Puma Tangibovu wameniibia mafuta?

Puma Tangibovu wameniibia mafuta?

kabla hujalaumu kagua na hakikisha matumizi ya gari yako, manake niliwahi kutana na mdau mmoja akiwalalamikia TOTAL toto nao wakakataaa, jamaa akaenda police, kisha ewura na zile mamlaka zikaja kagua hizo mashine...huez amini jama alolalamiaka ndo alikuwa na kosa.... huwa yanatokea bali ili uwe na uhakika wa kujitetea hakikisha gari yako haina boriti kwanza
 
Huwa najaza puma africana PUMA! Total and puma ndo wako Poa always ila hawa wa Tangibovu something is very wrong. Bora hata hizi shely za njano kuna mmoja near shoppers masaki wakiweka wese hata la elf 10 unaona mshale una move! I know my car siwez kuharibu biashara ya watu au kupoteza muda kuandika! Something is very wrong pale.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mm na ki IST changu najua budget yangu kwa week so huwa kimshale kikiwa E nikiweka mafuta ya 40,000 najua yanafika wapi.

Mkuu umenikumbusha siku moja tulijaza mafuta hapo, jamaa yangu kiherehere chake kuwahi foleni akaondoa gari kabla mhudumu hajafunga kizibo cha tank, tukaingia barabarani tunamwona mhudumu anatusimamisha, jamaa akasema asitusumbue kama amepunjika ujinga wake, tumeingia vichochoroni kumbe mafuta yanamwagika tunashangaa watu wanatazama gari kila linapopita, sikumbuki alipita njia za wapi tumefika Bunju gauge imeinama😂😂, kimlango cha tank kilijifunga na mafuta yakaendelea kuevaporate, siku ya pili tunakwenda Msata tumefika Total filling station Bagamoyo karibu na pale round about jamaa anashangaa wanamuuliza kizibo kipo wapi? Akaanza kuwalaumu wale wa Puma Mbezi, ikabidi aombe mtu dar aende Puma Mbezi akachukue kizibo aagize kwenye bus mpaka Bagamoyo, tangu saa 3 asubuhi tuliondoka saa 9 jioni.
 
Kuna petrol station pale Mbez kwa Yusuph, nilikuwa nikiweka mafuta pale nashangaa kama sijaweka vile sikujali mpaka nilipoambiwa na mama mmoja kwamba pale wanapiga mbaya, nilianza kufuatilia nikathibitisha pale ni wapigaji tangu wakati huo najaza vituo vya Victoria na Mara chache PUMA fire station may be itokee dharula Niko mbali. So baadhi ya vituo sio waaminifu kabisa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umenikumbusha siku moja tulijaza mafuta hapo, jamaa yangu kiherehere chake kuwahi foleni akaondoa gari kabla mhudumu hajafunga kizibo cha tank, tukaingia barabarani tunamwona mhudumu anatusimamisha, jamaa akasema asitusumbue kama amepunjika ujinga wake, tumeingia vichochoroni kumbe mafuta yanamwagika tunashangaa watu wanatazama gari kila linapopita, sikumbuki alipita njia za wapi tumefika Bunju gauge imeinama, kimlango cha tank kilijifunga na mafuta yakaendelea kuevaporate, siku ya pili tunakwenda Msata tumefika Total filling station Bagamoyo karibu na pale round about jamaa anashangaa wanamuuliza kizibo kipo wapi? Akaanza kuwalaumu wale wa Puma Mbezi, ikabidi aombe mtu dar aende Puma Mbezi akachukue kizibo aagize kwenye bus mpaka Bagamoyo, tangu saa 3 asubuhi tuliondoka saa 9 jioni.
Utaratibu ni kuzima gari ukifika petrol station.

Akishafunga kifuniko ndio unawasha gari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara nyingi tunalaumu vituo vya mafuta hata hivyo lakini sisi pia magari yetu wakati mwingine unakuta ni mabovu, mimi wakati mwingine nanuna kwenye dumu langu napima kama ujazo wake uko sawa
 
Mimi kuna siku taa iliwaka nkaenda kuweka wese la elfu 10 liniboost nifike sehem husika, kufika wakaweka nami najua mshale huwa unasoma wap bt siku hio hata taa haikuzima.. nkawawashia moto kuwa wameniwekea upepo, nkaongeza hela nyngine nkajaza ya elfu 10 mshale ukashoot hatari so smtym ukiweka mafuta kdgo ukija kuongeza ndo unaona kitu kinavyoshoot au la! Ukishawekewa zima gar afu uwashe tena ndo unakuta mshale umemove.. nadhani ni inshu za sensor

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara nyingi tunalaumu vituo vya mafuta hata hivyo lakini sisi pia magari yetu wakati mwingine unakuta ni mabovu, mimi wakati mwingine nanuna kwenye dumu langu napima kama ujazo wake uko sawa
Siku zote vituo wanavyopiga watu wanaenda na dumu anajaza anasepa ingawa sio rahisi kwenda na dumu may be mafuta ya elfu 10

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa najaza puma africana PUMA! Total and puma ndo wako Poa always ila hawa wa Tangibovu something is very wrong. Bora hata hizi shely za njano kuna mmoja near shoppers masaki wakiweka wese hata la elf 10 unaona mshale una move! I know my car siwez kuharibu biashara ya watu au kupoteza muda kuandika! Something is very wrong pale.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Ile total ya pale ST piters na wao mmh me naona kuna mchezo Wanafanya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom