Pulmonary embolism

Pulmonary embolism

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,110
Reaction score
2,787
Ndugu zangu Dr wa hapa JF naomba kuuliza ,baba yangu mzazi alifariki mwaka 2002 na kilichosababisha kifo chake ni Pulmonary embolism ndio nimeona Leo kwenye kile cheti chake cha kifo chake.Kumbuka nilikuwa mdogo Sina uelewa .embu nielezeni kwa kiswahili ni ugonjwa gani huo Dr.

Asanteni sana ndungu zangu.
 
Yaani mara nyingi inatokana na thrombosis( damu iliyoganda kutoka kwenye veins inafanikiwa kufika kwenye mapafu kupitia pulmonary arteries. Ndo kunakuwa na blocage kwenye mapafu.
 
Yaani mara nyingi inatokana na thrombosis( damu iliyoganda kutoka kwenye veins inafanikiwa kufika kwenye mapafu kupitia pulmonary arteries. Ndo kunakuwa na blocage kwenye mapafu.
Shukran kwa elimu Victoire
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom