Nimeanza 2010 Hadi karibuni nimeamua kupunguza.Unauzoefu wa muda gani ulemwengu wa nyetoni?
Hisia ninazo kabisa Hadi Natamani kabisa pisi lakini mzigo haunipi ushirikiano.Bro Nina swali la kukuuliza je ni Hauna feelings kabisa au unazo lakini haisimami????!?
Mkuu Mimi asubuhi saa kumi na Moja Hadi Saa kumi na mbili hata mara 5 Naenda.Ila nimepunguza maana mgongo nao umeanza kuuma.Kwa siku unaenda kama mara ngapi?
Dah! Inasikitisha sana. Sasa hadi mara 5 kwa siku kitu gani kinakutuma hadi unakuwa hivyoMkuu Mimi asubuhi saa kumi na Moja Hadi Saa kumi na mbili hata mara 5 Naenda.Ila nimepunguza maana mgongo nao umeanza kuuma.
Hii Naogopa kuingia kwenye uraibu wake maana naskia nayo Ina madhara makubwa.Tumia viagra kwa mara 10 hivi ...
Baada ya hapo uume utakuwa strong tu
Njoo huku Malinyi nikupeleke kwa Kalembwani, nganga wa jadi kiboko!Naombeni msaada Sina haja ya kuongea Sana Ila ukweli uliopo ni kwamba mzigo hausimami kabisa pamoja na yeye kunivulia nguo zote na jitihada zote alizonifanyia Bado mzigo umelala fofofo.
Sina stress Wala depression.Kama Kuna dawa ya kutibu hili tatizo tunaomba msaada.Mengi nimefanya kipindi Cha nyuma ninajutia.
Wewe nenda bhnThubutuuuu!!!![]()
nenda hospitali huenda una magonjwa unaumwa, usisingizie goli la mkonoNaombeni msaada Sina haja ya kuongea Sana Ila ukweli uliopo ni kwamba mzigo hausimami kabisa pamoja na yeye kunivulia nguo zote na jitihada zote alizonifanyia Bado mzigo umelala fofofo.
Sina stress Wala depression.Kama Kuna dawa ya kutibu hili tatizo tunaomba msaada.Mengi nimefanya kipindi Cha nyuma ninajutia.
Kwakua yeye kishakua kalala joroHana lolote beat tu![]()
Kwakua yeye kishakua kalala joro
