But Lebanon Haipo Salama, Iraq imeanza operation ya kukomboa Mosul mji wa Mpakani, Hii ni operation ambayo itaifanya Iraq na Wakurd Kuchukua eneo kubwa la Iraq na Sryia. Unaponiambia Assad amekomboa maeneo makubwa si kweli, Russia alienda Kulinda Vituo vyake vya Kijeshi, kama asinge ingia wakati ule Assad asingekuwepo, Na ndio maana wamepropose Federation Syria..
Mkuu
Ngoja nikuanzie mbali kidogo.
Wakati ule wa uprising ya Ukraine ambayo ilianzishwa na kuchochewa na US, Putin kwa Mara ya kwanza alionekana kama anaangalia tu vile. Lakini mwishoni alipofanya surprise annexation ya Crimea (part of Ukraine), ile move iliwaacha hoi sana hao US kwani hawakuitegemea na Putin hakuishia hapo akasapoti kujitenga kwa Donetsk regions. Ile move ilimfanya Obama aonekane mjina kabisa. It was clear checkmate.
Kuhusu Syria war, hiyo vita imeanzishwa na hao hao US. Objective kubwa ya US ilikuwa ni kumtoa Assad madarakani. Sasa jiulize je ametoka? Sasa kama hajatoka basi US objective has failed.
Sasa kuhusu Syria, Putin alichofanya ni kuikomesha Europe kwa ku fuel wakimbizi. Na ndio maana alikuwa anapiga mabomu usiku kucha. Je, umeshajiuliza kwa nini terrorism imeongezeka Europe now? (French na jana Berlin wamelipua).
Putin ameshasema US haiwezi kui Subdue Russians, je unaelewa maana yake? Maana yake ni kwamba kwa mfano kwenye huu mgogoro wa Syria, baada ya Russians kuingia militarily US alikuwa anavizia Russians waendelee kupambana na hao terrorists (ambao ni wa US), sasa hii suddenly withdrew ya Russians plus peace accord inawalazimu US awatulize hao terrorists wake, jukumu ambalo US alikuwa anavizia Russians wafanye kupitia vita.
Sasa hivi:
cease file ipo in place.
Assad bado yupo madarakani. Miguu juu anapumua sasa.
Assad hashambuliwi tene
US terrorists hawa advance tena
Uchaguzi utafanyika na Assad atashinda
Terrorists wameamia Europe
Europe anapambana na kutunza wakimbizi.
Russians Military training exercise imefanyika katika real world.