Pumzika kwa amani kada wa CCM, kweli ulitelekezwa

Mhere Mwita

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
235
1,275
7b60ba15c3df643881954b8b7258dc2e.jpg

-------------------------------------------------------------------------
Pumzika kwa Amani Kaimu Katibu Msaidizi wa UVCCM Wilaya ya kibaha Mjini Ndugu Albert Ngwada ukweli nimaskitiko makubwa kweli kwa ndugu zako kwani ulikuwa ni tegemeo kwao.

Mimi nilipopata Ajali Chadema kilijali sana walinihudumia kila kitu mpaka nikaona aibu nikaona nitangaze kuuza kiwanja changu ili nipate matibabu kwani kimeokoa maisha yangu kwa hiyo matibabu madogo madogo ninatakiwa kujitibisha Mwenyewe.

Vijana wa CCM walianzisha Propaganda ya kuwa eti Chadema kimenitelekeza ili chama changu Pendwa kiweze kuchafuka mbele ya jamii lakini Mimi nilisimama nacho imara.

Wewe Ndugu Albert ni mda Mrefu umepata ajari CCM hakijachukua hatua yoyote ya kupata matibabu wamekutelekeza mpaka umefia Nyumbani rafiki yako wa karbu ameniambia.

Cha ajabu hata tu humu Facebook sijaona hata picha yako moja ya kukuombea pole ulipopata Ajali walikusahau na Leo Umekufa hata mmoja sijamuona akikuambia upumzike kwa Amani wanapost habari ya Masha aliowasaliti Leo wanafurahia kurudi kwao wakati hawaskitika kuondoka wewe uliokuwa mtiifu kwao.

Wangweze kukupeleka nje kwani wao ni chama tawala wanakila kitu CCM ilikutumia siku ya kampeni zilipoisha ukatupwa kama Karai Kweli hii ni Roho ya kishetani Pumzika kwa Amani Kada.
 
We jamaa ulitelekezwa mpaka ukauza kiwanja ili ujitibu. Badae ukaamua kuisafisha CHADEMA ila ulikuwa ushachelewa maana watu wako wa karibu walishaongea kila kitu.

Ushahidi => CHADEMA wamtelekeza Mwenyekiti wa BAVICHA wilaya ya Geita, Mhere Mwita baada ya kupata ajali Dodoma

=> Masikitiko: CHADEMA pesa ya ruzuku ni kwa ajili ya nini? haitumiki kutibu viongozi?

Mtu anayehudumiwa na chama hawezi kufikia uamuzi wa kuuza kiwanja ili akajitibie, ndugu ya Mhere Mwita stuka huko hakukufai, mimi nilikimbia baada ya kuona nafasi nyeti wanapeana wakaskazini.

Screenshot from 2017-11-14 21-45-46.png
 
Umeitoa post yako KIUSHABIKI zaidi ... na ingeleta maana endapo huyo unaemwambia KATELEKEZWA angekuwa HAI akiusoma uzi wako ..... afu umeharibu zaidi ulipoingizia habari za MASHA
 
We jamaa ulitelekezwa mpaka ukauza kiwanja ili ujitibu. Badae ukaamua kuisafisha CHADEMA ila ulikuwa ushachelewa maana watu wako wa karibu walishaongea kila kitu.

Ushahidi => CHADEMA wamtelekeza Mwenyekiti wa BAVICHA wilaya ya Geita, Mhere Mwita baada ya kupata ajali Dodoma

=> Masikitiko: CHADEMA pesa ya ruzuku ni kwa ajili ya nini? haitumiki kutibu viongozi?

Mtu anayehudumiwa na chama hawezi kufikia uamuzi wa kuuza kiwanja ili akajitibie, ndugu ya Mhere Mwita stuka huko hakukufai, mimi nilikimbia baada ya kuona nafasi nyeti wanapeana wakaskazini.

Dogo haoni mwenzake Lissu anavyopata matibabu Nairobi yeye mpaka akataka kuuza kiwanja sa hv anakuja kutokwa povu hahaaaaa eti CCM wangempeleka nje yeye Mhere Mwita alipovunjika Dodoma alipelekwa nje? Zaidi aliishia kisimangwa na wachaga kina Malisa kuwa futa haraka hiyo comment yako naye akatii mwenzake Lissu fasta alipandishwa ndege yy akabaki kulia lia mpaka leo sizan hata kama alisharudi chuo
 
aisee kweli hii??
japo umekitetea chama chako ila tulisikia kuwa nacho kilikutenda vivyo hivyo...

ila ccm ya JK sio sawa na ya Baba Ubaya
 
Back
Top Bottom