Psychedelic Drugs & Consciousness

View attachment 1760479
Cannabis Buds ( Smokable Part!

View attachment 1760481
Hii ndio Buds iliyokuwa Harvested and cured ready for the kick and kush .

This one unaweza kutengenezea chai ️ yaani ukachemsha kama chai na ina taratibu zake. Au ukaweka kwenye keki and other foods.

Ukitumia hii kitu , you will get high . Kama ukinywa as tea , and if the the strength of THC ranges between 100mg to 200mg , my friend you will get a kick ambayo itadumu for at least 6 hours. Imagine getting high for 6 hours ,LMFAO . Unawezaa enda Dukani kwa mangi ukiwa na sabuni na ndoo ya maji ukidhani ni BAFU la kuogea ha ha !
But , huko India wanatumia chai kama hii for spiritual Connotations and mysterious of life. Especially pia Kwenye ritual ceremonies and soul communication to the divine nature.

It give you the hit that lasts. Ila Ukismoke the effect will be only 1 hrs or less .

Wanao enjoy hii kitu ni wale ambao wanatumia for malengo maalumu na sio RECREATIONAL.

Huu mmea ndio siri ya mapadri na wachungaji wengi wanaojifanya SMART na kumjua Mungu sana
Mkuu nilikua naomba kuliza JE NI KWANINI IKATOKEA UMEVUTA NA BAHADA YA HAPO UKANZA KUTAPIKA/ tangu ianze kunitokea nimeacha kabisa
 
Mkuu nilikua naomba kuliza JE NI KWANINI IKATOKEA UMEVUTA NA BAHADA YA HAPO UKANZA KUTAPIKA/ tangu ianze kunitokea nimeacha kabisa

Pole sana.

Kitaalamu inaitwa Hyperemesis Syndrome. Hutokea kwa baadhi ya watu.

Kimsingi the main reasons ya why inatokea haijulikani. Science bado haijui mengi kuhusu this divine and mystical plant. Everyday is our learning day.

However, hyperemesis inahusishwa na kutumia mmea mara kwa mara. Au ulitumia mmea ambao ulikuwa associated na viambata vingine, na ndio maana baadhi ya watu hupendelea kuvuta mmea kwa kutumia Bong ili kufilter viambata vyote na kupata pure THC.ambayo inakuwa smoked
IMG_5005.jpg

Sababu nyingine ni Genetic dispositions . Yaani ni mambo ya kurithi kama unavoona urefu, ufupi , magonjwa kama kansa, kisukari mara nyingi pia ni genetic disposition.

Kwa sababu faida nyingine ya Mmea ni kutibu kichefu chefu na kutapika na ndio maana wagonjwa wa kansa wanaotumia Dawa kama Docetaxel, Paclitaxel , Cyclophosphamide , Bicalutamide etc etc wanapata shida ya kutapika na kichefu chefu Hivyo wanakuwa prescribed na THC tablets kuondoa hiyo hali.

receptors za Brain yako zina Kuwa repeatedly Ina reverse the process za endocannabinoids System that is why unapata hyperemesis syndrome.

The best approach ni kuachana na mmea wa ku smoke. You might shift to edible( Food)

Hii ni kwasababu, ukila mmea, THC inaenda kuwa decarboxylated by liver kisha ita form
11- Hudroxy THC ambayo yenyewe ni kama tu THC isipokuwa yenye inanguvu kidogo , so you will have to monitor your dose .

Here it seems kwamba endocannabinoid System yako kwenye brain cells iko repellent na THC. So we trick the brain , tunaipeleka THC tumboni na kubadilishwa kuwa 11 - OH-THC , then you won’t feel nausea or vomiting

Pole.
 
Dah hii nadharia kwa vitendo itakuja kupagawisha wqtu

Sure , let’s explore the knowledge brother.

Mungu kampa binaadamu uwezo mkubwa sana wa kutafakari na kugundua siri za dunia ambazo mungu ( Benevolent Force ) kazificha ili binaadamu amabao watafanikiwa kutoroka kwenye Conform and Fear Zone waweze kuisaidia dunia na kuifanya dunia yake kuwa ni mahali pazuri na salaam kuishi.

God uses his people to help his people.

Think

IMG_5009.jpg
 
Kitu cha kwanza kwenye mmea ni ku focus kwenye DOSE.

Yaani unavuta milligram (mg) ngapi za THC au unakula milligram(mg) ngapi za THC. Baada ya kupata credible source ya mmea na Kama hujui lolote kuhusu dose, basi piga puff moja yenye afya then wait kwa dakika 10 au 15 ndio uvute puff nyingine.

Hii itakusaidia ku sense the potency ya mmea. Yaani jinsi ambavyo your head will be spinning, itakupa picha halisi THC ya huu mmea inanguvu kiasi gani. Then utajikadiria mwenye uende vipi.

Kitu cha pili ni kujua kwanini unataka kuingiza THC kwenye mwili wako? What is your motive? I mean, what is the ultimate issue?

Kwa mfano, to increase focus and Creativity?

Spirituality Transcendence?

Out of Curiosity?
Experiencing Spiritual Connotations?
Quick meditation process?
Recreational which is not recommended?
Sex Meditations with your partner?
Death Meditation?
Talking to dead souls (your relatives)?
Creating fundamental ethics character?
Self-realization?
Reading and writing skills? Etc etc.

Ukishajua Motive yako, now let’s talk about dose ,
 
Ukishajua Motive yako, now let’s talk about dose , Take time to understand, don’t rush ... slowly but sure .... re read most of the time .

1. Dose for Smoking.

a. Uwezo wa Bangi unapimwa kwa kutumia THC ambayo inakuwa expressed kwa percentage or milligram (mg).

b. THC ndiyo ile stuff that makes you HIGH. Majani ya Bangi mengi THC concentration zina range kati ya 18 %na 22% kwa 1 gram ya maua yaliyokauka . Yaani, ukichukua maua ya bangi gram moja utapata THC concentration kati ya asiliamia 10 au 22.

c. Hata hivyo, Inashauriwa kutumia milligram ili watu waelewe vyema dosing process. Kwa mfano umeona package ya mmea imeandikwa 18% hii maana yake ni 180mg, ukiona imeandikwa 5% hii maana yake ni 50mg, ukiona imeandikwa 20% hii maana yake ni 200mg. Always just multiply that percentage by 10., you get the milligram.

d. Kwa mfano hiyo picha hapo chini,

IMG_5008.jpg

Total THC ni 17% na ujazo wa hiyo TIN ni 14g. This means, Ukiweza kumaliza hilo kopo lote maana yake utakuwa umevuta 17% (170mg) ya THC.

Kwa wale tusiokuwa na mambo ya kisasa, maana yake ni hivi; ukizunguka kule nyuma ya bustani yako, ukafanikiwa kuchuma gram moja ya maua maana yake hayo maua yako yote utakuwa na kiasi cha THC kati ya 10%(100mg) hadi 22%(220mg).

Maua ambayo ndio bangi yenyewe yaani Smokable part
IMG_5003.jpg

Sasa hayo maua hapo juu yawe one gram, it will mean 100mg THC kwa Mfano wa hapo juu.

e. Kwa uhakika zaidi unaweza kwenda pale MUHAS institute of Traditional Medicines wanatumia PCR watakwambia hayo maua yako one gram yana THC asilimia ngapi( mg ngapi) Utapewa control number tu utalipia gharama za upimaji, that is all.

Hii pia itakusaidia kujua mmea wako uliopo hapo home una kiasi gani cha THC ikiwa utachukua gram moja ya maua.

f. Sasa ukishajua THC concentration katika mmea, hapo chini ni jedwali linaloonesha mgawanyiko wa dose kwa mtu ambae anakusudia kutumia mmea kwa njia ya KUVUTA;

IMG_5010.jpg

g. Tafsiri yake ni kwamba kwa mtu anaenza kuvuta Bangi hapaswi kuzidisha 90mg, na kiwango cha kuanzia ni kati ya 5mg to 10mg of THC.

Mimi nilipoanza kutumia mmea nilitumia only 10mg na hiyo ndiyo dose yangu wakati wowote nikizi sana ni 15mg.

Mtu anaweza kuuliza sasa 5mg naipataje? Well it is easy, weka maua yako katika mafungu ya gram moja moja (this is local method). Huko juu tumeona kwamba gram moja ya mmea unaweza kuwa na THC kati ya 10%(100mg) hadi 22%(220mg). Kwakuwa mimea yetu haifuatishi sheria za kilimo, nina assume kuwa mmea wa Kilimanjaro nikichuma one gram nitapata 10%(100mg) za THC.
Then
h. .Ninaamua kutoa misokoto 10 (rolling Joint) katika hiyo one gram. This means kila msokoto mmoja utakuwa na 10mg of THC.( 100 divide by 10) Then, kama ninaamua kuvuta 5mg as beginner maana yake nitavuta nusu msokoto, kama ninataka kuvuta 2.5mg as a beginner maana yake nitavuta robo msokoto and get the effect. Nusu msokoto ni kama 2 to 4 puffs inategemea na pumzi yako. Kwa NCHI ambazo zimeendelea, ukienda kwa registered vendor, anakupa msokoto ambao una exact strength ya THC unayotaka.
 
FOR EDIBLE ( Food)

IMG_5013.jpg

Tafsiri yake ni kwamba, kama one gram ya mmea wako una THC ya 100mg, ukachemsha kama yalivyo , basi utatakiwa kunywa kiasi kidogo sana cha hiyo chai au KEKI. ni ngumu kupima exact quantity kwenye kikombe cha chai au keki. Hivyo unapoamua kula kitu kama keki, ni lazima uwe makini na kiasi unachokula. Mfano unapokula biskuti, inabidi ugawe mara 4, ukibugia yote unaweza kupoteza network. The THC inayoenda kuwa 11- OH-THC ni very powerful comparing to THC

b. Wakati nipo India, nilikunywa Bhang, ni kama chai hivi. Walitengeneza hiyo chai kwa one gram ya mmea wenye THC 15%(150mg). Nilikunywa nusu ya kikombe cha kahawa vile vidogo kabisa, and I felt the hit………. It was like my head was knocked by a big stone. Nilipata hiyo feelings after 60 min baada ya kunywa chai .

In fact, Niliiona dunia kama ina shake hivi, But I kept calm , really calm ... automatically my fear of being into that state ikapotea and then I started experiencing spiritual connotation signs .

ndio maana nasema cannabis ya kula you must be very careful especially kama hujawahi kutumia mmea kabisa. However, Despite of the knock...but it gave me the best mystical experience I ever had tangu nitumie DMT( Ayahuasca).

And That was the last time to consume cannabis……. ni miaka imepita.
 
Ukifanikiwa kwenda India utakutana na hawa manabii wa sasa wengi sana. Wanaenda kujifunza namna ya kuamsha hizi the subconscious energy kwa mafundisho maalumu na kwakutumia hizi benefits za

1. Cannabis( the mother healing )
IMG_5001.jpg

2. , San Pedro( the ultimate divine , the secret of our world) ,
IMG_4089.jpg

3. DMT ( the mystical Plants and medicine) ,
IMG_4150.jpg

4. Magic Mushroom( the tree of knowledge and evil which was located at the center of garden - the tree was good for the soul, body and mind . The magic mushroom brought us on earth with only one condition — Physical death ... and the first man actually chose... it .

death came from magic mushroom ( Elixir Of Death , the Vial of pendant eternity ) and it was a CHOICE. Our Choice ! . The Magic Mushroom gave us small life on earth but BIG DEATH.

IMG_4382.jpg

Our great prophets like Bob Marley, The Beatles, Steve Jobs etc etc wameitumia India vizuri sana and these divine plants ( Psychedelic)

they gave us the best lesson on earth. They left something behind that it does exist to date.

It has been and always Will .
 
Ukifanikiwa kwenda India utakutana na hawa manabii wa sasa wengi sana. Wanaenda kujifunza namna ya kuamsha hizi the subconscious energy kwa mafundisho maalumu na kwakutumia hizi benefits za

1. Cannabis( the mother healing )
View attachment 1761890

2. , San Pedro( the ultimate divine , the secret of our world) ,
View attachment 1761893

3. DMT ( the mystical Plants and medicine) ,
View attachment 1761894

View attachment 1761900

Nakuelewa sana mkuu
 
Pole sana.

Kitaalamu inaitwa Hyperemesis Syndrome. Hutokea kwa baadhi ya watu.

Kimsingi the main reasons ya why inatokea haijulikani. Science bado haijui mengi kuhusu this divine and mystical plant. Everyday is our learning day.

However, hyperemesis inahusishwa na kutumia mmea mara kwa mara. Au ulitumia mmea ambao ulikuwa associated na viambata vingine, na ndio maana baadhi ya watu hupendelea kuvuta mmea kwa kutumia Bong ili kufilter viambata vyote na kupata pure THC.ambayo inakuwa smoked
View attachment 1761647

Sababu nyingine ni Genetic dispositions . Yaani ni mambo ya kurithi kama unavoona urefu, ufupi , magonjwa kama kansa, kisukari mara nyingi pia ni genetic disposition.

Kwa sababu faida nyingine ya Mmea ni kutibu kichefu chefu na kutapika na ndio maana wagonjwa wa kansa wanaotumia Dawa kama Docetaxel, Paclitaxel , Cyclophosphamide , Bicalutamide etc etc wanapata shida ya kutapika na kichefu chefu Hivyo wanakuwa prescribed na THC tablets kuondoa hiyo hali.

receptors za Brain yako zina Kuwa repeatedly Ina reverse the process za endocannabinoids System that is why unapata hyperemesis syndrome.

The best approach ni kuachana na mmea wa ku smoke. You might shift to edible( Food)

Hii ni kwasababu, ukila mmea, THC inaenda kuwa decarboxylated by liver kisha ita form
11- Hudroxy THC ambayo yenyewe ni kama tu THC isipokuwa yenye inanguvu kidogo , so you will have to monitor your dose .

Here it seems kwamba endocannabinoid System yako kwenye brain cells iko repellent na THC. So we trick the brain , tunaipeleka THC tumboni na kubadilishwa kuwa 11 - OH-THC , then you won’t feel nausea or vomiting

Pole.
I noted👏 Ila kingine chief kuna mda inatokea kama mapigo ya moyo yanaenda kasi? Hua kamakuna kinywaji baridi na ni kitamu KWANIN UKINYWA BHAS HIO HALI INAPOTEA ila ni kweli nakumbuka kipindi nipo chuo ilikuaunamix na sigara nyota👀 na kama ukizidisha io nyota bhasi hali ya mapigo ya moyo lazima yaende kasi na ni tofauti ukivuta dry/yaani bilamchanganyiko wowote
 
Ukifanikiwa kwenda India utakutana na hawa manabii wa sasa wengi sana. Wanaenda kujifunza namna ya kuamsha hizi the subconscious energy kwa mafundisho maalumu na kwakutumia hizi benefits za

1. Cannabis( the mother healing )
View attachment 1761890

2. , San Pedro( the ultimate divine , the secret of our world) ,
View attachment 1761893

3. DMT ( the mystical Plants and medicine) ,
View attachment 1761894

4. Magic Mushroom( the tree of knowledge and evil which was located at the center of garden - the tree was good for the soul, body and mind . The magic mushroom brought us on earth with only one condition — Physical death ... and the first man actually chose... it .

death came from magic mushroom ( Elixir Of Death , the Vial of pendant eternity ) and it was a CHOICE. Our Choice ! . The Magic Mushroom gave us small life on earth but BIG DEATH.

View attachment 1761900

Our great prophets like Bob Marley, The Beatles, Steve Jobs etc etc wameitumia India vizuri sana and these divine plants ( Psychedelic)

they gave us the best lesson on earth. They left something behind that it does exist to date.

It has been and always Will .
👏 Asante sana Mkuu, nimejifunza mengi. Nafuatilia uzi vyema ili nitumie mmea bila shida. Na nitumie for reason.
 
Hee We Kijana , Ushaanza kuni Quote, eti Kama MK54 alivyosuggest ........ oooops , come on .
we do not mention people’s name . Tunasema hivi ,
nimevuta Puff 2 kama ilivyoshauriwa na wataalamu.
Well ....I’m...., nimekuelewa.

1. Naomba ulete swali lako baada ya SAFE DOSE. Nikipata time ninaachia hiyo part leo au kesho.....

2. Tumesema chenye THC nyingi ni Cannabis Flowers , sio majani ya Bangi . Majani ya bangi ukivuta au ukila possibility ya kuwa high ni ndogo au hakuna... only utapata healthy benefits tu, sio psychoactive effects .

Kula majani ya bangi ni sawa na kula matembele. THC ni ndogo sana Kwenye majani, na ili upate effect , you will need lots of leaves like gunia to get effect.... is it practical ? NO !

3. Halafu that is not good guys, you read something hapa kisha unaenda kuvuta.... that is not good at all na ndio maana tunasita kutoa mambo mengi humu ... some people are not serious kabisa.

Ukienda kupata shida huku you will say nilisoma kwenye Uzi ? Please let’s stop the hell !

4. If you think hujaelewa.... check me PM.
Hatutaki kuifanya Hii THREAD kuwa ya kihuni. This thread has to be a living document .

Mimi najua madhara ya Bangi ndio maana i am bit harsh .... sorry for that.

Nimefanya kazi Mirembe na MUHIMBILI Psychiatre Department..... I know , 40% ya ukichaa pale ni Marijuana induced.

It is no joke when we say , you need to lower your fantasy , and get the knowledge first.

Thanks
Mkuu naomba nisamehe kwa kukumention Jina lako lkn sikua na dhamira mbaya just wewe ndio mtaalam ambae tunafanya reference kwako
Na incase kitu kimeenda tofauti tunauliza kwako ili utufahamishe wapi nime/tumekosea

Kama sasa umetupa njia ya kufanya right dosing bila kukutana na scenario hizo na kuuliza tutajifunza wapi?
 
Asante kaka. Samahani pia if I have offended you.

We are learning from each other.

Thanks
 
Ukifanikiwa kwenda India utakutana na hawa manabii wa sasa wengi sana. Wanaenda kujifunza namna ya kuamsha hizi the subconscious energy kwa mafundisho maalumu na kwakutumia hizi benefits za

1. Cannabis( the mother healing )
View attachment 1761890

2. , San Pedro( the ultimate divine , the secret of our world) ,
View attachment 1761893

3. DMT ( the mystical Plants and medicine) ,
View attachment 1761894

4. Magic Mushroom( the tree of knowledge and evil which was located at the center of garden - the tree was good for the soul, body and mind . The magic mushroom brought us on earth with only one condition — Physical death ... and the first man actually chose... it .

death came from magic mushroom ( Elixir Of Death , the Vial of pendant eternity ) and it was a CHOICE. Our Choice ! . The Magic Mushroom gave us small life on earth but BIG DEATH.

View attachment 1761900

Our great prophets like Bob Marley, The Beatles, Steve Jobs etc etc wameitumia India vizuri sana and these divine plants ( Psychedelic)

they gave us the best lesson on earth. They left something behind that it does exist to date.

It has been and always will

https://www.youtube.com/watch?v=ufHUkNefugc
 
Mkuu nipo siti ya mbele kabisa nasubiria nondo,BTW nina mpango wa kuipanda kabisa back yard

This is good. You will get premium flower with no toxicity.

Premium flower in USA zinauzwa very expensive na hutumiwa na viongozi wakuu na matajiri.

Ili kupata Premium flower inabidi utarget sana the female Marijuana just before pollination haijaanza. Na mara nyingi premium flower zinakuwa ni chache sana.

Utaweza pia kutumia majani ya Homegrown marijuana for medicinal use.

Yaani yale majani yake na Mzizi yana cannabinoids nyingi for medical uses na hayana kilevya( THC).

Unachuma majani kama mchicha you mix with food . Utakuwa ni mtu wa Afya ....... no any chronic disease utakayokuja kupata(85%)

Kama kweli umepanda mmea mwenyewe na hujaweka haya mambolea ... umetumia vinyesi vya wanyama tu .... utaweza kuchuma majani machanga machanga na ku saga kama Juice na kunywa the green Juice , at least once a month .

It called total detoxification and revitalize of the body , Hata Ngozi yako itakuwa na nuru and clear.

Cosmetics nyingi sikuizi hutumia Cannabis Oil kutengeneza Ointments, Cream , Lotions, Shampoos etc etc .

Blnafsi in my backyard kuna mimea miichache ambayo hupendelea zaidi kutumia mizizi na majani kuchanganya na chakula kama supu ya kuku au kuchanganya na vegetables nyingine.

This is only for medicinal use kwa sababu they don’t have any psychoactive effects. Yaani ukila hivyo is like umekula mchicha, Only the difference ni mmea utakupa tiba na suppliments za mwili.

Homegrown is the best ; you will abandon risk zote za kutumia mmea uliochanganywa na hard drugs.

All the best .
 
Bado nakula nondo, nijue vema kabisa na nielewe
Mimea mingi zaidi na zaidi
Akilini mwangu nimeongeza ramani ya kishamba kutakua na michicha ila nia yangu sio michicha ila ayo majani mengine (divine plants)

Mk54 ile texts yangu kule PM haukuijibu brother natambua ubusy ukipata wasaa pitia mtaa ule kidogo
 
Roger that, I agree with you. Ukisoma vyema post zangu utaona nimesisitiza sana under guidance.

Hata Mimi I spent 4 weeks and half in Amazon kuwa trained to understand the ultimate divine nature of these psychedelic plants.

Leo hii, mmea common Tu kama Bangi, ni dawa ya magonjwa mengi sana na hutumika sana katika spiritual transcendence beyond all odds, lakini je wangapi wanajua namna ya kutumia bangi, na je unajua unapaswa kutumia kitu gani baada ya ku Smoke Bangi ili kusafisha moshi and after effect.

Hii ndio shida ya vijana wetu wanafanya vitu bila maarifa. Nikikwambia 90% ya politicians Hapo TZ na nchi nyingine wanatumia mmea na mimea Hii , can you believe that.
Bahati mbaya hapa ni social media.

Mmasai anakula nyama everyday, but husikii ana kidney failure, blood pressure etc etc? Lakini ukirudi kwa wachaga wenzangu wengi ni ma pressure, kidney, matatizo ya miguu, hii ni kwa sababu wanapenda kula
Nyama but hawajui kuipika nyama kutoa toxic zote kwanza.

Wamasai wanapenda nyama na wanajua kuitengeneza ili kutoa sumu zote na odds.

Kila kitu ni guidance kaka. Haya mambo hayajawekwa kwa bahati mbaya .
inatakiwa utumie vitu gani kutoa moshi baada ya kusmoke?
 
Back
Top Bottom