Sailor Boy
Senior Member
- Nov 25, 2010
- 103
- 5
Airtel nao wamekua unstble, net yao inakatakata sana wajirekebishe, sasatel plz we need you in arusha.:a s 465:
unaweza kununua tena mara 2 unapomaliza bundle yako.unapomaliza mapema na kununua nyingine katika mwezi huo huo unapewa bonus.EATEL JISIKIE HURU
Voice anachemka, Data ataweza? Ukinunua modem ya tigo umeliwa, coverage ndogo sana, ukitoka tu maeneo ya mjini ujue hauko connected..duh!..zantel..airtel..voda..zantel..airtel..voda, mbona tigo hatajwi au yeye hayumo kwenye "ligi hii ya internet?"
Voice anachemka, Data ataweza? Ukinunua modem ya tigo umeliwa, coverage ndogo sana, ukitoka tu maeneo ya mjini ujue hauko connected