100% nakubaliana na wewe Chifu.
Nilikuwa mtumwa sana wa punyeto hata mara 6 nilikuwa napiga tena kila siku kwa zaidi ya miaka 8.
Nilipoamua kuachana na mitandao kabisa ya simu kama Instagram, Facebook, Pornographies, Badoo, Twitter, Tango na makundi ya WhatsApp ya kijinga nilikuwa nakaa hata miezi mitatu ila nikikumbuka tu namna ya utamu wa punyeto lazima nitapiga na kurudia ujinga ule ule wa awali.
Nilifunga kwa maombi ya siku 7 mfululizo ndipo nikaona uwezo wa Mungu, nina miaka 10 yote sasa sijapiga punyeto na wala sijawahi kuifikiria kamwe.
Sent from my CPH2387 using
JamiiForums mobile app