Pub ya Miss Chagga

Pub ya Miss Chagga

Nitakuja kunywa siku moja.... sasa sijui nije nimejaza mtonyo kwenye rambo au sandarusi??
 
Hapa ukienda na pick up stout imejaa fedha unaweza kunywa atlease masaa manne. Maana bia Moja elf 70
 
ngoja na mimi ni plana aisee .. sijui nitumie deposit cash uje na bank sleep.. hapa huniibii

muulize Tee Bag atakwambia kuwa kuna watu wanaplan hatari, ikibid unatekwa wewe then najua kuna mtu tu atatoa mkwanja mreefuuuuu
 
Last edited by a moderator:
muulize Tee Bag atakwambia kuwa kuna watu wanaplan hatari, ikibid unatekwa wewe then najua kuna mtu tu atatoa mkwanja mreefuuuuu

aisee mkiniteka mimi mtapata hela sana ..... nashida na hela hata mimi sasa embu nitekeni alafu tunagawana lakini msinipige sana
 
Back
Top Bottom