Pumzika kwa amani Hayati Magufuli

Pumzika kwa amani Hayati Magufuli

Hiyo si ilitengenezwa hiv
Mbona haya enzi za Khivyo ete watu wengi tu waliuawa na hamsemi kuwa Kikwete kahusika?mimi nawaona watu watu wanaosema Magufuli ni muuaji kuwa ni wajinga kwa sababu kwanza hawawezi ushahidi na pia mauaji huwa yanatokeaga tawala zote.ni mafisadi, walanguzi,vyeti feki wanaosherehekea kifo cha Magufuli.

Mbona haya enzi za Kikwete watu wengi tu waliuawa na hamsemi kuwa Kikwete kahusika?mimi nawaona watu watu wanaosema Magufuli ni muuaji kuwa ni wajinga kwa sababu kwanza hawawezi ushahidi na pia mauaji huwa yanatokeaga tawala zote.ni mafisadi, walanguzi,vyeti feki wanaosherehekea kifo cha Magufuli.
Mkuu hayo yalitengenezwa na wakosoaji wake ili ionekane anaongoza nchi kwa mkono wa chuma. Lakini vifo vipo mpaka leo, hiyo ni agenda ya wauaji ili wawaonyeshe kuwa walichokifanya kumuua kilikuwa ni sahihi kwa kusingizia kuwa alikuwa anaua watu. Kitu ambacho hakina ukweli wowote.
 
Mm siyo mlanguzi, mwizi wala sina vyeti feki ila nasema MAGUFULI ALIUWA WATU WASIOKUWA NA HATIA. mfano Ben sanane, Anzory gwanda, Alphonsus mawazo na pia alimpiga risasi Tundu lisu. Kwama enzi za jakaya watu waliuwawa kwa hiyo ni sahihi magufuli kuuwa watu wasiokuwa na hatia?
Nakuambia siku nyingine jifunze kujibu hoja kukimbilia vyeti feki sijui na nn ni aina fulani ya ujinga hivi
 
Hiyo si ilitengenezwa hiv

Mkuu hayo yalitengenezwa na wakosoaji wake ili ionekane anaongoza nchi kwa mkono wa chuma. Lakini vifo vipo mpaka leo, hiyo ni agenda ya wauaji ili wawaonyeshe kuwa walichokifanya kumuua kilikuwa ni sahihi kwa kusingizia kuwa alikuwa anaua watu. Kitu ambacho hakina ukweli wowote.
Yupo wapi Ben sanane?
 
Kimaandiko umeshaniua kwa kuwa tu tumetofautiana fikra.....[emoji1787][emoji1787]

Umelewa "smart gin" ama ni hizi shengena za vibandani?!!!

UFISADI ni nini ?!!!

Fisadi ni nani?!!!!

Uko Tanzania unaongelea China...huoni huo ni uchizi na "wishful thinking"?!!!

Taifa lilikuwa salama chini ya JPM na linaendelea kuwa salama chini ya mh.Rais SSH......

NEVER GIVE WISDOM TO UNWORTHY BECAUSE ITS UNFAIR TO THE KNOWLEDGEABLE
Hii nchi ina Vijana wa Ovyo sana, Ujuaji usiojenga ni Uchawi kabisa.
 
Kutokujua alipo haimanishi kauawa na Jpm, ni kama mimi nikikuuliza yuko wapi Dr. Sengondo Mvungi haimaanishi aliuawa na JK kwasababu tu alikufa kipindi chake.
Huyo mvungi si alizikwa? Ben alizikwa wapi? Unarukaruka kama maharagwe kwenye chungu
 
Am still trying to figure out kwanini Mungu aliruhusu Kifo Cha JPM?? Why JPM Afariki na akautuachia hizi shida za Sasa.
Mkuu kwani umesahau kuwa yule kijana wa walamba asali alisema Mungu aliingilia kati kwa dhihaka? Mungu wao ndio wazuri hawafi. Aliingilia kati ili walambe asali vizuri, mmoja wa walamba asali tayari keshatangulia haya yana mwisho, soon kibao kitageuzwa!
 
Intel apparatus ya mfuko wako ama ya nchi ?!!!

Intel apparatus ya nchi inamsaidia kazi mama...mojawapo ni kuhusu hili la bandari unalolipinga wewe kichwa kibovu na hiyo intel app ya mfuko wako.....

#SiempreJMT[emoji120]
Usiwe muoga kazi Iendelee!!!
 
Usiwe muoga kazi Iendelee!!!
[emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kazi inaendelea sana tu....

Mh.Samia is our hero.....

Mwenyezi Mungu aendelee kumhifadhi rais wetu aaamin aaamin[emoji120]

#SiempreJMT[emoji120]
 
Back
Top Bottom