Punguza hasira Temu!

wajameni nadhani Annina naye ni mwandishi kama alivo MMM Mwanakijiji
 
Asante Kaizer, nilisema juu ya uandishi wangu kwenye post ya Mwanakijiji ya "Utapenda kusoma tena?". Asante sana,Annina
 
Yeah nakumbuka nilikusoma kule kwenye ile post, so nilivoona hii nikajua tayari unaonyesha kipaji keep it up! tunasubiri hadithi kamili sijui itakuwa lini au kama unayo utupenyezee kabisa
 
Asanteni sana kwa maoni yenu na poleni kwa usumbufu uliojitokeza, tupo pamoja. Asante sana,Annina
 
Yeah nakumbuka nilikusoma kule kwenye ile post, so nilivoona hii nikajua tayari unaonyesha kipaji keep it up! tunasubiri hadithi kamili sijui itakuwa lini au kama unayo utupenyezee kabisa

Asante Kaizer, kwa sasa bado sijaweza kuweka mambo sawa, tatizo ni muda - mambo ni mengi kuliko muda nilionao ndio maana Temu analalamika! Labda mwisho wa mwaka huu naweza kupata muda wa kuweka mambo sawa - tuombe kheri.Asante sana,Annina
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom