Putin asitisha Mashambulizi Syria

Putin asitisha Mashambulizi Syria

Vita ni gharama....russia hawezi pigana vita muda mrefu, alitegemea kua atamaliza kundi la iss kwa muda mfupi hali imekua tofauti...aibu ya puttin.
 
Hela imekata mbaya!;Kuna mshkaji wangu anasoma China aliniambia warusi anaosoma nao wanalalamika mbaya kuwa serekali imewatelekeza,haina Hela na huku wanajifanya kupigana huko Syria,Purtinizm kwisha habari!.
Kwa akili yako weww unadhani hela ya mrusi ikikata au ukisikia mmarekani uchumi umeyumba unadhani ni sawa na kuyumba kwa uchumi wa Tanzania. Zile ni developed countries. Russia ina vikwazo lakini inapigana vita. Last week Russia imetoa msaada wa chakula wa mabilioni ya Dola kwenda North Korea
 
Vita ni gharama....russia hawezi pigana vita muda mrefu, alitegemea kua atamaliza kundi la iss kwa muda mfupi hali imekua tofauti...aibu ya puttin.
Hujui unachosema. Putin alisema atakaa Syria miez mitatu tu. Baadae akasema ataendelea kukaa kulingana na ground situation. Sasa msiojua mambo mnakuja kuropoka ropoka pumba.
 
Hujui unachosema. Putin alisema atakaa Syria miez mitatu tu. Baadae akasema ataendelea kukaa kulingana na ground situation. Sasa msiojua mambo mnakuja kuropoka ropoka pumba.
Suala la vita ni la kiuchumi zaidi sio kama naropoka, usitoke povu mkuu, amesha chemsha huyo.
 
Nadhani Putin aliposema objectives ya ile vita imekamilika, ni watu wachache sana ambao watakuwa wamemuelewa.

Hizi ni baadhi ya objectives:

1. Kusukuma wakimbizi wengi wa kiarabu bara la ulaya. Hii inapelekea vitu vifuatavyo (a) mzigo kwa ulaya kuwahudumia hao wakimbizi. (b) Security concern kwa nchi za ulaya. Kwa mfano leo hii huko Berlin gari ndogo lililokuwa na Bomu limelipuka katikati ya mji na mtu mmoja amefaliki. Kwa hiyo terrorism itapamba moto ndani ya ulaya.

2. Russia alikuwa ana text makombora yake. Kwa mfano kama mtakumbuka alikuwa anapiga zile Ballistic Missiles kutoka Mediterranean sea, zinavuka Iran, Iraq na zinapiga Syria, umbali wa 1448 km.

3. Sasa hivi Assad amesharudisha sehemu kubwa ya nchi yake na baada ya cease fire agreement hao waasi hawawezi tena kumshambulia wala kusonga Mbele.

4. Russia amefanya yote haya kumkomoa Europe na US kwa zile sanctions zao. Kwa mfano US wamefadhiri hao waasi ambao kwa sasa hawawezi tena kumfanya chochote Assad. Kwa hiyo US hapa amesha fail.
 
Labda amkumuelewa vizuri waziri wa ulinzi amesema Kuna base kama mbili zitaendelea kuwepo hapo Syria . Siyo kweli kwamba majeshi yote ya Russia yameondolewa Syria ukitaka kupata balanced story usipende kuwatch western media.
Hata BBC wametangaza ivo ivo ulivoandika wewe hapa..kwamba kuna baadhi ya wanajeshi watabaki..tena walitoa kabisa na voice record ya Putin akiongea ikiamrisha hiyo amri kam amir jesh mkuu..Je bbc sio western media?..Acha kukariri kila bwege wewe
Fungua akili acha kuishi kwa mazoea
 
Haya ndiyo aliyokuwa anamaanisha Putin.

"Our mission has been accomplished"

Car explodes in central Berlin, 1 dead, police suspect a bomb

Published: 15 Mar 2016 | 10:07 GMT

A car has exploded in central Berlin on Tuesday morning, leaving at least one person dead, local media report. Police suspect that an explosive was inside the vehicle, but are not certain about the exact cause of the blast.
 
1.ISIS iko kwenye Defensive mode wala siyo kwenye Offensive mode tena.
2. Anashinikiza maamuzi ya wa Syria yasikilizwe bila influence za nje kwa kujitolea mfano.
3. Anaua mbinu za wachota fedha huko Hazina ya US kwa kisingizio cha kujilinda na Russia. Sasa wataulizwa ela za nini tena wakati tayari Russia mwenyewe anajiondoa taratibu?
4. Ameweka mfumo imara wa kukagua kinachoendelea ndani ya Syria na kuliwezesha jeshi la Syria kusimamia masuala ya ulinzi ya nchi hiyo.
Sababu zipo kibao
Syria is hell..walichotaka hao us na israel kwa miaka mingi ni ku destabiloze syria at any cost.syria yenye nguvu iliyokuwa tushio kwa israel haipo tena..imebaki magofu tuu...Russia hawez jigamba kwa lolote kuhuau syria..alikaa pemben mwanzo akaacha US na wenzie waichezew kwanza na kuiharib syria..putin ameingia wakat syria ishakuwa magofu...Alikusea sana kutoingia mwanzoni wakat FRA walipoanza kushika bunduki...Alimuacha US akiwashushia silaha FSA live kila mtu anaona..Russia alifanya kosa kubwa sana kuto intervene mwanzoni...
Kuijenga syria mpaka iwe stable tena..it ll take decades..so israel anahesabu,1 threat is down to hell....
Kwa maoni yangu Russia aliahindwa kusoma alama za nyakati mwanzoni..
 
Hujui unachosema. Putin alisema atakaa Syria miez mitatu tu. Baadae akasema ataendelea kukaa kulingana na ground situation. Sasa msiojua mambo mnakuja kuropoka ropoka pumba.
Strategy huendana na budget ulionayo...
 
Nadhani Putin aliposema objectives ya ile vita imekamilika, ni watu wachache sana ambao watakuwa wamemuelewa.

Hizi ni baadhi ya objectives:

1. Kusukuma wakimbizi wengi wa kiarabu bara la ulaya. Hii inapelekea vitu vifuatavyo (a) mzigo kwa ulaya kuwahudumia hao wakimbizi. (b) Security concern kwa nchi za ulaya. Kwa mfano leo hii huko Berlin gari ndogo lililokuwa na Bomu limelipuka katikati ya mji na mtu mmoja amefaliki. Kwa hiyo terrorism itapamba moto ndani ya ulaya.

2. Russia alikuwa ana text makombora yake. Kwa mfano kama mtakumbuka alikuwa anapiga zile Ballistic Missiles kutoka Mediterranean sea, zinavuka Iran, Iraq na zinapiga Syria, umbali wa 1448 km.

3. Sasa hivi Assad amesharudisha sehemu kubwa ya nchi yake na baada ya cease fire agreement hao waasi hawawezi tena kumshambulia wala kusonga Mbele.

4. Russia amefanya yote haya kumkomoa Europe na US kwa zile sanctions zao. Kwa mfano US wamefadhiri hao waasi ambao kwa sasa hawawezi tena kumfanya chochote Assad. Kwa hiyo US hapa amesha fail.

5. kutangaza silaha zake ili zipate soko amkaribie USA kwa mauzo. Tumeona Algeria wameagiza SU-35 fighter jets na pia ametangaza S-3000/ S-4000 air defence system
sasa anasubiri kupokea oda tuu.

6. Kuwamaliza wanamgambo wa kirusi wenye mafungamano na Daesh/ISIS/ISIL, Al Quida (Al Nusra Front) na vikundi vingine vya kigaidi. Wengi wa warusi waliojiunga na vikundi hivyo wanatokea Jimbo la Chechnya na ikumbukwe wanamsimamo mkali pia walitaka kujitenga na Russian federation hivyo Putin ameona awamalize hukohuko Syria, maana wakiwaacha watatishia usalama wa Russia pindi wakirudi Russia.

7 . Kuonyesha uwezo wao wa kijeshi kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya electronic warfare na nyinginezo kama guided cruise missiles kutoka black Sea fleet, TU-160 strategic bombers, Su-35 fighter jets etc.... hivyo ni pride kwa Putin.

Ila naona Putin anapenda pride kuliko kukuza uchumi maana baada ya Su-24 all weather bomber kuangushwa na Turkey yeye ameiwekea vikwazo Turkey ambavyo pia kwa kiasi flani vimeshusha faida yao kwa soko la Turkey, lengo likiwa ni kulinda pride ya nchi yake (Russia) na uwezo wa zana zake za kivita. Russia amepoteza billions baada ya kusitisha uhusiano wa kibiashara na Turkey.Maana makampuni mengi ya kirusi yamesitisha mikataba minono huko Turkey baada ya sintofahamu iliyotokea na vikwazo vilivyowekwa na Russia kama adhabu kwa Turkey.
 
Russia has scaled down..........so Kambi zake mbili ya majini na anga bado zitakua na vifaa kadhaa na wanajeshi ili kupisha mazungumzo yaendelee....BTW IRGC special force from IRAN and Hizbollah wapo na huenda wakaingia kwa wingi ku take over still SYRIA bado ana airforce capable of inflicting demage to rabels and ISIS...
 
Vita ya ardhini ni gharama kubwa sana hivyo sidhani kama watafanya hivyo maana hata walipokuja kumsaidia Assad walisema hawataleta jeshi la ardhini.

USA ndo anaongoza kwa kuanzisha vita ila asilimia kubwa ya vita na operations zake sio za ardhini kwakuwa ni gharama kubwa si kiuchumi tuu bali kiusalama wa wanajeshi wake pia, maana nilazima wapoteze uhai

USA kwa ubabe wake wote hawezi kwenda vitani mwenyewe, tazama historia tangu vita ya dunia hadi leo, utasikia ameenda na washirika wake wa NATO au washirika wake wengine kama South Korea kusini, Saudia, UAE,Qatar,Bahrain etc.... Hapa ndipo utakapoona USA ni mjanja na anajua hakuna taifa linalojitosheleza kwa kitu na anajua gharama ya vita.

USA vita kwake anauza silaha kwasababu ni mzalishaji mkubwa..pia nchi nyingi anazokwenda nazo vitani kama washirika wake ndio hao hao anaowauzia silaha yeye
 
Haondoi majeshi yote .yanabaki
Kwy military base mbili ila military advisor wanawatoa
 
Putin hoi, mtu una uchumi wa 2b usd unataka kukingiana kifua na mtu mwenye uchumi wa 18b usd kama sio kutafuta umaarufu wa kijinga nini?! ila hongera wamefanikiwa kupata umaarufu JF
 
USA vita kwake anauza silaha kwasababu ni mzalishaji mkubwa..pia nchi nyingi anazokwenda nazo vitani kama washirika wake ndio hao hao anaowauzia silaha yeye
Huo ndio ujanja wa marekani unaomfanya kuwa juu siku zote, ulaya kaiweka mikononi mwake kupitia NATO na mfumo wa ulinzi kanda nzima ya Euro. Lakini bado hawaamini washirika wake hadi anaamua kudukua mawasilino ya washirika wake. Huku anapata supernormal profits kwenye silaha, kwa asilimia kubwa ya silaha zinazotumiwa na washirika wa marekani zinatoka marekani na wamenunua, mfano ukiacha euro typhoon fighter jets na mirage 2000 jets, zingine zote ni mmarekani mfano F-22 Raptors, F-15, F-16, F-35s etc bado naval warships ( frigate,destroyers), Apache helicopters, M16 assault rifle etc.....
 
Haya ndio mambo ambayo Putin alikuwa anayasema. Europe haitakuja kukaa sawa tena.

Shots fired at police in Brussels during search linked to Paris attacks - report

Published: 15 Mar 2016 | 14:21 GMT

Shots have been fired at Brussels police during a search linked to the November 13 terror attacks in Paris, AFP reports citing a prosecutor.
 
Hata BBC wametangaza ivo ivo ulivoandika wewe hapa..kwamba kuna baadhi ya wanajeshi watabaki..tena walitoa kabisa na voice record ya Putin akiongea ikiamrisha hiyo amri kam amir jesh mkuu..Je bbc sio western media?..Acha kukariri kila bwege wewe
Fungua akili acha kuishi kwa mazoea
Unadhani kulikua Na sababu zozote za kunitukana ndugu anyway no comment.
 
Putin ni chess master... Na hiki alichokifanya ni "checkmate"

Sasa ni jukumu la US na wayahudi wake wawadhibiti hao "terrorists" wao au vita iendelee sasa.

Putin alishasemaga US haiwezi kuwa "Subdue". US ameachwa sasa awa control Terrorists wake. Kwa maana sasa hali ni shwari na atakayeanzisha chokochoko ndiye mgomvi huyo.
 
Nilishasema Mrusi ameanza kuonyesha dalili za kuhema.
Yeye hana petro dollar ya kumwezesha kutamba hii dunia kama afanyavyo Marekani. Lakini hata hivyo nampa hongera kwa kuwapiga makombora hawa mazombi, nilipenda sana lile shambulizi lake la inter-continental ballistic. Tatizo haya mazombi ya kinguruwe yanazidi kuzaliwa kila siku na hayataisha hata ukipiga vipi.

Hata turudi kwa bwana wetu Marekani atoe mwongozo wa nini cha kufanya.
 
Kuna watu haraka sana wanaona kama Russia labda kwa sababu ya vikwazo na mambo kama hayo labda wamedhoofika na wengine wanafikia kusema Russia haiwezi kupambana na Marekani, wako sahihi Russia haiwezi kupambana na Marekani wala Marekani hawawezi kupambana na Russia. In fact hadi leo tunapoongea hakuna nchi inaweza kutangaza vita na Russia. Ni vita ngumu ambayo hata ukishinda utajikuta umepoteza kikubwa kwa ajili ya kupata kidogo. (You can't give your more to receive your less - Bob Marley)
 
Back
Top Bottom