Punguza mazoea kazini

Punguza mazoea kazini

AskariKanzu

Member
Joined
Jul 25, 2025
Posts
38
Reaction score
146
Unaweza kuwa maarufu au mashuhuri katika mahali pa kazi. Lakini amini siku ukiachishwa kazi leo, hakuna mtu atakae wasiliana na wewe baada ya wiki kupita.

  • Punguza umbea kazini
  • Hacha majisifu na majivuni
  • Hacha mahusiano ya mapenzi kazini
  • Mambo ya kifamilia husilete kazini
  • Fanya kazi yako
  • Pokea mshahara wako

Cc mastering manhood
 
Unaweza kuwa maarufu au mashuhuri katika mahali pa kazi. Lakini amini siku ukiachishwa kazi leo, hakuna mtu atakae wasiliana na wewe baada ya wiki kupita.

-Punguza umbea kazini
-Hacha majisifu na majivuni
-Hacha mahusiano ya mapenzi kazini
-Mambo ya kifamilia husilete kazini
-Fanya kazi yako
-Pokea mshahara wako

Cc mastering manhood
Ongea kidogo
 
Back
Top Bottom