Yeye ni nani na imekuaje?Pumzika kwa amani Vicky
Marafiki na ndugu tutakukumbuka daima poleni wana Dodoma na chuo cha St John.
View attachment 2696545
Alikuwa anaumwa kwa muda murefuChanzo nini hasa?
Ahsante sanaPoleni sana wanandugu
R.I.P Shoma.Poleni sana bandeko!Na ukileta uzi ni vema ukatoa hata historia kidogo ya uliyemkusudia.Hata sisi wa Kijiji cha Matimila hapa Songea tumjue.Asante kwa
Rest in Peace alikuwa mtu kweliPumzika kwa amani Vicky
Marafiki na ndugu tutakukumbuka daima poleni wana Dodoma na chuo cha St John.
View attachment 2696545
Mwanamke huwa habebi jina la ukoo/baba yake.Muite Vicky.R.I.P Shoma.
Mwanamke huwa habebi jina la ukoo/baba yake.Muite Vicky.
Okay.Lakini,ndiyo likae mwisho?Shoma ni jina la kike, nadhani Vicky ni jina la ubatizo….usukumani kuna jina la nyumbani na jina la ubatizo