PSPTB hili somo la Strategic Supply Chain mbona hatuwaelewi?

PSPTB hili somo la Strategic Supply Chain mbona hatuwaelewi?

dah, mimi mwenye nimebahatika na nimechomoka na C Ya hiyo strategic supply chain mgt P13. na mengine ndo nina A ya international procurement. Procument contracts management B, na strategic procurement B. Mimi ndo mara yangu ya kwanza kufanya mitihani ya bodi. na nimeanza na hiyo ya PIV.
 
Wewe kubali u kilaza ndio maana ukafeli. Vinginevyo jipange

hivi hilo neno la ukilaza, unalijua vizuri? uliambiwa sehemu unatafuta pa kulisema tuu! huenda huna kazi! upo na key board kuandika vitu ambavyo ukiambiwa uprove huwez. nmeandika hii thread c kuonyesha kwamba am in need na huruma za bodi no jct kupata views za majority wa field hii c mpuuzi kama wew
 
dah, mimi mwenye nimebahatika na nimechomoka na "C", Ya hyo strategic supply chain mgt P13. na mengine ndo nina A ya international procurement. na B za mengne.

hongera ila dah hili somo ndo linasumbua sana stage 4
 
hongera ila dah hili somo ndo linasumbua sana stage 4[/QUOTE]

Nashukuru sana ndugu yangu, katika centre yetu tumechomoka hiyo P13 candidates watatu tu. vipi wewe ulifanyia wapi?
 
Kijana jitahidi kukaza asee, hilo somo la kawaida tu.. wengine mbona tumekaa single sitting na tulichomoa bila tatizo. Unless otherwise pole kwa matokeo mabaya

mambo mengi na kazini unabanwa ndo tatizo
 
hongera ila dah hili somo ndo linasumbua sana stage 4

Nashukuru sana ndugu yangu, katika centre yetu tumechomoka hiyo P13 candidates watatu tu. vipi wewe ulifanyia wapi?[/QUOTE]

huku nlipofanyia cjajua wangapi any way c unajua job napo panabana sana
 
Naomba kuuliza,hv kwa mtu mwenye CPA, psptb anaanzia stage ipi?au anakuwa sawa na mwenye degree ya accounting
 
Back
Top Bottom