Mama
Naomba tafsiri ya hii sentensi; umeniacha hoi bin taabani.
Pole sana kwa kukua hoi tena bin taabani, duh, Mungu atakusaidia utakuwa sawa.
Nafikiria jinsi ya kukutafsiria hiyo sentensi nashindwa nianzie wapi. Hebu kwanza nieleze ulivyoelewa ili nijue tatizo lako liko wapi.