waziri wa ulinzi amesema Kuna base kama mbili zitaendelea kuwepo hapo Syria . Siyo kweli kwamba majeshi yote ya Russia yameondolewa Syria ukitaka kupata balanced story usipende kuwatch western media.
Russian to keep its Khmeinmim air base in Latakia and a base at the port of Tartus after partial withdrawal

Nimeona Aljazeera wamesema kuwa Russia wamefanya partial withdrawal na kambi zao mbili zitaendelea kufanya kazi Syria.
 
Generally, the objectives of our mission in Syria have been accomplished. - Putin.

Sasa hivi kuna cease fire agreement pale kwa hiyo hata hao ISIS pamoja na waasi wengine hawawezi kumshambulia tena Assad.

Russia bado ina military bases kwa ajili ya ku monitor situations. Pia kumbukeni zile cutting edge S - 400 bado zipo.
 
Hela imekata mbaya!;Kuna mshkaji wangu anasoma China aliniambia warusi anaosoma nao wanalalamika mbaya kuwa serekali imewatelekeza,haina Hela na huku wanajifanya kupigana huko Syria,Purtinizm kwisha habari!.
 
Back
Top Bottom