nalijua hilo, napiga za kutosha masaa machache kabla sijaenda paleHuogopi na totoz?
Maana Tabata nako wamechangamka
Kinga ni bora kuliko tibanalijua hilo, napiga za kutosha masaa machache kabla sijaenda pale
senkyuKinga ni bora kuliko tiba
Safi sana
Nani hao wanaokuroga?Pesa ni anasa
Kwanza ukiwa na pesa sana wanakuloga, si bora usiwe nazo uishi zako stress free
Alafu akikutana pisi kali akichomeka tu mzungu kashaletwa na ndio mpaka kesho 🤣Dooh si utatoa upepo
Wachawi wasiopenda maendeleo ya wenzaoNani hao wanaokuroga?
Sorry hivi makange ni chakula gani?nikizipata hua natimba Tabata kupiga Makange, kisha narudi Ngobedi
Kuchomeka mbali kote hukoAlafu akikutana pisi kali akichomeka tu mzungu kashaletwa na ndio mpaka kesho 🤣
inakua na nyama, na karoti na hoho, na nyanya na takataka zingineSorry hivi makange ni chakula gani?
Wewe si ni Mkristo sasa unarogwaje na wachawi? Sasa dini yako inakusaidia nini? Si urudi tu kwa mababu?Wachawi wasiopenda maendeleo ya wenzao
hahahaha upo mkoani sioSorry hivi makange ni chakula gani?
mda gani ? kama ni asubuhi sawa, kama ni mda huu hapa nishatembeza 5 shots a piece, aaah tutakeshaAlafu akikutana pisi kali akichomeka tu mzungu kashaletwa na ndio mpaka kesho 🤣
How much? Generallyinakua na nyama, na karoti na hoho, na nyanya na takataka zingine
kunanamna wanatengeneza inakua tamu balaa, uwe na ugali pembeni au mboga
Mababu wako wapiWewe si ni Mkristo sasa unarogwaje na wachawi? Sasa dini yako inakusaidia nini? Si urudi tu kwa mababu?
Nipo DSM ila huwa nasikia tu sijawahi kukiona na kujua ni chakula kipi. Firstly I thought ni makande.hahahaha uko mkoani sio
Chairman 😜sidanganyiki
kabla kulala nakamilisha cha 6
10k pekee ( kwa kijiwe changu pale) na ugali au mboga inapanda kidogoHow much? Generally