PSRS: Kulikoni zile post 101?

PSRS: Kulikoni zile post 101?

rkgx

Senior Member
Joined
Nov 30, 2013
Posts
100
Reaction score
81
Nimekuwa nikisubiri zile post 101 za Maafisa Utumishi daraja la II kuitwa kwaajili ya usaili lakini hadi leo patupu.....inakuwaje maana deadline ilikuwa tar 11 June, au ndio Serikali haina hela kwahiyo wana-buy time kiaina?
 
Mediator na arbitratoe CMA wameshaita mkuuu
 
Dadio kwani za pale CMA walitangaza wao?mbona hamna call for interview kwenye page yao?
 
Last edited by a moderator:
Nimekuwa nikisubiri zile post 101 za Maafisa Utumishi daraja la II kuitwa kwaajili ya usaili lakini hadi leo patupu.....inakuwaje maana deadline ilikuwa tar 11 June, au ndio Serikali haina hela kwahiyo wana-buy time kiaina?

Ukiona hivyo ujue waombaji ni wengi mno hivyo kushortlist ni kazi ngumu
 
Ndyo zilitangazwa na psrs.. lakin leo wametoa majina kwa ajili ya usahili kwa waluomba nafasi za mediator pamoja na arbitrator...
 
Majina yoote yapo kwenye gazet la leo Daily news.. yapo majina kama 200 hv
 
Kiuzoefu mdogo nilionao kuh.utumish ni kwamba wako mbion kuita wala hakuna longo longo weng tutaitwa isu ni kupata tu.Nadhan mwsho wa huu mwez au ujao wataita tu msijal.Afu pia nimeshangaa hzo za mediator walitangaza utumish iweje usail waweke kwe daily news?
 
Hapo hata mi imenichanganya maana kikawaida huwa wanaweka kwenye official page yao.
 
madukwappa: Majanga kwahiyo kinaweza kuwa kitu cha 18,000 kama kule kwa jirani (Uhamiaji). We still have a long long way to go.
 
Last edited by a moderator:
Usishangae mkuuu svoca wametatangaza kwenye gazet kwa kuwa ile ni tume huru haipaswi kuingiliwa maamuzi yake na chombo chchote kile. Psrs walitangaza lakn michakato mingine yote itafanywa na tume yenyewe ndio maana hata usahili utafanyika kwenye tume yenyewe akibaa
 
Huwa wanaita resonable number siku zote hawawezi kamwe kuita idadi kubwa kivile huwa wanadili na watu wenye qualification tu... ndio maana kama mtu umeitwa na tume then hujafaulu law school si rahis kupata hyo kazi ni bora watangaze tena mwakan rejea usaili wa mwaka jana wa mediator na arbitrator walikosa watu wenye vigezo wakatangaza tena mwaka huu.
 
Kwa hyo kwa aliyekuwa na vigezo hitajika na amekuwa shortlisted awe 87% ya kupata kazi.
 
Na vigezo hapo kwa waliosoma sheria ni kufaulu shule ya sheria Tanzania.
 
Gazet la leo mpaka nirud home mkuu nimetoka
 
poa kk naomba unisaidie kwa hilo ukirudi naomba utupie picha za hayo majina coz wengine tupo mbali sana hatuna acess ya magazeti kwa ss...nitashukuru sana ukutupia apa
 
madukwappa: Majanga kwahiyo kinaweza kuwa kitu cha 18,000 kama kule kwa jirani (Uhamiaji). We still have a long long way to go.

Hamna haiwezekani wasomi wa HR SOCIAOLOGY NA PUBLIC ADM hawafiki hao elfu 10

ila naamini usaili huu watakuwa kama 1000 hv
 
Last edited by a moderator:
Si kweli hawatazid watu 300.. hawa hawana muda wa kupoteza ww
 
Back
Top Bottom