Pumzika kwa amani Hayati Magufuli

Pumzika kwa amani Hayati Magufuli

Hivi una Tanzania yako isiyo hii?!!!

Huna unalojua....

Nchi imeuzwa ndotoni mwako baada ya kulewa kangara?!!!

Magufuli ndiye mzalendo kushinda wengine??!?[emoji15][emoji15][emoji15]

Huna unalojua zaidi ya kusimamia hisia zinazoufurahisha moyo wako(subjectively)....

#SiempreJMT[emoji120]
Magufuli is the best ever
 
R. I. P MWAMBA WA AFRIKA JOHN JOSEPH POMBE MAGUFURI.
 
Mnaojifanya kumtaja Magufuli kika wakati mlikua ni wanufaika na sehemu ya wizi wakati wa JPM, hivi sasa mmewekwa pembeni na hamnufaiki tena na wizi wa sasa ndiyo mnajifanya kupiga kelele mkitafuta support yetu.
Sisi siyo waoumbavu, hatuhitaji kuungana na watu ambao tunajua mkirudishwa kwenye ulaji tu kauli zenu zitabadirika tena.
Nyie hampiganii nchi wala hamna uchungu nayo balu mnapigania maslahi yenu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji7]
 
Ni vzr uthibitisho uuweke humu, mbuga zipi zimeuzwa, bandari zimeuzwa, madini yapi yameuzwa, CCM siipend since day one lkn kweny hili unaongea usiyojua ni kama unashabikia tu mambo. NB; Kwa taarifa yako nikwambie hakuna msaf ndan ya CCM ukimtoa hayati JKN!!!
[emoji106][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Am still trying to figure out kwanini Mungu aliruhusu Kifo Cha JPM?? Why JPM Afariki na akautuachia hizi shida za Sasa.
Kama alivyoua watu wasiokuwa na hatia mungu akaamua kumchukua .
Mbona huulizi alipo Ben sanane. Alphonsus mawazo, Anzory Gwanda na wengine aliowaua bila hatia????
 
Mkataba wa bandari umeshawekwa humu kanisomee, Ngorongoro tunajua kila kitu.
Uwe unaelewa mamb, nahitaji wewe unaelaumu na kushutumu ndie ulete evidence zote hapa kila mmoja aone usahihi wa madai yako!!
 
Mambo ya Magufuli na wenzake ni sawa na madrug lord kugeukana...

Magufuli angekuwa sawa hangeiba kura za ardhi mama yake, kwanza kitendo cha kuiba makura yote ni sawa tu na haya mambo ya DP WORLD, kuna tofauti gani, kajaza watu wasio na ufanisi bungeni...

Angekufa akaacha bunge imara na katiba mpya nani angethubutu hata kufikiria tu kuusain huo mkataba wa DP World?
Wewe unaamini Lisu angeweza kupata kura nyingi dhidi ya Magufuli? Magufuli alishinda kihalali
 
Hivi hata jeshi letu kweli haliyaoni haya, hata kanisa na msikiti umeshindwa kuyaona haya maana Usalama wa taifa ni kama umeshindwa kabisa kulitetea taifa.
 
Ukiuwa mtu na wewe unakufa kwa upanga.....jamaa alikuwa muuwaji kwa hiyo aliuwawa alistahili adhabu hiyo
Weka ushahidi hapa kwamba alimuua mtu.ni mtu mjinga tu anayesema kuwa Magufuli alikuwa muuaji wakati mauaji yaliyotokea hata awamu zilizopita hata enzi za Kikwete.
 
Hivi hata jeshi letu kweli haliyaoni haya, hata kanisa na msikiti umeshindwa kuyaona haya maana Usalama wa taifa ni kama umeshindwa kabisa kulitetea taifa.
Labda hao wote wapo kwenye mifuko ya watawala.
 
Kama alivyoua watu wasiokuwa na hatia mungu akaamua kumchukua .
Mbona huulizi alipo Ben sanane. Alphonsus mawazo, Anzory Gwanda na wengine aliowaua bila hatia????
Mbona haya enzi za Kikwete watu wengi tu waliuawa na hamsemi kuwa Kikwete kahusika?mimi nawaona watu watu wanaosema Magufuli ni muuaji kuwa ni wajinga kwa sababu kwanza hawawezi ushahidi na pia mauaji huwa yanatokeaga tawala zote.ni mafisadi, walanguzi,vyeti feki wanaosherehekea kifo cha Magufuli.
 
Back
Top Bottom