Pumzika kwa amani Hayati Magufuli

Pumzika kwa amani Hayati Magufuli

Andamana basi....

Watanzania walio wengi si wapumbavu kama wewe....

Bandari ni pango la walanguzi....mifumo ya TEHAMA haisomani kati ya TPA na TRA....unataka tuendelee na ujinga uliopo?!!!!

Hebu upanue ubongo wako na si "mkundrrrr" tu ....
Sasa badala ya kuimarisha mifumo na kuweka wataalam waliobobea wewe unauza bandari kwa maisha yote unaakili kweli? Yaani sehemu ambayo ni muhimu kwa uchumi na usalama wa nchi wewe unawapa wageni?
 
Sasa badala ya kuimarisha mifumo na kuweka wataalam waliobobea wewe unauza bandari kwa maisha yote unaakili kweli? Yaani sehemu ambayo ni muhimu kwa uchumi na usalama wa nchi wewe unawapa wageni?
Wewe ndio unaujua umuhimu wa usalama wa nchi zaidi ya AMIRI JESHI WA MAJESHI YA ULINZI na "think tankers" wake?!!! [emoji15][emoji15][emoji15]

Una "delusion" ndugu ?!!!

Umeweka rehani fikra zako katika "conspiracy theories"?!!!

Panua fikra zako zaidi.....
 
Yupo anaishi ndo maana serikalini wenye falsafa kama yeye ya uzalendo watakuja kuokoa nchi yetu kwenye mikono ya walanguzi.
Kila aliyekuwa ndani ya serikali ni mzalendo....acha ujinga wa tafsiri yako ya uzalendo yenye ububusa.....
 
Wewe ndio unaujua umuhimu wa usalama wa nchi zaidi ya AMIRI JESHI WA MAJESHI YA ULINZI na "think tankers" wake?!!! [emoji15][emoji15][emoji15]

Una "delusion" ndugu ?!!!

Umeweka rehani fikra zako katika "conspiracy theories"?!!!

Panua fikra zako zaidi.....
Huyo amehongwa na ndugu zake ndo maana anawapa kila kitu.lini Mzanzibari akawa na uchungu na vitu vya bara.
 
Kila aliyekuwa ndani ya serikali ni mzalendo....acha ujinga wa tafsiri yako ya uzalendo yenye ububusa.....
Serikali wapo wazalendo wapo wachumia tumbo.serikali sasa hivi ipo chini ya walanguzi.
 
Mambo ya Magufuli na wenzake ni sawa na madrug lord kugeukana...

Magufuli angekuwa sawa hangeiba kura za ardhi mama yake, kwanza kitendo cha kuiba makura yote ni sawa tu na haya mambo ya DP WORLD, kuna tofauti gani, kajaza watu wasio na ufanisi bungeni...

Angekufa akaacha bunge imara na katiba mpya nani angethubutu hata kufikiria tu kuusain huo mkataba wa DP World?
 
Yule aliyesema Pana siku nchi itauzwa sijui kapotelea wapi
 
Serikali wapo wazalendo wapo wachumia tumbo.serikali sasa hivi ipo chini ya walanguzi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kipimo cha uzalendo ni kipi ?!!!

SI unit yake ?!!!

Serikali yetu imekuwa mstari wa mbele kulinda maslahi ya raia wote toka awamu ya kwanza mpaka hii ya 6.....wezi wamekuwepo siku zote....ila hakuna Rais aliyepata kuwa mwizi na dalali.....umejazwa chuki za kijinga na kuamua kuufurahisha moyo wako upendako....
 
Huyo amehongwa na ndugu zake ndo maana anawapa kila kitu.lini Mzanzibari akawa na uchungu na vitu vya bara.
Umeanza maneno yako na upumbavu....ninategemea la maana Kutoka kwako ?!!!

Ndugu zake waliomhonga wanatoka wapi ?!!!

Umeiona hiyo hongo ?!!

Una ushahidi nayo?!!!

Iliingizwa lini na ni kiasi gani ?!!!
 
Huyo amehongwa na ndugu zake ndo maana anawapa kila kitu.lini Mzanzibari akawa na uchungu na vitu vya bara.
Unataka tusiwe na rais mzanzibari ?!!!

Katiba hiyo yenye kipengele hicho unaiandaa wewe chooni kwako ?!!!

Mh.Rais Mwinyi anatuhumiwa si mzanzibari na wabaguzi....

Wewe unawaweka watu katika madaraja ya uraia wao....wewe ni bora zaidi kumshinda raia kutoka Zanzibar ?!!!!

Kwa maneno yako....kwa hiyo marais kutoka bara huwa wana uchungu na Zanzibar?!!!
 
Back
Top Bottom