Pulp And Paper Manufacturing In Tanzania- Msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pulp And Paper Manufacturing In Tanzania- Msaada

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mfamaji, Feb 10, 2011.

 1. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Wakuu nisaidieni kwa hili.

  Ninatarjia kufanya research kwenye hii industry siku sio nyingi. Kwa kuanzia naomba wenye kufahamu wanijuze list ya kampuni zinazozalisha karatasi na products za aina hiyo kama vile papers, paper rolls, madaftari napkins etc. Iwe DSM , mikoani haijalishi. Naomba producers sio dealers please.


  I will appreciate your kind help on this .

  regards

  Mfamaji
   
 2. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,215
  Likes Received: 2,077
  Trophy Points: 280
  Kuna kampuni kadhaa ambazo wanazalisha bidhaa tajwa hapo juu.
  Kuna kiwanda cha serikali knaitwa Tembo Chip Board, hiki kipo katika kijiji cha Mkumbara, wilayani Korogwe mkoa wa Tanga, pembeni mwa barabara ya Tanga - Arusha. Kinatengeneza ceiling boards, chip boards na bidhaa nyingine za namna hiyo.
  Kwa Iringa kuna Mufindi Paper Mills (MPM), wao wanazalisha karatasi za kuchaia pamoja na matumizi mengine. Hawa wanapatikana Mgololo, wilayani Mufindi katika mkoa wa Iringa. Watafute kwa +255 783 83125.
   
 3. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  je wANAO ZALISHA TOILET PAPERS FROM RECYCLED MATERIALS UNAHITAJI?
   
 4. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #4
  Feb 14, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Thanks broda
   
 5. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280

  Kabisa broda. Nalenga huku huko zaidi.
   
 6. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #6
  Feb 14, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,197
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kuna kimoja kipo kule Lushoto ila sikijui jina
   
Loading...