Puma Tangibovu wameniibia mafuta?

Puma Tangibovu wameniibia mafuta?

Do you look for mshale kuwa mafuta umeongeza au risiti na KM ulizo tembea acha ulalamishi
Huwa najaza puma africana PUMA! Total and puma ndo wako Poa always ila hawa wa Tangibovu something is very wrong. Bora hata hizi shely za njano kuna mmoja near shoppers masaki wakiweka wese hata la elf 10 unaona mshale una move! I know my car siwez kuharibu biashara ya watu au kupoteza muda kuandika! Something is very wrong pale.


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wako makini na risiti lakini. Ukiweka mafuta lazima watakupa risiti bila kuomba. Sasa wamekuibiaje?
Simpo tu, unapata mita ilianza kusoma kabla hajafanya reset....

Kuna uwezekano kuna mteja kabla yake aliweka mafuta let say ya 10,000, then jamaa alipokuja na IST yake muuzaji akapandishia hivyo hapo jamaa atakuwa kapata mafuta ya 30,000
 
Utaratibu ni kuzima gari ukifika petrol station.

Akishafunga kifuniko ndio unawasha gari.



Sent using Jamii Forums mobile app
Mtanzania!!!! ukimshauri hilo aliyekupa lift, kesho hakupi, kila atakayekutana naye atamwambia kuwa xyz ni masikini lakini anapenda kuwa control wanaomsaidia
 
Acheni u boss ukifika sheli zima gari afu unashuka ukisha shuka sasa ndio unamwambia weka kiasi unachotaka...

Ukikaa ndani unachat mwenzio anapakdishia kama aloshia efu 10 ananzia hapo jadi efu 50 unayotaka na risiti unapewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom