Si kweli bhana
nimewahi fanya usaili wa kuandika wa HR sikukuta hata swali moja nililosoma darasan chuo kikuu
ingawa ni kweli kwamba mara nyingi yanakuwa ya darasani
Haya mkuu asante kwa kunifumbua macho
Si kweli bhana
nimewahi fanya usaili wa kuandika wa HR sikukuta hata swali moja nililosoma darasan chuo kikuu
ingawa ni kweli kwamba mara nyingi yanakuwa ya darasani
Hawasomi bana.hua wanaopt na wengi wao wanakimbia kuopt
Mbona wanasoma jamani na nina uhakika maana rafiki yangu amesoma sociology hiy Hr wamesoma