PSRS: Kulikoni zile post 101?

PSRS: Kulikoni zile post 101?

Mfano mzuri ni CMA walitoa nafasi jumla 62 arbitrator nabmediator II lakin shortlist yao ni wat 198 wengine kati yao wameitwa mara mbili.
 
Ila hawa atleast huwa wanafanya kazi ki-professional zaidi, hata jinsi wanavyo sahihisha test zao kuna uhalisia wa marks.
 
Ndo maana nimesema kama una sifa wanazotaka ujue ushapata kazi ila kama huna sifa kwa mfano hujamaliza law school na kufaulu lakn umeitwa jua huwez pata kazi hyo
 
Usishangae mkuuu svoca wametatangaza kwenye gazet kwa kuwa ile ni tume huru haipaswi kuingiliwa maamuzi yake na chombo chchote kile. Psrs walitangaza lakn michakato mingine yote itafanywa na tume yenyewe ndio maana hata usahili utafanyika kwenye tume yenyewe akibaa

Naomba nikukosoe hapo kwamba si kweli kwamba usaili ukiendeshwa na PSRS itakuwa imeingilia uhuru wa tume ya utumishi mahakama (JSC)

Mfn post za mwanzo za arbitrator na mediator usaili uliendeshwa na PSRS.. Mi nadhan kama mahakama wenyewe wameamua kuendesha usaili huu si tatzo coz ni suala la makubaliano tu

ikumbukwe kuwa sekretariati ya ajira ni taasisi ya umma. . Hivyo taasisi nyingine yoyote ya kiserikali inaruhusiwa kukitumia chombo hiki ktk michakato ya ajira

hivyo ht kama taasisi kisheria imepewa mamlaka ya kuajiri.. Haikatazwi kuwaomba PSRS waendeshe mchakato kwa niaba taasis husika na haiwez kuchukuliwa kama kuingiliwa uhuru kwa sababu unaomba mwenyewe kusaidiwa mchakato husika

kwa mfn. Chuo kikuu Mzumbe kina mamlaka ya kuajiri wataalamu wake lakin hawakatazwi kuomba jukumu hilo kutekelezwa na PSRS kwa niaba yke

hali kadhalika JSC imepewa mamlaka ya kuajiri lakini haizuiwi kuomba kwa wakati flan mchakato wa ajira kufanywa na PSRS

Hivyo inawezekana waliomba kaz hizo za arbitrator zijumuishwe kwenye tangazo la PSRS na wakakubaliana usaili uendeshwe na JSC wenyew.. Nadhan ni jambo la kawaida na hakuna mwingiliano wa uhuru

ingekuwa JSC wamelazimishwa wazipeleke ajira PSRS bas tungesema ni kweli kuna kuingiliwa uhuru

NB: Ikumbukwe kuwa kwenye jopo la usaili kunakuwa na maafisa wa PSRS na wawakilishi wa MWAJIRI.. na maamuzi yanafanywa makubaliano
 
Sawa mkuu.. ila kumbuka CMA ipo chini ya tume ya usuluhishi na upatanishi. Ni taasis huru. Na mahakma zipo chini ya tume ya utumishi wa mahakama JSC pia ni chombo huru. Sijawah kusikia JSC hata siku moja wanatumia PSRS kutangaza kazi yoyote ile hata siku moja. Siku zote huwa wanafanya wenyewe tu. Isipokuwa CMA ndo huwa wanatumia hawa PSRS hasa kwenye kutangaza kazi tu. Mkuu tupo pamoja
 
Hamna haiwezekani wasomi wa HR SOCIAOLOGY NA PUBLIC ADM hawafiki hao elfu 10

ila naamini usaili huu watakuwa kama 1000 hv

Baada ya law ni wachumi wengine wanafuatia. Soma tangazo lao la psrs.
 
Kiuzoefu mdogo nilionao kuh.utumish ni kwamba wako mbion kuita wala hakuna longo longo weng tutaitwa isu ni kupata tu.Nadhan mwsho wa huu mwez au ujao wataita tu msijal.Afu pia nimeshangaa hzo za mediator walitangaza utumish iweje usail waweke kwe daily news?

Kilichofanyika inaonekana walitumia tu utumishi kutangaza hizo nafasi za kazi lakini interview wanafanya wenyewe na sio utumishi
 
CMA NI TUME HURU YA SERIKALI IKIENDESHA KAZI ZA USULUHISH NA UAMUZI KTKA MIGOGORO YA KAZI KABLA YA KUPELEKWA MAHAKAMA YA KAZI TUME HII NA IPO CHINI YA WIZARA YA KAZI MCHAKATO HUU LAZMA UENDESHWE NA PSRS KWA MUJIBU WA SHERIA NADHANI NDIOO WALOO TANGAZA NAFASI IZI kwa mfn. Chuo kikuu Mzumbe kina mamlaka ya kuajiri wataalamu wake lakin hawakatazwi kuomba jukumu hilo kutekelezwa na PSRS kwa niaba yke hali kadhalika JSC imepewa mamlaka ya kuajiri lakini haizuiwi kuomba kwa wakati flan mchakato wa ajira kufanywa na PSRS Hivyo inawezekana waliomba kaz hizo za arbitrator zijumuishwe kwenye tangazo la PSRS na wakakubaliana usaili uendeshwe na JSC wenyew.. Nadhan ni jambo la kawaida na hakuna mwingiliano wa uhuru ingekuwa JSC wamelazimishwa wazipeleke ajira PSRS bas tungesema ni kweli kuna kuingiliwa uhuru NB: Ikumbukwe kuwa kwenye jopo la usaili kunakuwa na maafisa wa PSRS na wawakilishi wa MWAJIRI.. na maamuzi yanafanywa makubaliano[/QUOTE]
 
Hamna haiwezekani wasomi wa HR SOCIAOLOGY NA PUBLIC ADM hawafiki hao elfu 10

ila naamini usaili huu watakuwa kama 1000 hv

Tume siku zote interview zao za kuandika zinahusu masomo ya darasani ,swali langu ni je ? Endapo mtu aliesoma sociology akiitwa interview kwa post ya afisa utumishi na yeye atapewa maswali hayo wakati hakuwahi kusoma hata cozi moja inayohusiana na mambo ya hr?
 
Nimekuwa nikisubiri zile post 101 za Maafisa Utumishi daraja la II kuitwa kwaajili ya usaili lakini hadi leo patupu.....inakuwaje maana deadline ilikuwa tar 11 June, au ndio Serikali haina hela kwahiyo wana-buy time kiaina?

Sio june ni july 11
 
Tume siku zote interview zao za kuandika zinahusu masomo ya darasani ,swali langu ni je ? Endapo mtu aliesoma sociology akiitwa interview kwa post ya afisa utumishi na yeye atapewa maswali hayo wakati hakuwahi kusoma hata cozi moja inayohusiana na mambo ya hr?

Mkuu sociology wanasoma vizuri sana hiyo course ya human resource
 
Tume siku zote interview zao za kuandika zinahusu masomo ya darasani ,swali langu ni je ? Endapo mtu aliesoma sociology akiitwa interview kwa post ya afisa utumishi na yeye atapewa maswali hayo wakati hakuwahi kusoma hata cozi moja inayohusiana na mambo ya hr?

Maswali ya kuandika ni mchanganyiko sometimes unaweza usikute hata swali moja la darasani
 
Sawa mkuu.. ila kumbuka CMA ipo chini ya tume ya usuluhishi na upatanishi. Ni taasis huru. Na mahakma zipo chini ya tume ya utumishi wa mahakama JSC pia ni chombo huru. Sijawah kusikia JSC hata siku moja wanatumia PSRS kutangaza kazi yoyote ile hata siku moja. Siku zote huwa wanafanya wenyewe tu. Isipokuwa CMA ndo huwa wanatumia hawa PSRS hasa kwenye kutangaza kazi tu. Mkuu tupo pamoja

Ni kweli lakini hata hyo JSC haijazuiwa kuitumia PSRS ktk mchakato wa ajira maana PSRS ni ya umma hivyo taasisi yoyite ya kiserikali inaruhusiwa kukitumia chombo hk

tuko pamoja
 
Maswali ya kuandika ni mchanganyiko sometimes unaweza usikute hata swali moja la darasani

maswal ni ya darasani mkuu labda iwe sio utumishi.kama post ni ya watu waliosomea kompyuta utapewa maswali ya kompyuta
Hata sociology waliofanya interview ya afisa ustawi wa jamii mwaka huu maswali ya darasan waliuliza mambo ya gender na mengine
Na waliopata afisa tawala mwaka huu nao ni hivo hivo
 
Si kweli bhana
nimewahi fanya usaili wa kuandika wa HR sikukuta hata swali moja nililosoma darasan chuo kikuu

ingawa ni kweli kwamba mara nyingi yanakuwa ya darasani
 
Back
Top Bottom