Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

kiukweli mi nachukiaga sana.
kuna mambo mengi huwa nayapata kama ndoto but hayachukui cku nyingi yanatokea kama yalivyo.
naweza ota mtu fulani ndoa yake imevunjika na isichukue muda, yaan huwa naotaga tukio zima kama lilivyo.
na huwa nikimwabia muhusika mfano " mtoto wako amefeli masomo kwa sababu ya ulevi " unakuta yule mtu ana hyo tabia.
yaan huwa naomba dua sana hili jambo liniondoke linanitesa naweza kuwa na rafiki but naota mambo yatayo watokea mazur na mabaya, naogopa hata kuwaambia maana wasipochukua hatua linawatokea kweli na wanajiuliza maswali mengi kuhusu mimi. watu wanaonifanyia mabaya , mazur wengi huwa naotaga
 
Mkuu Pasco

Mimi Mwaka 1996 nilikuja kugundua kuwa kama ikitokea mtu akanifanyia jambo baya na kunitia simanzi bila mimi kumkosea yeye. Nikiingia kinyongo na kusikitika kwa maumivu ya ndani basi mtu huy0 hakika hupatwa na janga/masahibu fulani. hali hii imekuwa ikinitia wasiwasi sana hasa pale ndugu wa karibu wanaponifanyia mambo mabaya unfairly (isivyo haki). Je waweza kunipa ufafanuzi wa jambo hili kiroho na jinsi ya kuepuka au kulidhibiti

Mkuu hi hali ipo kwangu na kwa mama angu pia.kuna dada ambaye nilimwekea kinyongo baadae akaja kuwa na matatizo ya akili,mwingine alifariki na wengineo wengi tu hili jambo limenitisha kwa kweli
 
Mkuu umeelezea vzur sana, kwa mfano mimi nataka nidevelop hapa dsm kuna tempo nayoweza kuhudhuria, au naweza kujitrain alone?

mshana nimekuelewa sana pliiiz if you donn mind ni pm..,i have a lot to talk with you..think we have the same feelings
 
kiukweli mi nachukiaga sana.
kuna mambo mengi huwa nayapata kama ndoto but hayachukui cku nyingi yanatokea kama yalivyo.
naweza ota mtu fulani ndoa yake imevunjika na isichukue muda, yaan huwa naotaga tukio zima kama lilivyo.
na huwa nikimwabia muhusika mfano " mtoto wako amefeli masomo kwa sababu ya ulevi " unakuta yule mtu ana hyo tabia.
yaan huwa naomba dua sana hili jambo liniondoke linanitesa naweza kuwa na rafiki but naota mambo yatayo watokea mazur na mabaya, naogopa hata kuwaambia maana wasipochukua hatua linawatokea kweli na wanajiuliza maswali mengi kuhusu mimi. watu wanaonifanyia mabaya , mazur wengi huwa naotaga

Utakuwa una jinni la utambuzi.
 
Ushawahijipata kwa mmfano ukitembea ama kwenye shughuli zako ukaona mahali ambapo uko kwa sasa, ushawahi kuwa hapo tena? People travel to the future always.
 
Mi ninazo. Nikikutaza kufanya kitu au nikisita kufanya kitu basi hicho kitu lazima kina tatizo,

Nikitala kitu lazima nikipate, vitu vingine huwa navitamka kwa kurudia rudia na vinakuwa, na huwa kama nahitaji kitu kikubwa sana kuliko uwezo/kipato changu kwa wakati huo basi huandika karatasi na kuibandika chumbani ili niwe naisoma kila wakati, na kweli hicho kitu nitakipata (njia inajitengeneza yenyewe)

Pia huwa nikilala usingizi huwa ukitaka kunipitia nahisi kama nataka kuparalys (sio siku zote)kisha huwa najilazimisha kuamka kwa kujitikisa, huwa naogopa nå kudhani kama nataka kukata roho, je hii ni hatua mojawapo katika astral projection au ni njozi uchwara tu???

Asanteni sana
Cc Pasco, Mshana Jr,Rakims
 
aiseee»»»'''' hivi vitu nilikuwa sijui kabisa ndo nimeona leo...yaan nimesoma koment za kutoka 2013 mpaka leo 2015. nimevutiwa sana... tena sanaaa ivo kwa yeyote mwenye uelewa zaid naomba anisaidie ili nami niwe meditator.... nitashukuru kwa msaada zaid
 
Back
Top Bottom