Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,825
- 113,411
He’d be a sellout!Kama Lissu atasahau au kukubali Kama alivyofanya Mbowe watu wana haki ya kusahau pia.
Damu ya mtu asiye na HATIA huwa haipuuzwi.Kwanini unadhani wanateka na kuua wakosoaji wao? This is their most convenient option, because they can easily deny it (as they usually do)!
Kumuua mtu kwa njia za kisheria sio convenient option, kwasababu inatengeneza paper trail ambayo down the road inaweza kugeuka kuwa liability kubwa. Wanachoweza kufanya ni kuwakomoa tu kwa kuwaweka gerezani kwa muda mrefu na kisha kuwaachia kwa nolle prosequi.
Fikiria akili kama hii. The Lowest IQ;Ingekuwa enzi za Mwendazake usingeandika haya, Leo hii ndio unajua habari ya kutekwa kwa Mdude.
Unakaza tu fuvu!? Useless idiot & Samia chawa.huwezi kuiondoa system mbovu kwa ku deal na Samia tu.
Mjinga ni MTU asiyejua jambo,Watanzania wengi siyo wapumbavu ni wajinga. Wapumbavu ni wachache sana.
Chawa wa wana mtandao unaongea nini mjinga wewe? Hakuna kipindi ambacho umefanyika ufisadi wa kutisha kama kipindi cha Samia mpaka watoto wadogo wanajua na yeye yupo tu wala hachukui hatua yoyote, heri hata ya hao watangulizi wake walikuwa wanakemea na muda muda wanawatumbua kabisa.samia kama yeye hajafikia level ya wizi kama JK au Jiwe, kwa hiyo hio sio hoja. Samia anachukiwa sana sababu ya kuna nguvu kubwa inatumika kumchafua kutoka ndani ya CCM, Chadema na wanaharakati. wananchi wakawaida hasa wa TZ always huwa ni wakufata upepo tu. makosa anayofanya Samia ni makosa amabyo yamekuwa yakifanyika ndani ya CCM kwa miaka mingi tu, hakuna alichoanzisha.
Sasa unaona the way huyo aliyemquote anavyofikiri?Fikiria akili kama hii. The Lowest IQ;
Kwa akili yako: Kama sikuandika hivi wakati wa Mwendazake nisiandika kwa Bi ushungi!!!!!!!!!! Mko 99% ya population!!
Ona hili bumunda,! Vp kinyeo kinakuwasha sio?Fikiria akili kama hii. The Lowest IQ;
Kwa akili yako: Kama sikuandika hivi wakati wa Mwendazake nisiandika kwa Bi ushungi!!!!!!!!!! Mko 99% ya population!!
Wengi wenu sasa hivi mnamchukia Samia kwa sababu Lissu yuko jela.
Mmeshasahau kabisa kuwa hata Mbowe aliwekwa jela kwa tuhuma za ugaidi mwanzoni mwa utawala wa huyu huyu mama yenu.
Mbowe alisota jela takriban miezi nane.
Sasa, itakuwa hivi:
Lissu ataachiwa tu. Anaweza kuachiwa kabla kidogo ya uchaguzi au baada ya uchaguzi Samia akishaapishwa.
Na Lissu atapoachiwa, nyie wote mnaojifanya kumchukia sasa hivi kwa sababu hiyo moja, mtapiga makofi na vigeregere vya shukrani kwa Samia na ‘mtaanza’ kumpenda tena.
Nyie ni watu msio na principles. Na nyie ndo wajinga ambao ndo mtaji mkubwa wa CCM.
Unakasirika leo Lissu kufungwa na unasema kabisa kuwa hiyo ndo sababu yako ya kutokumkubali huyo mama, vipi hao wengine waliofungwa na/ au kutekwa na kuuwawa kabla ya Lissu?
Hayo hayakukufanya usimchukie?
Where is your red line?
CCM wanajua sana kuzichezea akili za wajinga na wapumbavu.
Tundu Lissu yuko jela kimkakati tu. Ataachiliwa muda ukifika.
Na wajinga na wapumbavu mtamshukuru Samia.
‘Ahsante mama’. ‘Mama unaupiga mwingi’.
‘Mama ni msikivu’. ‘Mama ana huruma’.
Blah blah blah.
Hapo mtasahau yote aliyoyapata Mbowe.
Mtamsahau mzee Mawazo.
Mtamsahau Mdude.
Na mtawasahau wengine wote.
Unachosema ni kweli kabisa
Na itakuwa ni mitano tena kwa mama.