mlevi sugu
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,981
- 3,875
Kuna ukweli Bwashee, mhudumu lazima awe na mvuto , sio una hudumiwa bia na mbibi wa mwaka 47
Bwashee kuna pub ukinywa una kuta unahudumiwa na pisi mbovu , ni upotevu wa pesa bora ubaki unywee nyumbani tuAfu anakuwa na kisirani, mkali hasikilozi wateja, havai vizuri! 😁
Bwashee utafutaji wa pesa una husiana vipi na mademu wa kali pub?Endelea kutafuta pesa mzee tena pambana sana ikiwa unawaza pub yenye madem aises bado endelea tafuta pesa
Kitumbua kimetiwa hamiraKwenye hii pub, mshahara wangu wote umeishia kwa huyu.. View attachment 3585864
Maisha yenyewe mafupi haya, na yana utamu wake.Kitumbua kimetiwa hamira
Ukiwa na pesa pic kali unaipa direction au inakupa direction nikute sehemu furani au nikukute sehenu furani penye utulivu pasipo na kelele za hizi nyimbo zenu zimekuwa mixed na dj face book kelele mwanzo mwisho ukitoka hapo zile kelele za mziki mixer na pombe asubuhi lazima kichwa kikuume lazima utoe milio kichwa kinaumaBwashee utafutaji wa pesa una husiana vipi na mademu wa kali pub?
Hapo kaongelea wahudumu wazuri na wenye kauli nzuri na sio mambo kukutana wewe ndio umechachanganya ma failina pesa pic kali unaipa direction au inakupa direction nikute sehemu furani au nikukute sehenu furani penye utulivu pasipo na kelele za hizi nyimbo zenu zimekuwa mixed na dj face book kelele mwanzo mwisho ukitoka hapo zile kelele za mziki mixer na pombe asubuhi lazima kichwa kikuume lazima utoe milio kichwa kinauma
Hilo zaga sio mchezKwenye hii pub, mshahara wangu wote umeishia kwa huyu.. View attachment 3585864
Ngoja niendelee kuhonga tu niendelee kupata vitu vitamuHilo zaga sio mchez
Kweli umelewa😂😂Nimekunywa bia moja tu nikatoka kichel