Pumzika kwa amani Hayati Magufuli

Pumzika kwa amani Hayati Magufuli

Kwa haya mambo yanayoendelea katika nchi yetu yanaendelea kuonesha kwanini mafisadi, wala rushwa na wafanya magendo walifurahi baada ya kifo cha Magufuli.

Walijua kuwa wamepata mwanya wa kufanya wanayoyataka kama kuuza assert zote za nchi kwa wabia wao. Nchi inauzwa waziwazi.

Mambo yanayoendelea kwenye nchi hii Kuanzia ufisadi mkubwa kwenye miradi mbalimbali mpaka kuanza kuuzwa kwa mali za Nchi kama mbuga za wanyama na kadhalika inaonesha nchi yetu imeyumba na kuelekea pabaya.

RIP Magufuli, RIP Tanzania.
Mbuga gani imeuzwa, tuanzie hapo kwenye porojo zako za kwenye vilabu vya pombe za kienyeji.
 
Kwa haya mambo yanayoendelea katika nchi yetu yanaendelea kuonesha kwanini mafisadi, wala rushwa na wafanya magendo walifurahi baada ya kifo cha Magufuli.

Walijua kuwa wamepata mwanya wa kufanya wanayoyataka kama kuuza assert zote za nchi kwa wabia wao. Nchi inauzwa waziwazi.

Mambo yanayoendelea kwenye nchi hii Kuanzia ufisadi mkubwa kwenye miradi mbalimbali mpaka kuanza kuuzwa kwa mali za Nchi kama mbuga za wanyama na kadhalika inaonesha nchi yetu imeyumba na kuelekea pabaya.

RIP Magufuli, RIP Tanzania.
Am still trying to figure out kwann Mungu aliruhusu Kifo Cha JPM?? Why JPM Afariki na akautuachia hizi shida za Sasa.
Mnaojifanya kumtaja Magufuli kila wakati mlikua ni wanufaika na sehemu ya wizi wakati wa JPM, hivi sasa mmewekwa pembeni na hamnufaiki tena na wizi wa sasa ndiyo mnajifanya kupiga kelele mkitafuta support yetu.
Sisi siyo wapumbavu, hatuhitaji kuungana na watu ambao tunajua mkirudishwa kwenye ulaji tu kauli zenu zitabadirika tena.
Nyie hampiganii nchi wala hamna uchungu nayo bali mnapigania maslahi yenu.
 
Dalali wa Walanguzi utamjua tu, hata hajifichi,mradi Kesha ingiza chake cha udalali akili zake zinawaza ifike tu Jioni aende zake kwenye vijiwe vya pombe aka pombeke tu huku akibwabwaja "Mama anaupiga Mwingi"!!
Hamkawii kumpachika mtu majina machafu....

Niite vyovyote....nchi haijawahi kutokuwa salama.....ipendeni mchi yenu zaidi ya kuwapenda viongozi wake.....tulimpenda JPM...hayupo....nchi ipo.....itakuwepo hata baada ya mh.Samia ,wewe na mimi kuondoka.....inawezekana wewe ukawa "dalali" wa tumbo lako zaidi ya uniitavyo.....

#SiempreJMT[emoji120]
 
Wameuza bandari zote,wameuza mbuga za wanyama,wameuza madini.watu kama nyie wasapoti mafisadi mnatakiwa kupigwa risasi tu.
Ni vzr uthibitisho uuweke humu, mbuga zipi zimeuzwa, bandari zimeuzwa, madini yapi yameuzwa, CCM siipend since day one lkn kweny hili unaongea usiyojua ni kama unashabikia tu mambo. NB; Kwa taarifa yako nikwambie hakuna msaf ndan ya CCM ukimtoa hayati JKN!!!
 
Ngorongoro mpaka Wamasai wamefukuzwa,sasa hivi wanataka kumpa mwarabu mwingine bandari ya Dar es salaam.
 
Huna akili.....

Ngorongoro ni mali ya mfuko wako?!!!

Wameiuza kwa waarabu na umepata Fedha kiasi gani ?!!!

Hamna kazi za kufanya zaidi ya uzushi koko ?!!!
 
Kwa haya mambo yanayoendelea katika nchi yetu yanaendelea kuonesha kwanini mafisadi, wala rushwa na wafanya magendo walifurahi baada ya kifo cha Magufuli.

Walijua kuwa wamepata mwanya wa kufanya wanayoyataka kama kuuza assert zote za nchi kwa wabia wao. Nchi inauzwa waziwazi.

Mambo yanayoendelea kwenye nchi hii Kuanzia ufisadi mkubwa kwenye miradi mbalimbali mpaka kuanza kuuzwa kwa mali za Nchi kama mbuga za wanyama na kadhalika inaonesha nchi yetu imeyumba na kuelekea pabaya.

RIP Magufuli, RIP Tanzania.
Kwakweli tutamkumbuka sana
 
Ngorongoro mpaka Wamasai wamefukuzwa,sasa hivi wanataka kumpa mwarabu mwingine bandari ya Dar es salaam.
Andamana basi....

Watanzania walio wengi si wapumbavu kama wewe....

Bandari ni pango la walanguzi....mifumo ya TEHAMA haisomani kati ya TPA na TRA....unataka tuendelee na ujinga uliopo?!!!!

Hebu upanue ubongo wako na si "mkundrrrr" tu ....
 
A day comes when all mules will be mined out from each millimeter of our Intel apparutus. Kutakuwa na kusaga meno!!! Be ready!!! Ha ha hahahaha ha haaaaaaaaa!!!
Intel apparatus ya mfuko wako ama ya nchi ?!!!

Intel apparatus ya nchi inamsaidia kazi mama...mojawapo ni kuhusu hili la bandari unalolipinga wewe kichwa kibovu na hiyo intel app ya mfuko wako.....

#SiempreJMT[emoji120]
 
Kwa haya mambo yanayoendelea katika nchi yetu yanaendelea kuonesha kwanini mafisadi, wala rushwa na wafanya magendo walifurahi baada ya kifo cha Magufuli.

Walijua kuwa wamepata mwanya wa kufanya wanayoyataka kama kuuza assert zote za nchi kwa wabia wao. Nchi inauzwa waziwazi.

Mambo yanayoendelea kwenye nchi hii Kuanzia ufisadi mkubwa kwenye miradi mbalimbali mpaka kuanza kuuzwa kwa mali za Nchi kama mbuga za wanyama na kadhalika inaonesha nchi yetu imeyumba na kuelekea pabaya.

RIP Magufuli, RIP Tanzania.
Kwani amekufa? Wacha uchuro,yupo anadunda
 
Back
Top Bottom