Hapo kny bold sio Juma wasiwasi....mzee wa midevu na mtaalam wa Lugha na ushairi.....nywele zake alikuwa anapaka black....! Du hao marehemu hata sikuwa nimesikia habari hizo isipokuwa Msungu (RIP).....!
Kuna mwingine alikuwa anitwa Juma....huyu alikuwa anadeal na misosi.....ha!ha!ha! mtaalam wa mambo ya MNAZI....kazi kwelikweli!....Hujalipa ada....no Kidishi cha msosi!
Umesahau na wale kina mama wauza maji,mbogamboga na samaki,bweni la mapinduzi.Mbu kibao vijana wanapiga msuli wamevaa soksi na wamejifunika neti noma sana.Mabagala noma ana speed tofauti na umbo lake jamaa anakula ndumu yule,wakati anakukimbiza utasia akisema "Kijana ongeza speed na kuovateki".Pugu boy ukimuona ameingiza mkono katika mfuko wa suruali usifikiri anakupa pesa anajikuna fangasi.Nzoi mzee wa Physics jaribu kumwita teacher class ukitaka kumuliza swali utasikia "nani Teacher hivi ndivyo mnavyowanyea wazazi wenu?" "baba unafikiri hapa mnazi mmoja" akiwa anamana umesoma tution mnazi mmoja then unataka kum challenge.Currently Pugu Kuna geti na kaukuta ka kiushikaji.
pugu ni noma...
sasa hakuna hata anaesema kasoma mwaka gani? labda mmesoma na wanetu,semeni mlisoma miaka gani pugu
sasa hakuna hata anaesema kasoma mwaka gani? labda mmesoma na wanetu,semeni mlisoma miaka gani pugu
Teh teh teh!!!,Mkuu mie nilikuwa pale A level PCM 2000-2003,Bweni la Ujamaa 5
NL,
Nilionyeshwa Ofisi na kuchukua form zangu na kurudi zangu mjini. Sikuamini kama ile inaweza kuwa secondary, tena PUGU (Pugu jina kubwa). Anyway, mliosoma hapo msijione kuwa nawatukaneni. Nimekuja kukata tamaa zaidi baada ya kuona lile bweni lililomliza Naibu waziri wa Elimu, mama nani sijui....
Mh... ina maana hukuonyeshwa kanisa, maabara na pale tulipokuwa tunafuga ng'ombe?? au kule dispensary???
Hahahahaa....na kile kinyumba cha makumbusho ya nyerere?
DOCEBIT VOS OMNIA!!!!!!!!!
I like this
Wakuu nasikia yule aliyekuwa Headmaster pale (kati ya 96 to 2000) Bw. Myenge, na aliye wahi kuwa second master Mr. Mzava kipindi hicho hicho, walishafariki?
Wewe NL wewe..... We talked yesterday!!!! Kwi kwi kwiiiiiiii.... tehe tehe.... Strategic Investor!!
Ha!ha!ha!ha!ha!ha!ha!ha!ha!....................mbavu kwishney kabisa........!
Habari wakuu, nashukuru mmenikumbusha fungus wa Pugu. I was there 92/94 PCB na nilikuwa Ujamaa 1. Hivi Charwe na yule dada wa Chemistry jina limenitoka wapo?
Dada anaitwa mkandawire, wote hawapo pale nilienda kusalimia one day!!!
Kweli JF kiboko, Enzi zile Mkuu hii misamiati hukuwa nayo.
Ngoja niconsult kamusi yangu.....kwi kwi kwiiii..
Habari wakuu, nashukuru mmenikumbusha fungus wa Pugu. I was there 92/94 PCB na nilikuwa Ujamaa 1. Hivi Charwe na yule dada wa Chemistry jina limenitoka wapo?