Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,988
- 142,393
🙏Naunga mkono hoja
Hivi wewe msengerema unafurahishwa nini nq yanayoendelea? Acheni kuendekeza njaa,mtaja tatuliwa rinda! Jinga kabisaUkiskia mtu anasema anasubiri tarehe 29 ujue ni nyumbu alieamua kuficha uoga wake kwenye tarehe ya mbali na hata ikifika hatatoa pua yake kuandamana, kwanini usubiri tarehe 29 wakati Lissu yuko gerezani anaumia kwa kesi ambayo kila mmoja wenu anaamini ni ya uongo.
Kwanini usubiri hadi tarehe 29 wakati kina Mdude, kina Soka hawajulikani walipo! Kwanini usiandamane leo?
Nakubaliana na wewe kuwa asilimia 98 ya watu wa nchi hii ni wajinga na wapumbavu. Nashukuru Mungu kwenye asilimia 2 iliyobaki ya watu wasio wajinga na wapumbavu nchi hii mimi ni mmoja wapoWengi wenu sasa hivi mnamchukia Samia kwa sababu Lissu yuko jela.
Mmeshasahau kabisa kuwa hata Mbowe aliwekwa jela kwa tuhuma za ugaidi mwanzoni mwa utawala wa huyu huyu mama yenu.
Mbowe alisota jela takriban miezi nane.
Sasa, itakuwa hivi:
Lissu ataachiwa tu. Anaweza kuachiwa kabla kidogo ya uchaguzi au baada ya uchaguzi Samia akishaapishwa.
Na Lissu atapoachiwa, nyie wote mnaojifanya kumchukia sasa hivi kwa sababu hiyo moja, mtapiga makofi na vigeregere vya shukrani kwa Samia na ‘mtaanza’ kumpenda tena.
Nyie ni watu msio na principles. Na nyie ndo wajinga ambao ndo mtaji mkubwa wa CCM.
Unakasirika leo Lissu kufungwa na unasema kabisa kuwa hiyo ndo sababu yako ya kutokumkubali huyo mama, vipi hao wengine waliofungwa na/ au kutekwa na kuuwawa kabla ya Lissu?
Hayo hayakukufanya usimchukie?
Where is your red line?
CCM wanajua sana kuzichezea akili za wajinga na wapumbavu.
Tundu Lissu yuko jela kimkakati tu. Ataachiliwa muda ukifika.
Na wajinga na wapumbavu mtamshukuru Samia.
‘Ahsante mama’. ‘Mama unaupiga mwingi’.
‘Mama ni msikivu’. ‘Mama ana huruma’.
Blah blah blah.
Hapo mtasahau yote aliyoyapata Mbowe.
Mtamsahau mzee Mawazo.
Mtamsahau Mdude.
Na mtawasahau wengine wote.
Na itakuwa ni mitano tena kwa mama.
Asilimia 98 ya watu nchi hii ni wajinga na wapumbavu tu.
Huyo naye nilimchana mara nyingi tu humu.Ingekuwa enzi za Mwendazake usingeandika haya, Leo hii ndio unajua habari ya kutekwa kwa Mdude.
Wacha dharau mkuu watu siyo wajinga kama unavyowachukulia. Samia ni adui wa Tanganyika hakuna mtanganyika anayemkubali labda hao chawa wake wa mboga mboga ambao amewageuza misukule yake.Wengi wenu sasa hivi mnamchukia Samia kwa sababu Lissu yuko jela.
Mmeshasahau kabisa kuwa hata Mbowe aliwekwa jela kwa tuhuma za ugaidi mwanzoni mwa utawala wa huyu huyu mama yenu.
Mbowe alisota jela takriban miezi nane.
Sasa, itakuwa hivi:
Lissu ataachiwa tu. Anaweza kuachiwa kabla kidogo ya uchaguzi au baada ya uchaguzi Samia akishaapishwa.
Na Lissu atapoachiwa, nyie wote mnaojifanya kumchukia sasa hivi kwa sababu hiyo moja, mtapiga makofi na vigeregere vya shukrani kwa Samia na ‘mtaanza’ kumpenda tena.
Nyie ni watu msio na principles. Na nyie ndo wajinga ambao ndo mtaji mkubwa wa CCM.
Unakasirika leo Lissu kufungwa na unasema kabisa kuwa hiyo ndo sababu yako ya kutokumkubali huyo mama, vipi hao wengine waliofungwa na/ au kutekwa na kuuwawa kabla ya Lissu?
Hayo hayakukufanya usimchukie?
Where is your red line?
CCM wanajua sana kuzichezea akili za wajinga na wapumbavu.
Tundu Lissu yuko jela kimkakati tu. Ataachiliwa muda ukifika.
Na wajinga na wapumbavu mtamshukuru Samia.
‘Ahsante mama’. ‘Mama unaupiga mwingi’.
‘Mama ni msikivu’. ‘Mama ana huruma’.
Blah blah blah.
Hapo mtasahau yote aliyoyapata Mbowe.
Mtamsahau mzee Mawazo.
Mtamsahau Mdude.
Na mtawasahau wengine wote.
Na itakuwa ni mitano tena kwa mama.
Asilimia 98 ya watu nchi hii ni wajinga na wapumbavu tu.
Haya subiri utaona!Wacha dharau mkuu watu siyo wajinga kama unavyowachukulia. Samia ni adui wa Tanganyika hakuna mtanganyika anayemkubali labda hao chawa wake wa mboga mboga ambao amewageuza misukule yake.
Kati yangu mimi ninaesema unatakiwa uandamane leo na wewe unaesubiri mwezi mzima ndo uandamane nani anafurahia yanayoendelea?Hivi wewe msengerema unafurahishwa nini nq yanayoendelea? Acheni kuendekeza njaa,mtaja tatuliwa rinda! Jinga kabisa
Samia anachukiwa kwa asilimia kubwa sababu ya familia yake kutapanya pesa hadharani,kupeana madaraka ,Lissu anatumika tu kama kisingizio maana wangekua wanampenda lissu wangemuunga mkono kipindi kile anaitisha maandamano kila aendapo
SSH toka arithi kiti bila ya kujali utendaji kazi wake amepata hujuma nyingi ndani ya chama chama na hii ni mahususi kwa ajili ya uchaguzi huu wa 2025.samia kama yeye hajafikia level ya wizi kama JK au Jiwe, kwa hiyo hio sio hoja. Samia anachukiwa sana sababu ya kuna nguvu kubwa inatumika kumchafua kutoka ndani ya CCM, Chadema na wanaharakati. wananchi wakawaida hasa wa TZ always huwa ni wakufata upepo tu. makosa anayofanya Samia ni makosa amabyo yamekuwa yakifanyika ndani ya CCM kwa miaka mingi tu, hakuna alichoanzisha.
usukani kashika polepole muda huu ,, anaweka a lot of misleading arguments and the public is buying itmimi sijawai kupata tabu na wabongo. Sahivi kila kibaraza story zao ni kuwa Magu hakumpiga risasi Lissu alisingiziwa tu ile ilikuwa ni mision ya wanamtandao. mimi niliacha kunywa kahawa amabyo nishailipia pale msimbazi baada ya kusikia huo upuuzi nikaondoka zangu.