Punyeto imeua uume wangu

Nichek pm nikushauri bure kabisa ila ukipona urudishe SHUKRANI. Utilie maanani hizo capital letters
 
Nenda kamwone daktari
 
Boss kama uko mbeya au jirani na mkoa wa Mbeya. Naomba unitafute kwa Namba hii 0614340569 Ili tujue tunasaidianaje.
Nitafute Usiogope Mkuu
 
Maana yake damu haifiki kwenye uume

Testosterone zimeshuka sana.

Acha Nyeto miezi 2 utarudi Hali Yako ya awali.
Miezi miwili ataanza kuona nafuu tu...! Lakini kurudi kwenye hali yake ya kawaida itamchukua zaidi ya miaka 2
 
𝐓𝐡𝐢𝐛𝐢𝐭𝐢𝐬𝐡𝐚
 
Relax. Nenda kwa wanawake wapya ambao wao watatumia effort kukuamsha. Mfano nenda hawa wa massage kalipie b2b massage chagua design ya pisi uipendayo.

We unatulia tu unacheki show. Utashangaa mnara utakapotokea
 
Kijana badilisha mtindo wako wa maisha nyeto unatumia kama kisingizio lkn usikute unatumia soda au soft drinks,unakula chips,unakula sembe,unakula mapiza,unakula ngano kwa wingi,unatumia vitu vya baridi kama maji baridi sans,haufanyi mazoezi,hapo hapo usikute unakitambi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…