Punyeto ni ushetani

Punyeto ni ushetani

Kwani ulimwona wapi huyo shetani anapiga nyeto?

Je, Uraibu ndio kigezo chako Cha kumleta shetani hapa?

Kuna uraibu wa kunywa chai
Kuna uraibu wa kunywa kahawa
Kuna uraibu wa kusikiliza muziki
Kuna uraibu wa kula pilipili kwenye chakula
Kuna uraibu wa kula chipsi
Kuna uraibu wa kufanya sex
Kuna uraibu wa kunywa soda
Kuna uraibu wa kunywa energy drinks

Uraibu ni issue ya mwili tu, physiological and psychological issues of the body

Tuache huu ujinga wa kuongopeana kuhusu shetani!

Mtoa mada wewe ulipata ugumu kuacha punyeto Ila wapo wenzako wameacha kirahisi tu

Ukumbuke punyeto inawafurahisha wanaume, Ila wapo wanaume wanachukizwa na hicho kitendo

Wavulana wakibalehe wanafundishana punyeto!
Wakishaanza kupiga punyeto, baadhi yao wanaachana nayo baada ya Muda na wengine wanadumu nayo!
Hapo kwa ujinga wako utasema wanaoendelea wameshikwa na shetani na walioacha wamesamehewa na shetani

Issue Ni psychology na physiology ya mwili wa mtu imekuwa compatible na punyeto kwa kiwango gani!

Imani za kuhusu shetani mufundishane kanisani mulikojivika macho ya Rohoni!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
mkuu sitaki nikulazimishe uamini nilichokiandika maana pia huo siyo mlengo wa hii thread. ulichokisema nimeshakisema na ni scientific fact kila mtu anafahamu.

nilichokizungumza ni imani ambayo kuna watu wameshuhudia wakijiengua kwa tiba za kiimani(maombi) baada ya kushindwa kuacha kwa kutumia njia za kawaida.

NB: science without religion is lame and religion without science is blind.

nafikiri utakuwa umeelewa ujinga wangu ulipo but Anyway endelea na punyeto.
 
Kufanya punyeto ni kufanyaa ngono na shetani ili kupata lengo ni kupata zile mbegu zako zinaenda kuzimu kuzalisha watoto wa kijini.
Unawekewa k ya mbwa,fisi au mdomo wa nyoka ananyonya zile manii, madhara yake ni wewe kupungukiwa na nguvu za kiroho na kimwili.Kuandamwa na mikosi,hakuna mpiga punyeto anaefanikiwa maishani.Thus baada ya punyeto mtu ujisikia hatia baada ya jini yule kumtoka mtu Mara baada ya kumaliza nyeto.
Sio rahisi kuacha nyeto kwa akili zako
 
Kufanya punyeto ni kufanyaa ngono na shetani ili kupata lengo ni kupata zile mbegu zako zinaenda kuzimu kuzalisha watoto wa kijini.
Unawekewa k ya mbwa,fisi au mdomo wa nyoka ananyonya zile manii, madhara yake ni wewe kupungukiwa na nguvu za kiroho na kimwili.Kuandamwa na mikosi,hakuna mpiga punyeto anaefanikiwa maishani.Thus baada ya punyeto mtu ujisikia hatia baada ya jini yule kumtoka mtu Mara baada ya kumaliza nyeto.
Sio rahisi kuacha nyeto kwa akili zako
pamoja sana mkuu
 
100% nakubaliana na wewe Chifu.

Nilikuwa mtumwa sana wa punyeto hata mara 6 nilikuwa napiga tena kila siku kwa zaidi ya miaka 8.

Nilipoamua kuachana na mitandao kabisa ya simu kama Instagram l, Facebook, Pornographies, Badoo, Twitter, Tango na makundi ya WhatsApp ya kijinga nilikuwa nakaa hata miezi mitatu ila nikikumbuka tu namna ya utamu wa punyeto lazima nitapiga na kurudia ujinga ule ule wa awali.

Nilifunga kwa maombi ya siku 7 mfululizo ndipo nikaona uwezo wa Mungu, nina miaka 10 yote sasa sijapiga punyeto na wala sijawahi kuifikiria kamwe.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
hongera sana mkuu MUNGU mkubwa naamini kupitia ushuhuda wako kuna watu humu watabadilika,
 
Watu hawana elimu kuhusu ulimwengu usioonekana utendavyo kazi.
Hata ukienda kwa mganga atakuambia au kukuonyesha Nini Huwepo ufanyapo nyeto,ukionyesha ni uchafu asiee utamani
wengi wanaobase kwenye scientific fact pekee ni failure wa kuondokana na punyeto na wanaitukuza sana, yaan hawafikirii kuacha.

MUNGU awe na wale wenye dhamira ya kutoka
 
Mazoezi yana uhusiano gani na kupiga punyeto, mimi nafanya mazoezi kila dakika na punyeto napiga, naokoa pesa, muda na magonjwa.
ukifanya mazoezi unachoka, mwili unakuwa na uchovu kwahyo muda huo hutafikiria kutafuta porn na kupiga nyeto badala yake utapumzika, sasa kama utachukulia mazoezi kama daily routine nyeto itakwisha kabisa.
 
Once in a while hata sio issue, hata hivyo sinaona popote kwenye Bible walikataza kujichukulia sheria mkononi.
ni kweli ila jaribu kutafakari je! MUNGU anaweza kubariki punyeto?
 
Sijabahatika kuisoma yote ila kiukweli hii inshu hata ukiwa unamwambia mtu atakusikiliza tuu ila akirudi kwenye anga zake aaahh kama kawaa
Aisee ni hatari sana na ndyo maana nikasema ni powerful demon, wafuasi wa asmodeus wanaopungua ni wachache kuliko wanaoongezeka.

duel force deliverance ts only solution, yaan hapo lazima uikane nafsi yako ukiplus na maombi mengi sana.
 
Nyeto, Bangi na Pombe mnavizingizia tu.

Kwasababu ni starehe ya mtu binafsi n wala haimbugudhi mtu.
 
wengi wanaobase kwenye scientific fact pekee ni failure wa kuondokana na punyeto na wanaitukuza sana, yaan hawafikirii kuacha.

MUNGU awe na wale wenye dhamira ya kutoka
Mtu anaejifungia kwenye fikra za sayansi fact yaani utomaso Huwa namuona yupo down sana sayansi haina uwezo wa kutoa majibu juu ya mengi yaliyopo dunia only 10% tu labda inaweza.
 
hapo ni pagumu sana aisee na ni mchakato siyo jambo la mara moja, kama ulivyojenga mazoea ya kuangalia misambwanda mara kwa mara jitahidi kuanza kuipotezea mdogomdogo, and surely inawezekana.
Ni kweli kabisaaa ila tatizo ni pale napoanza mchakato ndo mavishawishi yanaongezeka kwa kasi ya ajabu.
 
Bila ya kupoteza muda naomva niende moja kwa moja kwenye mada.

Mada yangu inachochewa na utafiti mdogo ambao nimeufanya kuhusiana na hii kitu ya kuitwa punyeto. punyeto ni kitu mbaya sana linapokuja swala la spiritual issues.

kuna kipindi nimewah kuandika mada inayohusu uraibu wa kupiga punyeto na mim nilikuwa ni muhanga mkubwa na muhusika mkuu kwenye huo uzi ambao niliouandika miezi kadhaa iliyopita. Kwakweli nilipata ushauri kadhaa kwa members wa humu na nilianza mazoezi ya kuacha.

sasa nilichogundua kuhusu hii punyeto kwenye angle ya uraibu niligundua kwamba siyo psychological issue pekee kwenye scientific fact lakini pia kuna spiritual factor pia ambazo kwa utafiti wangu ndo zilikuwa very dominant. Nilijaribu kufanya correlation ili nipate mizani ya ninachokifikiria lakini bado mzani uliegemea kwenye msukumo wa ushetani, na hapa nitatoa ufafanuzi kidogo.

Kwa takribani miaka 10 nilikuwa kwenye game ya punyeto lakini kwa miaka takribani 4 nilikuwa nikipambana kuacha punheto kwa njia ya kawaida, yaan kufuata njia za kawaida za kisaikolojia lakini mafanikio yalikuwa ni zero. nilipambana sana, niliomba ushauri kwa baadhi ya marafiki zangu ambao wengi wao walikuwa ni madaktar lakini wap matokeo yalikuwa ni sifur bin sifuri mpaka kuna kipindi nilikata tamaa nikasema mimi, nimeshatengwa na MUNGU na heaven ndo basi tena, kwasababu kwangu dhambi kuu ilikuwa ni punyeto.

MUNGU alinirudia.

Naweza kusema this is testimony, kuna siku nikiwa kwenye pitapita mitandaoni kama kawaida nikakutana na mada iliyokuwa inahusiana na "uhusiano kati ya upigaji punyeto na ushetani" yaan soul ties ya binadamu na shetani wa punyeto.

It was a very interesting topic kwasabub I was really tired and my plan was to get out of this mess. kwenye hii mada walimzungumzia shetani wa kuitwa asmodeus, yule jamaa alimzungumzia vizur sana huyu shetani na namna anavyo ingia kwenye mwili wa binadamu na jinsi anavyo-kucontrol. Yule jamaa alielezea na namna ya kumshinda huyo shetani, yaani jinsi ya kuondokana nae. nitaelezea kwa ufupi lakini nitachukua pointi muhimu.

Asmodeus.

Huyu ni shetani ambayo ni very powerful demon, huyu shetani ni mmoja lakin anaposess four souls. Huyu shetani ndo mmiliki mkuu wa ponograph na kila aina ya ngono zisizo rasmi. Asmodius hapendi utakatifu, yaan hapendi mtu anayemcha MUNGU na huyu demon ni mvurugaji kwelikweli, hapendi amani hata kidogo, kama wew umeoa na unapiga punyeto atafanya kila linalowezekana ili awafarakanishe, and you will see everyday kwenye ndoa yako ni mvuragano tu.

Lakin pia huyu demon anahusika sana kwenye kufunga milango ya baraka(it shut open doors) unaweza kuwa umepata deal fulan and lately you find yourself forgotten na pindi linapotokea swala kama hilo wala hupati muda wa kufight mambo ya maana yaan ni utawaza kwa muda tu na utakumbuka kuwa kuna faraja ambayo ni punyeto, ndivyo unavyoendelea kuangamia.

JINSI ASMODEUS ANAVYOKUINGIA
Asmodeus anaingia kwa urahisi sana mwilini mwako kwa kutumia gate of soul ambayo ni macho yako. iko hivi unapowatch porn ndipo unapomfungulia mlango huyu shetani kukuingia na pindi anapoingia tu anakuarrest na hapo unakuwa ni mtumwa wake, utawatch porn baada ya hapo utaingia kwenye hatua ya punyeto.

nimesema ni very powerful demon nafikir tunafahamu jinsi wafuasi wa porn walivyozidi kwenye huu ulimwengu and they never quit, siyo wao ni asmodeus demon ndiyo incharge, very sad

JINSI YA KUONDOKANA NA ASMODEUS
Ili uweze kuvunja mkataba na huyu shetani, jinsi ambavyo uliweza kuingia naye mkataba, maana yangu ni kwamba kama uliamua kutafuta porn site kwa bidii na kuanza kuwatch au kama ulishawishiwa na marafiki principle is very simple(hapa ni individual effort)

1. Achana na marafiki wanaojihusisha na porn, au ikiwezekana anza kuwakaripia na kuwashauri kuacha kuangalia porn, tafuta ugomvi na marafiki wapenzi wa porn, na hapo utaanza kugombana na huyo shetani na utaona hasira zake. usijal kuhusu hasira zake kwasababu wew ni kuimbe wa MUNGU it will not harm you.

Moja kwa moja utaona unaanza kugombana na rafiki zako, utaona wanaanza kukutenga, yaan watauona kama miyeyusho flan but don't give up keep moving the slave road is coming to an end.

2. Kama zilikuwa ni jubudi zako kuanza kuwatch porn there's need individual effort (participatory deliverance) lazima uwe willing kuchange behavior, ni kama ulivyo kuwa willing kuingia kwenye porn. Hapa kunahitajika nguvu sana, yaani unatakiwa kuikana nafsi yako ambayo ndo silaha anayoitumia huyu demon kuharibu soul yako. hapa unahitaji na maombi sana kwasababu haya ni mambo ya kiroho, silaha nyingine ni kama umeshafahamu jina la huyu shetani, kupitia maombi inaweza kuwa rahisi kumtoa.

Nilisukumwa leo kuandika hii makala japo ni ndefu lakini natumaini itakuwa msaada kwa wengine. Naomba niendelee na majukumu mengine.

Niwatakie mchana mwema

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Usilete upuuzi wako hapa, punyeto inapigwa hata na masheikh na mapadre pamoja na wachungaji? Punyeto inasaidia sana kuokoa maisha ya watu sema tu ukizidisha itakukomoa kama huyu kijana wa jana aliyeanguka pale Makumbusho baada ya kujichua toka ghorofani.
 
Hivi mleta mada aliyekudanganya ni nani kuwa punyeto ni dhambi? Angalia jinsi Mapadre na Masheikh wanavyojichua, kwa hiyo hawa ni watenda dhambi wakati wanajichua wenyewe ku save hela?
 
Hivi mleta mada aliyekudanganya ni nani kuwa punyeto ni dhambi? Angalia jinsi Mapadre na Masheikh wanavyojichua, kwa hiyo hawa ni watenda dhambi wakati wanajichua wenyewe ku save hela?
hii bongo ina watu wajinga sana akiwemo na wewe mpiga nyeto. ondokana na huo ujinga acha punyeto, acha sababu za kipumbavu, eti masheikh na mapadri wanapiga nyeto! so kama padre au sheikh anapiga nyeto ndyo kusema kwamba siyo dhambi kwasababu padre au sheikh anafanya? you are complete fool bora ungekaa kimya.

hivi hujawah kusikia padre amezini? au sheikh amezini? kwahyo ile nayo siyo dhambi kwasababu padre au sheikh amefanya? hii jf ichunguzwe! tunaheshimu mawazo ya watu lakini hatuwezi kuulea upumbavu, punyeto siyo dhambi pekee bali ni mvunjaji mkubwa wa maadili, vijana wanapakua video za ngono, badala ya kushughulika na mambo ya muhimu wanazidi kujitumbukiza kwenye punyeto ambazo zinavuruga storage system kwenye ufahamu halafu eti unaleta sababu ambazo hazina kichwa wala miguu.

mkuu acha punyeto ili huo upumbavu ukutoke.
 
Usilete upuuzi wako hapa, punyeto inapigwa hata na masheikh na mapadre pamoja na wachungaji? Punyeto inasaidia sana kuokoa maisha ya watu sema tu ukizidisha itakukomoa kama huyu kijana wa jana aliyeanguka pale Makumbusho baada ya kujichua toka ghorofani.
sasa nani mpuuzi? mim au wewe?
wewe endelea kupiga punyeto. eti mapadre na masheikh wanapiga nyeto! hizi akili bana.
 
Nasikia Kuna raha zake, ungejua hizo raha hungesema ni ushetani. Ngoja wagonga punyeto watoe povu.
 
Na huyu ASMODEUS anawaandama zaidi Waafrika kuliko wazungu maana huwa anapenda watu wenye matatizo mengi zaidi. Kwa wazungu hana ubavu!
Wazungu wamethirika na huyu demon kuliko waafrika ndomana wazungu wanahalalisha ushoga na tabia zisizo za kawaida za kingono
 
Back
Top Bottom