Punyeto imeua uume wangu

Jipe muda. Acha nyeto kwa muda kabla ya kukutana na mwanamke. Kata wiki 3 bila nyeto ndo ukutane na demu.
Sahihi, achana nyeto kwa muda kula vizuri, relax, furahia maisha then tafuta demu atakuja kutushikuru baadaye.
 
Tumia tangawizi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana kula vizuri.(sio unashindia energy drink na maandazi)..fanya mazoezi Sana...pata muda wa kupumzika ...ndani ya week mbili tu Mambo yatakua swafi
 
Mkuu utadababisha jamaa atumalizie mboga huko masokoni,nyanya chungu sado ni nyingi at.
 
We unapiga nyeto unauvuta ub** kama mnati unategemea uwe salama kweli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…