Putin asitisha Mashambulizi Syria

Putin asitisha Mashambulizi Syria

Nadhani Putin aliposema objectives ya ile vita imekamilika, ni watu wachache sana ambao watakuwa wamemuelewa.

Hizi ni baadhi ya objectives:

1. Kusukuma wakimbizi wengi wa kiarabu bara la ulaya. Hii inapelekea vitu vifuatavyo (a) mzigo kwa ulaya kuwahudumia hao wakimbizi. (b) Security concern kwa nchi za ulaya. Kwa mfano leo hii huko Berlin gari ndogo lililokuwa na Bomu limelipuka katikati ya mji na mtu mmoja amefaliki. Kwa hiyo terrorism itapamba moto ndani ya ulaya.

2. Russia alikuwa ana text makombora yake. Kwa mfano kama mtakumbuka alikuwa anapiga zile Ballistic Missiles kutoka Mediterranean sea, zinavuka Iran, Iraq na zinapiga Syria, umbali wa 1448 km.

3. Sasa hivi Assad amesharudisha sehemu kubwa ya nchi yake na baada ya cease fire agreement hao waasi hawawezi tena kumshambulia wala kusonga Mbele.

4. Russia amefanya yote haya kumkomoa Europe na US kwa zile sanctions zao. Kwa mfano US wamefadhiri hao waasi ambao kwa sasa hawawezi tena kumfanya chochote Assad. Kwa hiyo US hapa amesha fail.
Mkuu nakubaliana sana na hoja yako ya kwanza na ya mwisho..ni kweli ametengeneza corridor ya wakimbizi kuingia Ulaya ambako napo moto unawawakia,wao walitegemea wakimbizi wale wangesambaa Middle East tu.. Na pia kweli Assad pale kapata msaada mkubwa wa kijeshi kiasi kwamba ni vigumu sasa EU kuwaza kumuondoa.
 
Kama mabomu tu hiyo nchi imeyameza sana
 
Back
Top Bottom