Purple Corns in Thailand.

hii nchi ina maajabu mengi sana likiwemo suala la rushwa na umasikini..
 
Yapo lakini mara nyingi unakuta ni mbegu chahe za zambarau kati ya mbegu nyeupe.
 
Yapo maeneo ya Mlowo na Mwakaleli huko Mbeya,pia yanapatikana baadhi ya maeneo ya Mbinga mkoani Ruvuma (hii ni kati ya 2004-2010) sijafuatilia baada ya hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…