Pumzika kwa amani Jesca Mmari

Chanzo Cha ajali,alikuwa afukuzwa na bodaboda tatu nasikia alikwangua bajaji,bodaboda wakamuungia ,alipofika kwenye Kona gari ikamshinda

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Maskini, ndio maana nasema iwe kama elimu kwa tuliobaki !! Siku zote usikimbie ajali wala kutoa maneno ya kushutuma just uwe mpole na kuona mwenye haki ni nani!!? Huenda gari yake ndio iliyoumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…