Champion number one
JF-Expert Member
- Dec 17, 2022
- 1,553
- 3,985
Sasa wewe unalalamika kuna mtu ana miezi nane mpaka saizi bora hata halmashauri wako faster taasisi usiguseNdio utakuwa hivyo. Kwa hiyo tangia utume ombi la ajira, usaili mpaka kuanza kazi rasmi ni mchakato wa zaidi ya nusu mwaka. Jobless hatuna namna, ni kuwa watulivu tu na kuvumilia.