bravocharlie
JF-Expert Member
- Feb 1, 2020
- 861
- 863
Huu ushauri naweza ufata hata nikiwa siumwi kama brother hapoAcha kutumia stimulants zozote iwe kahawa, energy drinks, bangi mpaka uondoe hiyo vasocontriction hasa kwenye coronary arteries. Badala yake tumia kitunguu saumu.
Uwe unasaga kitunguu saumu (punje mbili kabla ya kulala) halafu unaweka paste yake kwenye kisahani na kukinusa kwa dakika 15 - 20, yaani unakishika (kisahani) mbele ya pua na kukihemea. Baada ya hapo, weka hiyo paste kwenye glasi ya maji, ikoroge na kunywa. Unaponusa kitunguu, harufu yake inaingia kwenye mapafu na damu mara moja.
Kitunguu saumu kina kemikali nyingi sana ikiwemo allicin ambayo inasifa ya kutanua mishipa ya damu (vasodilator). Pia ina sifa nyingine ya kuzuia damu kuganda (anticoagulant). Pamoja na kuyeyusha mafuta (cholesterol) kwenye mishipa ya damu na kusaidia glucose homeostasis. Fanya hivi kila siku kwa wiki mbili halafu nenda tena kafanye vipimo kwa daktari wako.
Kwa kuongezea tuu sifa hizi za kitunguu saumu pamoja na sifa nyingine nyingi ambazo sijazitaja, zinasaidia kuzuia virusi vya Corona visienee mwilini. Virusi vya Corona huwa vinaua mtu kwa kugandisha damu (microemboli).
Kwa wale waliowahi kuugua Corona (nikiwa mmoja wapo) watakuambia jinsi maumivu waliyoyapata kwenye mapafu na kwenye misuli ya mabegani kunakosababishwa na vipande vidogo vidogo vya damu vilivyoganda (microemboli). Kama vipade hivi vitakuwa vingi vitafanya mwili uhamaki na kutengeneza kitu kinachoitwa cytokine storm (mwili unajimaliza wenyewe).
Ukienda special place ya sauna wanaweka nini kwenye ile steam?Sawa hizo ni side effects, na it seems like you had no any guidance katika kuutumia mmea. Kama hauna guidance ,Be careful na ;
1. Frequency ya kuvuta
2. Smoke concentration( Volume unayo inject Kwenye mwili).
Kwa mfano, msokoto wa Bangi kwa mtu anaetumia kwa mara ya kwanza hatakiwi kuzidisha Puff 2 , na hautakiwi kuutolea moshi kwenye pua, na unatakiwa ku hold your breathe in like SSSS for a while kisha unautolea moshi kwenye mdomo, you will find out that your mind is shifting from one state to another ; the new state is one of the precious moment , it’s called The NOW, don’t waste it. during that time your focus ni kwenye ishu iliyokufanya uvute.
Kama ukifanya zoezi hilo vyema , then 2 Puff is a maximum dose for you per Six months or so. Je ulikuwa na descipline hiyo ?
One Perfect puff , You will have one of the best experience like you have never seen before. The total Transcendence And this is what we mean when we say you need a guidance.
Kama ulishawahi kutumia mmea before , you can take 2 to 4 puffs/ year or so. Na wakati unafanya hayo ni lazima uwe kwenye mazingira ya kile ulichokusudia.
/
Creativity? writings ? Learning? Innovation ? Astral projection ? Science ? Transcendence ? Death mediation? Looking at the moon [emoji276] and sky ? Making hard decision ? Sex meditating with your partner? Having multiple orgasms at once ? Or meditation and contemplation yaaani just unakaa at your home inapendeza late night hakuna kelele no music just you sit on your floor in your room. You stay silent, na hauwazi chochote Yaani just like a new born, you try to remember who you truly are , you try to see yourself SELF.
You will experience a lot of staff. You gonna be a great man, wisdom , truth, the virtual of silence. You will realize that silence is really loud; everything is there depend on you listen.
Kupitia maelezo yako ni kwamba haukuwa na guidance, haukuwahi ku determine your perfect dose, seems like kila ulipokuwa unajisikia kuvuta Unavuta, yaani frequency yako ilikuwa haina mipaka; and that is why you had some side effects like panic attack, tachycardia( mapigo ya moyo kwenda mbio sometimes), uoga usioelezeka ambao mara nyingi unakuwa associated na panic attack.
The good thing is Cannabis has no addiction or dependency issue. Kama ungekuwa unatumia Cocaine , my friend , usingekuwa na jeuri ya kusema NIKAAMUA KUACHA. na hii ndio faida ya mmea, no over dose, no addiction nor dependency. Even if you abuse it.
You are very lucky man . I am proud of you .
Pia umezungumzia kuhusu suspicions, kwa Kiswahili sijui ndio machale. My friend , that is not a side effect. That is what we call divine intuition. Itakusaidia sana hiyo, please iendeleze. Inakupa wepesi wa kuiona hatari mbele ya dunia yako. Inakupa understandings beyond doubts. Kwa Mfano, unaweza ukastuka usingizini Usiku, ukahisi kama hukufunga mlango, au kuna mazingira ambayo siyo ya kawaida, then go to Verify. Unaweza ukahisi kama unachunguzwa, please Verify , unaweza kuhisi anything like anything...please Verify. Mimi huwa nikingia kwanza naingia kwa machale, pili , nikifika ndani nitaenda chooni kuchungulia, Masterbed room , sometimes nina inama hadi chini ya uvungu to check is everything really okay , .... you know that kind of suspicious. Nikiwa nimesafiri Hotelini, ndio kabisa , kabla sijafanya lolote nitapekua hicho chumba every where, nitatoa mashuka yote To verify everything, chini ya uvungu, balcon etc etc na wakati mwingine na test mitambo , hapa ikitokea balaa natoka vipi kwenye hili gorofa.
That is how senior intelligence wanakuwa trained .you must Be very sustainable
The Cannabis teaches you how to be attentive. Sidhan kama kuna Mwanajeshi ambae hatumii mmea. This is the essence ; to create intuitive and suspicious mind. Ni very important skills kwenye hii dunia.
Ukiendeleza hiyo yaani utaweza kusoma akili ya mtu kabla hajaamua . Utaweza kusoma mazingira rafiki na yasiyokuwa rafiki. Nilifika hotel moja wakati nimeenda SA, nilibadili vyumba 2 ndani ya nusu saa. I was not comfortable na mazingira ya chumba.
Any senior intelligence officer must have that skill.
My prescription kuhusu tatizo lako :
1. Usitumie tena mmea for atleast 3 years or so , never touch
-
2. Uende Sauna for detoxification. Hii utakuwa unafanya mara 3 kwa miezi 3 . If you can manage unaweza kufanya mara 2 kwa mwezi mmoja. But kila mwezi ufanye atleast once. Unatakiwa Kufanya hivi six months consecutive Na utaendelea baadae as per your need.
3. Kama unatumia pombe , uache au reduce consumption. Usipendelee sana any drinks au dawa yenye Caffeine. Kwa Mfano Paracetamol + Diclofenac+ Caffeine hii ni dawa ya maumivu ndani yake Ina caffeine. Usitumie. Uwe unasoma ingrédients za dawa kabla ya kutumia.
4. Pendelea kunywa lemon ( natural [emoji522]) tea , and sometimes fresh milk.
5. Juice ya tembele, au Mchicha au Coriander leaves. Here I mean unasafisha hayo majani kisha unasaga kwa kutumia blender kisha unachuja ile Juice yake ndio unakunywa at least once a week . Nusu glass au kikombe kizima kidogo kile kama cha kahawa. . I prefer juice ya Coriander, au Spinach au mchicha.
.attention na tembele, zina iron nyingi sana hivyo inaweza ku increase level of hemoglobin ( Hb) Kisha damu ikaongezeka sana ukanza kuhisi shida.
6. Jogging every weekend,
7 pendelea sana salade [emoji1637].na matunda kama Apple, grapes.
8. Learn how to relax. Kuna majani pia nimeyasahau hutumiwa sana na wahindi. Huuzwa pale soko la kisutu pale Posta watu huweka vitu nje na n
Itakubidi hiyo prescription uifuatishe for 6 Months bila kuacha , kutakuwa na improvement kubwa sana. Tatizo litaondoka slow but sure . You don’t need Pharmaceuticals medications. Panic unawezaa ukawa unaipata mara chache chache but itapotea kabisa.
Pia mapigo ya moyo ulikuwa unayapata kwa Sababu inaonekana ulikuwa unatumia mmea hali ya kuwa una uoga mwingi,yaani unaogopa na wsiwasi.
due to lack of guidance, kuna namna ambavyo your CNS ili react mara ya kwanza ulipovuta....... but it’s okay , you gonna be fine just learn how to relax . Don’t take any Canabis , observe prescription above
Otherwise, hizo ni side effect za kawaida hasa kwa wale wanaovuta bila ushauri wa kitaalamu. But slowly zitaondoka, usiendelee kutumia tena for atleast 3 to 5 years.
Kama kuna medication ulizopewa Hosp, kwa matatizo mengine ukiwa unaumwa, you can DM me , kuona kama kuna dawa yoyote ulishawahi kutumia ikaleta hiyo side effects ya tachycardia.
Always learn how to seek for guidance, remember that
Hii ni kweli , changamoto kubwa mimi naona watu wafundishwe kwanza.
-
Kwa sababu hakuna kitu hakina madhara.
-
Hata maji uki Over dose kwa Mfano ukanywa 6 L per day wakati wewe body mass yako inataka unywe 1.5L per day, utaenda ku create fluid retention in your body , Na utasababisha pressure kupanda, over time utaanza ku damage your vital organs such as kidney, brain vessels leading to stroke etc etc.
-
Vivo Hivyo kwa hizi mind altering drugs. They have serious side effect ukiwa una Over dose na kutumia mara kwa mara . Yaani vina ku dissociate na reality ya dunia, na sometimes unapoteza feelings za maisha kabisa. Yaani unaona kupata au kukosa is just a game. Let it be .
-
Substance kama hiyo LSD, DMT kwanza zinapatikana naturally kwenye mimea lakini pia drug dealers wanazitumia kutengeneza illicit substance in form of powder and tablets wakati huo huo wanachanganya na chemicals nyingine and makes it more addictive and dangerous.
-
DMT, LSD , Pscilocibin Mushroom zote zimekwa na WHO kwenye Schedule I Controlled Drug ikiwa na maana ya kuwa haifai kwa matumizi ya Dawa wala kwa matumizi yoyote na ukishikwa nayo you should go to Jail . Lakini jiulize Mbona mmea wake bado unaendelea kulimwa .
Shida kubwa pia kwa mfano, leo unamuuliza mtu anaetumia bangi, kwanini unavuta bangi ? Hatoweza kukupa Jibu sahihi.
-
Wengi huvuta kwa makundi, kuiga bila ya kujifunza na kufanya research matokeo yake wanaenda kuharibu akili zao na kuwa wahuni.
-
Na bangi wanazotumia sio zile kutoka shamba , ni zile ambazo wameshachanganya na cocaine ili Kesho uje tena .... baadae mtu anakuwa teja.
-
Know why do you have to smoke ; what do you want from smoking: ? Je unahitaji Creativity or writings or transcendence etc etc yaani lazima uwe na sababu ya kuvuta au kutumia psychedelic substances. Kama Huna sababu then stop it .
Methadone is one of psychedelic, mind altering substance, Na ndiyo hutumika kwenye ku withdraw wale watu waliokuwa addicted na cocaine. methadone Center ipo hapo MNH, Amana , Temeke , Mwananyamala kwa Hospital za Dar Tu.
-
Suali la Msingi unawezaje kuitumia methadone ukaacha DMT, LSD au Pscilocybin Mushroom [emoji265]. Hizi ndio the natural substance ambazo zinamfanya mtu aache kabisa kuwa addicted na kuacha kutumia cocaine na Heroin.
-
Ni substance ambazo zikitumiwa at recommended dose under guidance, makes your life more meaningful, spiritual, brave and creative.
It is all about awaken the consciousness, self realization, the one we are.
-
I personally have used all those psychedelic substances. If you are lucky to get the natural plant from your own garden, then you are done.
LSD tablets, I don’t recommend t’ buying View attachment 1707053
these laboratories made.
View attachment 1707053
DMT powder, it is also laboratory made, I don’t recommend. You have to get the natural plants kama unavoipata Cannabis.
View attachment 1707054
Magic Mushroom, Pscilocybin Mushroom. The tree of Life. The tree of Good and Evil .
View attachment 1707055
LSD plant containing. You need to have this in your secret garden. You may use once per year or 3 years. If you use like that, you will see the benefits of being born on earth.
View attachment 1707056
The DMT plant containing, the tree of life and death, the Vial of pendant eternity.
View attachment 1707057
The Powder , don’t buy this, find the natural plant.
I have a lot of photos and my experience to DMT and LSD , kutokana na uhalisia wa kazi yangu. I am not allowed to share anything from Social platforms . View attachment 1707054
Huu uzi bila kula mmea huwezi ku uelewa.
Tipic ni nzuri mkuu na pia umenikumbusha kisa cha bondia mike tyson alipotumia psychedelics katika safari yake ya spiritual awakening akajikuta kageuka kuwa chura na anongeea na chura hahaha anasimulia aliogopa sana pale dawa ilipoanza kufanya kazi kiasi cha kutamani iishe mwilini. Upatika aji wa hizo dawa hapa Tz upoje? Kama unafahamu
Mkuu umemsoma mtu mmoja indian shaman anaitwa don juan matus?
Ukienda special place ya sauna wanaweka nini kwenye ile steam?
I cant afford for now, so nataka nipige sauna(nyungu) home tu
Daaah Mk54 naweza kuwa mwanao(Son) [emoji28]
Siwezi kuamisha maarifa yako yaje kwangu lakini utanipa guidance nzuri sana
Bila kusahau nipo kwenye FEAR ZONE
now inafika mwaka 1 nimekua mtu wakuonja paff mbili mwisho TatuMara ya mwisho kuvuta ni lini ? Na je bado unaendelea ?
Ahsante nitaifanyia kazi hili Muda mchache kuanzia hapaAcha kutumia stimulants zozote iwe kahawa, energy drinks, bangi mpaka uondoe hiyo vasocontriction hasa kwenye coronary arteries. Badala yake tumia kitunguu saumu.
Uwe unasaga kitunguu saumu (punje mbili kabla ya kulala) halafu unaweka paste yake kwenye kisahani na kukinusa kwa dakika 15 - 20, yaani unakishika (kisahani) mbele ya pua na kukihemea. Baada ya hapo, weka hiyo paste kwenye glasi ya maji, ikoroge na kunywa. Unaponusa kitunguu, harufu yake inaingia kwenye mapafu na kwenda kwenye damu mara moja.
Kitunguu saumu kina kemikali nyingi sana ikiwemo allicin ambayo inasifa ya kutanua mishipa ya damu (vasodilator). Pia ina sifa nyingine ya kuzuia damu kuganda (anticoagulant). Siyo hivyo tuu bali huyeyusha mafuta (cholesterol) kwenye mishipa ya damu na kusaidia kuzuia kisukari (glucose homeostasis). Fanya hivi kila siku kwa wiki mbili halafu nenda tena kafanye vipimo kwa daktari wako.
Kwa kuongezea tuu sifa hizi za kitunguu saumu pamoja na sifa nyingine nyingi ambazo sijazitaja, kinasaidia kuzuia virusi vya Corona visienee mwilini. Virusi vya Corona huwa vinaua mtu kwa kugandisha damu (microemboli).
Kwa wale waliowahi kuugua Corona (nikiwa mmoja wapo) watakuambia jinsi maumivu waliyoyapata kwenye mapafu na kwenye misuli ya mabegani kunakosababishwa na vipande vidogo vidogo vya damu vilivyoganda (microemboli). Kama vipade hivi vitakuwa vingi vitafanya mwili uhamaki na kutengeneza kitu kinachoitwa cytokine storm (mwili unajimaliza wenyewe).
Diamond Platinum Nasibu Abdul JumaIt is true; kwa mfano pia, Creativity ya Pharmaceuticals Industry and Medicine Researchers wanategemea sana Hii mimea.
-
Yaani mtu astue kwanza, apate ile Transcendence ndiyo awaze nini cha kufanya. Baadae Mtu anakuja na majibu na kama ni Dawa atakwambia tufanye hivi hii dawa itatibu : na kweli inatibu ; ukimuuliza inafanye kazi vipi?! Atakwambia sijui. Kwasababu wanapata majibu wakiwa kwenye Transcendance Mode. Sasa wakirudi Kwenye Normal Mode, hawezi kupata Majibu. Unless other researchers waje kufanyia kazi ile idea yake na kuitengeneza kisayansi zaidi.
Ndiyo ile unasikia dawa hii inatibu ugonjwa fulani but mechanism is unknown.
Hollywood wengi wanatoa idea za move za kufa mtu wakistua na psychedelic substance. Nyimbo nyingi za kina The Beatles, Bob Marley na wengine ili waandike mashairi ambayo ni more meaningful and spiritual ni lazima kwanza wa transcendent beyond their minds limit.
-
Na hii ndio Sababu nyimbo zao mpaka leo leo still makes sense to this life.
-
The song like Redemption, unaona kabisa Bob was out of his body. The Movie like The Wizard Oz, it has a lot of hidden message juu ya hizi Psychedelic.
The Movie like American Beauty.
-
Siri kubwa ya Steve Jobs, ipo kwenye Psychedelic. Alisafiri hadi India, under spiritual guidance, Job contacted DMT and LSD as a natural plant. He also learned about the Power Within.
-
It is so fascinating
-
Hawa Spirutual Teachers , kama mapadri, wachungaji wenye nguvu, psychedelics ndio siri yao kubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes nina kazi zake nyingi sana
now inafika mwaka 1 nimekua mtu wakuonja paff mbili mwisho Tatu
Lkini kipindii naanza nilikua namaliza hd bangi 4 Hadi 5 kwa siku
Now nikivuta tu viongo vyangu vinakua dhaifuu kifua kinabana au moyo mapigo yamoyo yanakwenda ndivyo sivyo au vyote vinakutana pamoja pia naweza kupata Hisia za upwekee roho huanza kutanga tangaa
Unamaliza Bangi 4 hadi 5 kwa siku ? You mean Misokoto? Kama ni Misokoto then Mkuu you were really misusing the Cannabis. I think naweza kusema ulikuwa unatumia for RECREATIONAL.
Anyway, wadau hapo juu wamekushauri vyema. Unatakiwa kuacha kabisa kwasasa
Mwaka hautoshi to rejuvenate your body. Yaani Wewe you need to stop for 5 years consecutive, please comply.
Kweli mkuuMkuu ,hapa panahitaji msaada kwa sababu walio athirika ni wengi.Ipi ni njia sahihi na salama ya kuondoa athari kwa Mtu alie tumia mmea (Bangi) kwa muda mrefu !?.
Msaa mwingine; kwa wale ambao bado wana endelea kutumia hii kitu una wassaidiaje ili kupunguza athari zaidi !?.
Wanasema kinacho muua Mtu ni kile akipendacho ,unapo maliza kuvuta utumie nini kupunguza Sumu !?.
Nna tangulisha Shukrani Mkuu Mk54