Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,061
- 111,631
Mkuu unagusaga kweli ke?mda gani ? kama ni asubuhi sawa, kama ni mda huu hapa nishatembeza 5 shots a piece, aaah tutakesha
Mkuu unagusaga kweli ke?mda gani ? kama ni asubuhi sawa, kama ni mda huu hapa nishatembeza 5 shots a piece, aaah tutakesha
Rudi kwenye dini za asili za kutambikia mababu zako waliokufa, a k a ancestors! Kama kweli huwa unarogwa na una dini.Mababu wako wapi
sigusi, ila nikigusa hiyo ndiyo itakua habari yakeMkuu unagusaga kweli ke?
But si unaweza kuchukua na kwenda kulia chakula home?10k pekee ( kwa kijiwe changu pale) na ugali au mboga inapanda kidogo
Nielekeze njiaRudi kwenye dini za asili za kutambikia mababu zako waliokufa, a k a ancestors! Kama kweli huwa unarogwa na una dini.
ndiyo inawezekana kabisa, na ndiyo hua nafanyaga ivyoBut si unaweza kuchukua na kwenda kulia chakula home?
ushauri ni kwamba asiache, atanishukuruSasa wakuu mtu kaomba msaada gafla mmgeuza kuwa uwanja wa story!!!! Mpeni ushauri.
Nipo DSM ila huwa nasikia tu sijawahi kukiona na kujua ni chakula kipi. Firstly I thought ni makande.
Aisee 😂😂😂Kuchomeka mbali kote huko
Foreplay tu wazungu washatoka, hata zipu haijafunguliwa bado🤣🤣
Njia ni hii, mfuate baba yako ikiwa yu hai, au mfuate baba mzaa baba yako muambie nataka nielekezwe njia ya kuwaabudu mababu.Nielekeze njia
Naomba uweke saivi hapa, huenda kikamsaidia mtoa mada na memba wengine wenye hizo mamboAisee 😂😂😂
Ila nyeto ikizidi ni mbaya sana. Kuna siku nitaweka kisa changu na nyeto.
Naombeni msaada Sina haja ya kuongea Sana Ila ukweli uliopo ni kwamba mzigo hausimami kabisa pamoja na yeye kunivulia nguo zote na jitihada zote alizonifanyia Bado mzigo umelala fofofo.
Sina stress Wala depression.Kama Kuna dawa ya kutibu hili tatizo tunaomba msaada.Mengi nimefanya kipindi Cha nyuma ninajutia.
Lipia mkuu maana limewafikia walengwa kwa wakati mpaka limevuka lengo 😂😂sigusi, ila nikigusa hiyo ndiyo itakua habari yake
nilipie tangazo au ?
Bro Nina swali la kukuuliza je ni Hauna feelings kabisa au unazo lakini haisimami????!?Naombeni msaada Sina haja ya kuongea Sana Ila ukweli uliopo ni kwamba mzigo hausimami kabisa pamoja na yeye kunivulia nguo zote na jitihada zote alizonifanyia Bado mzigo umelala fofofo.
Sina stress Wala depression.Kama Kuna dawa ya kutibu hili tatizo tunaomba msaada.Mengi nimefanya kipindi Cha nyuma ninajutia.

Aanze kut***bwa😂😂😂🤔Pole sana itabidi ikatwe tu
Nitaleta Kama story yenye mtiririko wa episode kulingana na matukio. Lengo ni kuelimisha kuhusu uraibu na hasara zake.Naomba uweke saivi hapa, huenda kikamsaidia mtoa mada na memba wengine wenye hizo mambo