Psychedelic Drugs & Consciousness

ww pharmacist, utapoteza vijana asee, dar walianza kutumia ngada muda mrefu..... Lakin hawanaga cha maana..... ww kama unaweza tengeneza hata ARV, hapa nchini kwetu zinahitajika sana

Hapana mimi sio Mfamasia.

Naomba review mada. Umesema wameanza kutumia ngada muda mrefu, je wanatumia chini ya uangalizi wa nani, na je ni nani kawapa Authority ya kutumia kila siku , na kwanini watumie kila siku ? na kwanini wanatumia Bangi ?

Naomba uje na majibu ya maswali so that we can have the best discussion.

Naomba usome mada vyema. Kama unafanya kitu bila ya guidance then you are lost.

Naomba jibu kwanini hao vijana wanavuta bangi? Have you ever reserched that. Au vijana wa Arusha kule, fanya research mjomba, ask them hivi kwanini unavuta Bangi, then Andika majibu watakayokupa. Kisha njoo hapa tujadili.
 
Mk54 nina marafiki wawili wanaendesha boda, najua kama wanavuta bangi, nikaamua tu kuwauliza kwanini mnavuta bangi mmoja akasema kuondoa stress mwingine akasema inamfanya ajisikie vizuri

kimsimgi rafiki zangu wameanza vuta bangi muda sana tangu tupo secondary na sio wahuni kabisa yaani hawakabi mtu ni good boys katika society, ila baada kusoma hii makala na maelezo yako Nimegundua rafiki zangu hawako sawa
Kivipi?

Katika making decisions, yaani wana maamuzi flani hivi ni not normal wana shida ya ku reasoning na jinsi wanavyo react kwenye vitu mbali mbali ni tofauti kwenye mahusiano wao ni wababe

Yaani daah kweli too much is harmful
 
Ila sidhani pia kama kutokua normal kwao ni tatizo la bangi. Ukinywa pombe ukazini, sababu sio pombe. Pombe tu ime-expose kilichomo ndani yako. Uzuri wa stimulants kama bangi au pombe, hazikupi kitu tofauti na kilichomo ndani yako though bangi ni exceptional sometimes. If you’re happy, u become more happy.

Jamaa zako kuonekana hawako normal, ni ile kua na emotional quotient (EQ) ndogo. EQ kua ndogo iko na factors nyingi mfano stress, rejection, guilt, loneliness, grief au kuishi maisha ambayo mtu anaona hastahili kuishi.

So jamaa zako unaweza ona wanaonekana wako poa kwa nje, ila ndani wako na battles kubwa sana.
 

Huu ni ushuhuda Mzuri. Sababu zao ni kama ifuatavyo.
1. For Stress Relieve

2. For Recreational Purpose ( kujisikia vizuri )

For as long as unatumia mmea wa aina yoyote kwa sababu tajwa hapo juu, basi jua unaenda kuwa loser na decision skills zako zitakuwa affected as well .

Ask again more people, note their responses, wote wata fall kwenye Sababu tajwa hapo juu.

. Mtu kama Obama, ametumua Canabis, ametumia DMT, ametumia LSD. Mtu kama Trump , Bush, wametumia Canabis , wametumia DMT, LSD , je wanashida yoyote kwenye Personality zao ?

But hawa watu wanatumia hii kitu mara chache tena for Special guidance for very good course.

Maamuzi magumu na sahihi kwa viongozi wengi wa nchi hutoka kwenye mmea.

Like me, In my entire life nimetumia mmea mara tatu tu. Can you imagine? It’s called understanding, Transcendence and descipline ya divine plants. Hata dini, ukihusu sana dini utakuwa ni kichaa, jamii yako inayokuzunguka itakuona wa ajabu au extremist. Kila kitu ni KIASI and Guidance.

Nyama ni protein and we are advised to eat meat, but excessive meat unajua shida yake. Ukitaka kuona shida nenda Kilimanjaro, mtu anakula nyama kilo nzima.....ni ukosefu wa descipline na mafunzo sahihi. Wala sio sifa, ni ukosefu wa elimu sahihi.

On the other hand, Mtu anatumia mmea for stress relieving, haya ni matumizi mabaya ya resources za mmea na ukosefu wa mafundisho sahihi.

Nimeeleza hapo juu, kama unataka kuondoa stress the Only natural Opiate for stress relieving ni DEATH. I mean, KUFA: hutokuwa na stress kwamwe.

Huwezi ku Escape from the truth, stress ni truth katika maisha na ndio zinakujenga kuwa imara, sasa unazikimbia vipi.!! Useless.
 
Naomba darasa, la namna sahihi, masharti na dosage ya kutumia pot!!!
 
Unaamka asubuhi, una enda haja kubwa na ndogo, you take shower, unaingia kwa IST yako , you go to work . Unakunywa chai , unamaliza kazi , una rudi home. Unalala. Asubuhi unaanza cycle ile ile
Hii ndio life cycle ya watu wengi.. Katika hii dunia kuna mengi mazuri sana ambayo wachache ndio wanafaidika nayo...

Mimi naomba nikutafute
 
una wisdom ya kibabe Endelea kutupa shule
 
Naomba darasa, la namna sahihi, masharti na dosage ya kutumia pot!!!

That is very good enthusiasm.

I am afraid that huu UZI utafungwa tukiingia kwenye mjadala wa aina hiyo.

Nimefanya kazi pia na DCEA, Drug Control and Enforcement Authority, nikifanya hicho ulicho request, nitakuwa ninaenda kinyume na taratibu za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ijapo kuwa nipo nje ya nchi, Mimi bado ni mtumishi wa Umma, nina viapo vyote vya utumishi bora.
-
Halikadhalika, Psychedelic zote pamoja na Canabis zipo kwenye schedules I za controlled drugs kwa TZ, hivyo kufanya hivyo ni kukiuka Sheria ya kuzuia na kupambana na mind altering drugs.

I believe truth is there, you have all the means to know the truth.

You many also Learn how to decode the information provided in this thread. We have put a lot of stuff here, only if you pay attention.

Remember, we still have to comply with the rules, policies and regulations of the country

Thanks
 
Mkuu, huo mmea ambao una ua kama la zambarau unaitwaje?. I remember back in the days when we were kids, we used to consume nectar from such flowers. Ina maji maji yaliyo kama na sukari hivi.

Miaka mingi imepita sasa na sioni kama haya maua kama bado yanajiotea kama ilivyokuwa hapo awali.
 
Duhhh para ya mwisho
 
 
So sad
 
View attachment 1710141View attachment 1710143Mimi Naulizia mbegu za hivi vitu kama naweza kupata Bongo

Ukikutwa na huu mmea ni ishu kwako. Yaani lazima utoe maelezo ya kutosha wewe kumiliki mmea. Ila Mbegu zipo na sio lazima utoke nazo Bongo. Mimea kama hii ipo but ni kwa ajili kujifunza zaidi nasio vinginevyo. Nadhani pia unqfahamu huu ni mmea gani. Mmea wako huu unaitwa Papaver Somniferum ; ambao in the process utomvu wake ukikaushwa unaenda tengeneza Cocaine. Sasa kaka huu mmea wewe wa nani .

Kumbuka hapa tunajadili zaidi kuhusu Psychedelic Yaani Mind Revealing Plants na sio Mind Altering Drugs.
Cocaine ni
Hard drugs, nimeeleza pia Mimi naita Cocaine kama Devil in the chemical form . Never try, you will not get any Transcendence: utapata ile stem ya 5 mins tu... after that utakuwa umeandika Historia mpya ya maisha yako Yaani safari ya kuelekea to HELL
 
Mkuu nikihitaji hiyo kitu ( Psychedelic Divine Plant )
Naweza kuipata wapi? Nahitaji kuamsha The power within ikiwezekana kwa haraka iwezekanavyo
Ukiyachuna majani ya jamii ya katani, mpaka milimita chache kwenda ndani, kabla ya kufikia uweupe na kuchemsha mchanganiko huo halafu ukanywa, baada ya muda utaanza kutembea (hallucinogenic experience). Ila usifanye bila mwongozo wa mtu anayejua hayo mambo.

Unaweza kupata safari mbaya itakayofanya mapigo yako ya moyo yaongezeke (hata kufikia 140bpm) na kuanza kupata panic attacks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…